
Joel Msuya
@joelymsuya
Mjumbe wa Baraza Kuu CHADEMA taifa || Katibu wa BAVICHA mkoa wa ILALA || Activist & Human Right Defender || Politician || Raisi wa Tanzania 2055
ID: 1535982231424057344
12-06-2022 13:48:12
122,122K Tweet
10,10K Followers
1,1K Following

Uzuri ni kwamba Tundu Antiphas Lissu alishasema kuwa hayuko tayari na hatakubali kuendesha kesi GIZANI kwa mashihidi wa siri waliofichwa. Haki ni lazima itendeke na ionekane kweli inatendeka. Kwanini mashahidi wafichwe? Kwanini ushahidi utolewe sirini? #JusticeForLissu