Selemani Misango(@SelemaniMisango) 's Twitter Profileg
Selemani Misango

@SelemaniMisango

Mwanachama na Mjumbe wa Kamati Kuu ACT Wazalendo.

•Waziri Kivuli wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi.

•Makamu Mwenyekiti mstaafu Ngome ya vijana Taifa.

ID:1277293243

linkhttp://www.actwazalendo.or.tz calendar_today18-03-2013 09:36:31

6,3K Tweets

2,1K Followers

446 Following

Ismail Jussa(@IsmailJussa) 's Twitter Profile Photo

Aprili 20, 2024 Chama cha ACTWazalendo kitafanya Uchambuzi wa Ripoti ya .

Mahala: Jengo la Maalim Seif
Ukumbi: Hakainde Hichilema
Muda: Saa 5:00 Asubuhi


Aprili 20, 2024 Chama cha @ACTwazalendo kitafanya Uchambuzi wa Ripoti ya #CAG. Mahala: Jengo la Maalim Seif Ukumbi: Hakainde Hichilema Muda: Saa 5:00 Asubuhi #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
account_circle
Selemani Misango(@SelemaniMisango) 's Twitter Profile Photo

Aprili 20, 2024 Chama cha ACTWazalendo kitafanya uchambuzi wa ripoti wa CAG.

Mahala: Jengo la Maalim Seif Magomeni
Ukumbi: Hakainde Hichilema
Muda: 5:00 Asubuhi

Aprili 20, 2024 Chama cha @ACTwazalendo kitafanya uchambuzi wa ripoti wa CAG. Mahala: Jengo la Maalim Seif Magomeni Ukumbi: Hakainde Hichilema Muda: 5:00 Asubuhi
account_circle
Selemani Misango(@SelemaniMisango) 's Twitter Profile Photo

Kuelekea maaadhimisho ya miaka 10 ya ACTWazalendo kitaifa yatafanyika Mkoani Kigoma.
Tunakupa sababu za kwanini utuamini na kujiunga na sisi.
Karibuni ACT Wazalendo tujenge pamoja Taifa la wote kwa Maslahi ya wote.



account_circle
Selemani Misango(@SelemaniMisango) 's Twitter Profile Photo

Kwa dhati kabisa napenda kumshukuru na kumpongeza Ndg.Zitto MwamiRuyagwa Kabwe kwa kazi kubwa aliyoifanya ya kukijenga chama hiki kwa kipindi chote alichokuwa KC.
Leo sisi ni chama kilicho tayari kuongoza serikali.
Tumeenea nchi nzima.



account_circle
Ndolezi(@Ndolezi_Petro) 's Twitter Profile Photo

Wenye Chuki na Wivu na makuzi ya ACT Wazalendo Katika safari hii ya miaka 10 wameendelea kutukana na kukipa chama majina wayapendayo Kila kukicha . Mungu anazidi kuonyesha ukuu wake na kusimama na ACT Wazalendo kwani Kila kukicha badala ya kushuka kinazidi kukua kwa kasi zaidi.

account_circle
Ndolezi(@Ndolezi_Petro) 's Twitter Profile Photo

Dakika 2:20 za Mwami Ruyagwa Zitto MwamiRuyagwa Kabwe ndani ya ZBC juu ya wito wa ACT Wazalendo kwa Tume ya sasa iliyopo ya Uchaguzi na Sheria Mpya ya Tume Huru ya Uchaguzi

Sikiliza 👇

account_circle
Ndolezi(@Ndolezi_Petro) 's Twitter Profile Photo

Safari ya miaka 10 ya ACT Wazalendo imekuwa ya Baraka sana kwani imenikutanisha na Dada zangu hawa shangwe Ayo na Ester Thomas . Tumekuwa zaidi ya marafiki na sasa ni Ndugu tunapambana pamoja kwa ushirikiano wa hali ya juu.

ACT Wazalendo ni raha na furaha.

Safari ya miaka 10 ya ACT Wazalendo imekuwa ya Baraka sana kwani imenikutanisha na Dada zangu hawa @ayo_shangwe na @Ester_Thomas1 . Tumekuwa zaidi ya marafiki na sasa ni Ndugu tunapambana pamoja kwa ushirikiano wa hali ya juu. ACT Wazalendo ni raha na furaha.
account_circle
Ndolezi(@Ndolezi_Petro) 's Twitter Profile Photo

Mjumbe wa Kamati Kuu na Makamu Mwenyekiti Ngome ya Vijana ACT Wazalendo Bara shukrani sana. Nawe umeendelea kuwa bora sana na kufanya kazi za field.

