Mchokozi !! (@olemtetezi) 's Twitter Profile
Mchokozi !!

@olemtetezi

Mwenyekiti Wa Umoja Wa Kizazi Cha Kuhoji Twita//Trust Me Iam Everything Ur Not

ID: 1325165168

linkhttp://Www.Mchokozi.com calendar_today03-04-2013 18:11:03

58,58K Tweet

357,357K Followers

704 Following

Mchokozi !! (@olemtetezi) 's Twitter Profile Photo

Appreciation tweet kwa Wakili Martha Karua Kutoka Kenya Leo Yupo Tanzania Kwenye Kesi Ya Uhaini Ya Tundu Lissu Juzi Alikuwepo Kama Wakili Kwenye Kesi Ya Kiongozi Wa Upinzani Uganda Kiiza Besigye Martha Alishawai Kuwa Mbunge, Waziri Wa Sheria Na Mgombea Mwenza Wa Urais Kenya

Appreciation tweet kwa Wakili Martha Karua Kutoka Kenya

Leo Yupo Tanzania Kwenye Kesi Ya Uhaini Ya Tundu Lissu

Juzi Alikuwepo Kama Wakili Kwenye Kesi Ya Kiongozi Wa Upinzani Uganda Kiiza Besigye

Martha Alishawai Kuwa Mbunge, Waziri Wa Sheria Na Mgombea Mwenza Wa Urais Kenya