Ado Shaibu
@AdoShaibu
Secretary General, Alliance for Change & Transparency (ACT Wazalendo)
ID:594493764
https://www.actwazalendo.or.tz/ 30-05-2012 08:10:05
24,6K Tweets
62,3K Followers
1,3K Following
(๐๐ฆ๐๐๐ง๐๐ข๐ค๐ฐ๐ ๐๐ ๐๐ฐ๐๐ง๐๐ข๐ฌ๐ก๐ข ๐๐๐ญ๐ฎ, ๐๐๐๐๐)
Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake ACT-Wazalendo Taifa, Janeth Rithe, amesema kuwa tabia ya Makonda ya kuwadhalilisha wanawake imekuwa ikijirudia na inakuzwa na kulindwa na viongozi wa juu wa Chama Cha Mapinduzi
It is always a pleasure having you as a super moderator but a brother who supports movements whenever he gets time. Thank you for coming. khalifa said #PALESTINE ๐ต๐ธ โญ๐น
๐Tanga
'Ili tuwe salama tunahitaji wanawake majasiri waingie katika vyombo vya maamuzi waweze kupambana kwa ajili ya maslahi ya Taifa.'
Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa
Janeth Rithe
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa, Ndugu Janeth Rithe amelaani kitendo cha Mkuu Mkoa wa Arusha kumdhalilisha mtumishi mwanamke. Akizungumza Jijini Tanga, Ndugu Janet amemtaka Rais Samia Suluhu kumchukulia hatua Paul Makonda.
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
Ni jambo jema ndugu wakikaa pamoja kwa upendo na amani.
Karibu tena ndugu yangu Boniface Jacob utakapopokea Mwaliko wetu .
Binafsi ni furaha yangu kuona maslahi ya Taifa letu yakituleta pamoja.
Tuendeleze utamaduni huu.
UZI
Matukio na Picha za MDAHALO WA VIJANA ULIONDALIWA NA Ngome ya vijana_Official wa ACTWazalendo.
Picha ya kushoto. Kijana wa kutoka UVCCM, Suphian Juma Nkuwi akisalimiana na Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo.
Picha ya kulia
Meya Mstaafu wa Ubungo, Mheshimiwa Boniface Jacob akiwa tayari
Sisi hao kesho tupo live. Nchi itasimama, vijana tutajumuika kujadili mazingira ya uchaguzi wa serikali za mitaa kama kweli yanatoa fulsa nzuri na mazingira kwa vijana kushiriki
Ado Shaibu
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
Boniface Jacob
Ngome ya vijana_Official
Abdul-Aziz Carter
Makamu Mwenyekiti Bara Ndugu Isihaka Mchinjita atakuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa hadhara ulioandaliwa na uongozi wa ACTWazalendo Jimbo la Tanga Mjini unaotarajiwa kufanyika tarehe 25 Mei 2024. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
(๐๐ฆ๐๐๐ง๐๐ข๐ค๐ฐ๐ ๐๐ ๐๐๐ก๐ฆ๐ ๐๐ฎ๐ฅ๐๐ข๐ฆ๐๐ง, ๐๐๐๐๐๐๐๐)
CHAMA cha ACT-Wazalendo kimesema miradi mingi ya ujenzi Zanzibar ina kasoro, hata kuibua hoja ya uadilifu wa wanaosimamia utekelezaji wake.ippmedia.com/nipashe/biashaโฆ
Vijana Mpooooo ,
Katika harakati za kuhakikisha tunarudisha wale wasomi wenye kuhoji, wasomi wenye kuhakikisha tunaiendea Tanzania tuitakayo Ngome ya vijana_Official tumekuandalia mdahalo kabambe tujadiliane #KijanaNaChaguzi2024 /5
Tell a friend, HII HAINA ITIKADI YA CHAMA, KARIBUNI ๐
Mlezi wa Mkoa wa Kilimanjaro, Ndugu Rachel Kimambo leo tarehe 19/05/2024 amekutana na wenyeviti na makatibu wa majimbo ya Mkoa huo kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za mitaa, vijiji na vitongoji unaotarajiwa kufanyika mwaka huu.
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
Mlezi wa Mkoa wa Kilimanjaro, Ndugu Rachel Kimambo leo tarehe 19/05/2024 amekutana na wenyeviti na makatibu wa majimbo ya Mkoa huo kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za mitaa, vijiji na vitongoji unaotarajiwa kufanyika mwaka huu.
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
'Tunataka mawasiliano ya uhakika, nafuu na salama na kuimarishwa uhuru wa habari.'
Waziri Kivuli wa Habari
Rahuuuum
ACTWazalendo Wasemaji wa Kisekta
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
Mlezi wa Mkoa wa Kilimanjaro, Ndugu Rachel Kimambo leo tarehe 19/05/2024 amekutana na wenyeviti na makatibu wa majimbo ya Mkoa huo kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za mitaa, vijiji na vitongoji unaotarajiwa kufanyika mwaka huu.
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote