
John Mwende
@johnmende_
✌️ Secretary @chadematz Kinondoni District
✌️ Kinondoni Councilor Candidate - 2020
🇹🇿 Government Certified Consultant
🌍 Former Marketing TV1
#KatibaMpya
ID: 2746219240
https://instagram.com/johnhmwende?igshid=ZGUzMzM3NWJiOQ== 18-08-2014 09:57:04
1,1K Tweet
271 Followers
136 Following





🚨‼️MORE VIDEO EVIDENCE OF POLICE BRUTALITY FRAME BY FRAME - 24 APRIL KISUTU‼️🚨 Nyie Police Force TZ mwambieni Muliro ajipange na nyie mjipange! Hapa mnaonekana wazi mlivyompiga na kuumiza raia na kumfungulia mbwa Mwingine ni huyo kwenye pick up alikuwa anahangaika kushuka Na ligari


Ni vyema polisi wakawa wakweli na kweli ikawaweka huru. Huyu ni moja wa mashuhuda ambaye anasema polisi kutoka makao makuu ya MBEYA siku chache zilizopita walimuomba awaeleze anapoishi Mdude Nyagali. Hivi kama taifa ni jamii ya namna gani inajengwa?









Yupo wapi DEUSDEDITH SOKA? Yupo wapi SHADRACK CHAULA? Yupo wapi MDUDE NYAGALI? Yupo wapi DIONIZ KIPANYA? Yupo wapi MANENGELO? Kama taifa tupaswa kuendelea kuwadai hawa Watanzania wenzetu waliotekwa. Pia tunapaswa kukemea sana. Asante Maria Sarungi Tsehai kwa kuendelea kukemea huu uovu.


