Mja Hid (@hidmja57556) 's Twitter Profile
Mja Hid

@hidmja57556

ID: 1763604377644986368

calendar_today01-03-2024 16:37:47

12,12K Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

‼️🚨STEVE NYERERE NDO NANI HADI APEWE AIRTIME? 😂🚨‼️ Ukiona mtu anatumia hadi misiba kuanza kupiga propaganda ujue katumwa! Ila Samia Suluhu hii ndo brain thrust yako kweli? Kumbuka hawa hawatambuliki kikatiba - the buck stops with you!

‼️🚨STEVE NYERERE NDO NANI HADI APEWE AIRTIME? 😂🚨‼️
Ukiona mtu anatumia hadi misiba kuanza kupiga propaganda ujue katumwa!
Ila <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> hii ndo brain thrust yako kweli? 
Kumbuka hawa hawatambuliki kikatiba - the buck stops with you!
james agent (@ernestkavol4) 's Twitter Profile Photo

BREAKING NEWS:- 2,000 🇮🇷 Makombora ya Iran , yako kwenye hali ya kusubiri, tayari kushambulia 🇮🇱 Israel... Iran "imeweka mapema" na kusawazisha takriban makombora 2,000, yaliyotayarishwa kulenga mamia ya maeneo nchini Israeli

BREAKING NEWS:-
2,000 🇮🇷 Makombora ya Iran ,  yako kwenye hali ya kusubiri, tayari kushambulia 🇮🇱 Israel...
Iran "imeweka mapema" na kusawazisha takriban makombora 2,000, yaliyotayarishwa kulenga mamia ya maeneo nchini Israeli
james agent (@ernestkavol4) 's Twitter Profile Photo

Chanzo kinadai kuwa 🇮🇷 Iran imefanya jaribio la nyuklia ☢️ muda mfupi uliopita, na kusababisha tetemeko la ardhi la ukubwa wa 4.6% katika kipimo cha Richter

Chanzo kinadai kuwa 🇮🇷 Iran imefanya jaribio la nyuklia ☢️ muda mfupi uliopita, na kusababisha tetemeko la ardhi la ukubwa wa 4.6% katika kipimo cha Richter
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

‼️🚨MEDIA TANZANIA MJIANDAE🚨‼️ Rais de facto Waziri Rajab ameamua uchaguzi wa serikali za mitaa hawatoboi na vyombo vya habari huru! Na kama kawa Rais de jure Samia Suluhu approves maana anachotaka ni madaraka - at whatever cost! Hii mbinu ilitumika 2019 walipoifungia Kwanza TV

‼️🚨MEDIA TANZANIA MJIANDAE🚨‼️
Rais de facto Waziri Rajab ameamua uchaguzi wa serikali za mitaa hawatoboi na vyombo vya habari huru! Na kama kawa Rais de jure <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> approves maana anachotaka ni madaraka - at whatever cost!

Hii mbinu ilitumika 2019 walipoifungia Kwanza TV
Sia Da Vinci💎 (@siadevinci) 's Twitter Profile Photo

Video inaonyesha makombora mawili ya balistiki ya Iran, yaliyorushwa usiku kutoka vituo viwili tofauti nchini Iran, yakipiga shabaha 1 baharini mbele ya Tel Aviv. Baadhi ya waangalizi wanasema makombora hayo yalipiga kisima cha gesi. Wengine wanasema, ni onyesho tu 👇

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

JESHI LA POLISI LA TANZANIA NA UTEKAJI UNAOENDELEA. Jumamosi tarehe 5/9 TLS waliandaa jukwaa la kuuliza "Wako wapi?". Hili jukwaa lilialika TAASISI mbali mbali wakiwemo jeshi la polisi Tanzania Police Force TZ Muwakilishi wao alikuwa ni KAMANDA wa kanda maalumu J4 Mulilo. Na katika

JESHI LA POLISI LA TANZANIA NA UTEKAJI UNAOENDELEA.

Jumamosi tarehe 5/9 TLS waliandaa jukwaa la kuuliza "Wako wapi?". Hili jukwaa lilialika TAASISI mbali mbali wakiwemo jeshi la polisi Tanzania <a href="/tanpol/">Police Force TZ</a> 

Muwakilishi wao alikuwa ni KAMANDA wa kanda maalumu J4 Mulilo. Na katika
Mdude Nyagali (@mdudenyagali) 's Twitter Profile Photo

Isaac Maliyamungu alikuwa na jeuri ya kuteka na kuua wapinzani wa Idd Amin na kuna wakati aliua mpaka mawaziri kwa sababu alipewa kiburi na Idd Amin aliyekuwa Rais wa Uganda. Sasa huku TZ mnadhani nani anampa kiburi Mafwele cha kuteka, kuua na kupoteza watu kama sio mama Abdul?

Isaac Maliyamungu alikuwa na jeuri ya kuteka na kuua wapinzani wa Idd Amin na kuna wakati aliua mpaka mawaziri kwa sababu alipewa kiburi na Idd Amin aliyekuwa Rais wa Uganda. Sasa huku TZ mnadhani nani anampa kiburi Mafwele cha kuteka, kuua na kupoteza watu kama sio mama Abdul?
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

‼️ELECTION SEASON IN #TANZANIA BODE ILL FOR MEDIA‼️ In 2019, our online tv Kwanza TV was suspended on frivolous charges for 6 months - it was the govt’s plan to silence independent media during local elections! Five years later, same trick pulled out of the hat by CCM govt

‼️ELECTION SEASON IN #TANZANIA BODE ILL FOR MEDIA‼️
In 2019, our online tv Kwanza TV was suspended on frivolous charges for 6 months - it was the govt’s plan to silence independent media during local elections! Five years later, same trick pulled out of the hat by CCM govt
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

‼️ELIMU BURE - BURE ELIMU‼️ Hali ya elimu mashuleni inazidi kuzorota 🚮 How does CCM expect the children to learn anything in such terrible environment? This is supposedly a classroom 🤬 Hivi hamna huruma kabisa? Hamjusikii vibaya au aibu kuona watoto wanasoma kwa mazingira

‼️ELIMU BURE - BURE ELIMU‼️
Hali ya elimu mashuleni inazidi kuzorota 🚮

How does CCM expect the children to learn anything in such terrible environment? This is supposedly a classroom 🤬

Hivi hamna huruma kabisa? Hamjusikii vibaya au aibu kuona watoto wanasoma kwa mazingira
John Nguti Chadema (@johnnguticdm) 's Twitter Profile Photo

Leo DEUSDEDITH SOKA na wenzake wametimiza siku 50 tangu watekwe na wanaodhaniwa kuwa ni Askari wa Jeshi la Polisi la Tanzania na kufichwa kusikojulikana!!! Tusichoke kupaza sauti.... #FreeDeusdedithSoka #FreeDeusdedithSoka #FreeDeusdedithSoka

Leo DEUSDEDITH SOKA na wenzake wametimiza siku 50 tangu watekwe na wanaodhaniwa kuwa ni Askari wa Jeshi la Polisi la Tanzania na kufichwa kusikojulikana!!! Tusichoke kupaza sauti....
#FreeDeusdedithSoka
#FreeDeusdedithSoka
#FreeDeusdedithSoka
Mja Hid (@hidmja57556) 's Twitter Profile Photo

Msigwa anapepea ugali wake usije ukachacha, ndo mjuue njee ukipeleka kichwani sio tumboni jua kunashida kubwa. Ndo mnaona huu ujinga, ivi sgr imejengwa awamu ya 6? Sibangi hizi za Peter msigwa jamani. Ujinga mwengi mpaka uchizi