
SATIVA17
@sativa255
Survivor of Head Bullet 27.06.2024. / Human rights defender. / PYALA PYALA.
ID: 1112374612548075523
31-03-2019 15:22:29
194,194K Tweet
121,121K Takipçi
4,4K Takip Edilen

JESHI LA POLISI LA TANZANIA NA UTEKAJI UNAOENDELEA. Jumamosi tarehe 5/9 TLS waliandaa jukwaa la kuuliza "Wako wapi?". Hili jukwaa lilialika TAASISI mbali mbali wakiwemo jeshi la polisi Tanzania Police Force TZ Muwakilishi wao alikuwa ni KAMANDA wa kanda maalumu J4 Mulilo. Na katika
