Mdude Nyagali (@mdudenyagali) 's Twitter Profile
Mdude Nyagali

@mdudenyagali

Political Activist in Tanzania focusing on Civil Rights and Good Governance. 🇹🇿. #Author- #FiveYearsOfPain. - To buy my Book, please click the link below.

ID: 1417391073253629953

linkhttps://bio.site/mdudenyagali calendar_today20-07-2021 07:49:19

7,7K Tweet

156,156K Followers

396 Following

Mdude Nyagali (@mdudenyagali) 's Twitter Profile Photo

Isaac Maliyamungu alikuwa na jeuri ya kuteka na kuua wapinzani wa Idd Amin na kuna wakati aliua mpaka mawaziri kwa sababu alipewa kiburi na Idd Amin aliyekuwa Rais wa Uganda. Sasa huku TZ mnadhani nani anampa kiburi Mafwele cha kuteka, kuua na kupoteza watu kama sio mama Abdul?