DD Jr@ (@denisda47832122) 's Twitter Profile
DD Jr@

@denisda47832122

ID: 1400883879536381957

calendar_today04-06-2021 18:35:50

72 Tweet

229 Followers

2,2K Following

E Digital (@efmtanzania) 's Twitter Profile Photo

Kwenye Utaratibu wa Mtaa anaotoka Madenge Wao wanajiita WANANZENGO : Waliamua Kununua Vyombo ambavyo Vitatumika Kupika, Michango, na Hata Kushiriki Kuchimba Kaburi Utaratibu wa Musa Kipanya na Irene Killenga : KUZIKA SIO LAZIMA Utaratibu Wenu Upo Vipi Huko Ulipo ?

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Polisi mnafeli. Hili mnaloita ‘onyo’ ni ubatili. Hakuna sheria imezuia kuzungumza na wahanga au ndugu wa watu wanofanyiwa matukio ya ukatili. Tunajua mnatulenga sisi. Hata hivyo, bila sisi, hata taarifa za awali za watuhumiwa msingezipata. Kuweni na shukrani na acheni mikwara.