Miaka 10 ya ACT Wazalendo ni Miaka yenye mafunzo haswa kwetu Vijana.

Tukutane

Zanzibar 21/04

Kilimanjaro 27/04

Kigoma 5/5

account_circle
Ndolezi(@Ndolezi_Petro) 's Twitter Profile Photo

Safari ya miaka 10 ya ACT Wazalendo imekuwa yenye mawimbi mengi na milima ya kupanda na kushuka. Chama kimepita kwenye Moto Mkali wa JPM Kikakosa fursa ya kujijenga kwa miaka 7 ya giza Tanzania. Mungu ni mwema chama kimeendelea kusimama na kuimarika zaidi Kila kukicha.

Safari ya miaka 10 ya ACT Wazalendo imekuwa yenye mawimbi mengi na milima ya kupanda na kushuka. Chama kimepita kwenye Moto Mkali wa JPM Kikakosa fursa ya kujijenga kwa miaka 7 ya giza Tanzania. Mungu ni mwema chama kimeendelea kusimama na kuimarika zaidi Kila kukicha.
account_circle
Ndolezi(@Ndolezi_Petro) 's Twitter Profile Photo

Miaka 10 ya ACT Wazalendo imekuwa ya kuhubiri demokrasia kwa Vitendo kuliko chama chochote Cha upinzani. Viongozi wanawajibika kwa Vitendo kwa kuheshimu Katiba na tumeona KC,Zitto MwamiRuyagwa Kabwe baada ya kumaliza muda wake kikatiba amestaafu na kukabidhi kijiti kwa Mama yetu Dorothy Semu

Miaka 10 ya ACT Wazalendo imekuwa ya kuhubiri demokrasia kwa Vitendo kuliko chama chochote Cha upinzani. Viongozi wanawajibika kwa Vitendo kwa kuheshimu Katiba na tumeona KC,@zittokabwe baada ya kumaliza muda wake kikatiba amestaafu na kukabidhi kijiti kwa Mama yetu @SemuDorothy
account_circle
Ndolezi(@Ndolezi_Petro) 's Twitter Profile Photo

Safari ya miaka 10 ya ACT Wazalendo imeendelea kuwavutia Vijana wa Kike na kundi la Wanawake kwa ujumla kuweza kujiunga na Chama na kushiriki safari ya kushinda dola na kuongoza Nchi. Ester Thomas ni Moja ya Vijana Wasomi wa level ya Master degree na mwenye uwezo mkubwa.

Safari ya miaka 10 ya ACT Wazalendo imeendelea kuwavutia Vijana wa Kike na kundi la Wanawake kwa ujumla kuweza kujiunga na Chama na kushiriki safari ya kushinda dola na kuongoza Nchi. @Ester_Thomas1 ni Moja ya Vijana Wasomi wa level ya Master degree na mwenye uwezo mkubwa.
account_circle
Ndolezi(@Ndolezi_Petro) 's Twitter Profile Photo



Ni fahari kubwa sana kwangu kuendelea kuwa sehemu ya safari ya ujenzi wa chama Cha ACT Wazalendo chenye maono ya kisera makubwa ya kulikomboa Taifa na kuwainua walala hoi. Miaka 10 ya ACT Wazalendo imekuwa yenye kutujengea uwezo Vijana

#10YearsOfAACTWazalendo Ni fahari kubwa sana kwangu kuendelea kuwa sehemu ya safari ya ujenzi wa chama Cha ACT Wazalendo chenye maono ya kisera makubwa ya kulikomboa Taifa na kuwainua walala hoi. Miaka 10 ya ACT Wazalendo imekuwa yenye kutujengea uwezo Vijana
account_circle
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe(@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

Natoa pole na salaamu za mshikamano kwa wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua kufuatia mafuriko makubwa sana yaliyopelekea nyumba kubomoka, watu kukosa makazi na wengine wapo mahospitalini. Kata zilizoathiriwa ni pamoja na;

Usinge
Ugunga
Kazaroho
Igwisi
Usenye
Ukumbi…

Natoa pole na salaamu za mshikamano kwa wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua kufuatia mafuriko makubwa sana yaliyopelekea nyumba kubomoka, watu kukosa makazi na wengine wapo mahospitalini. Kata zilizoathiriwa ni pamoja na; Usinge Ugunga Kazaroho Igwisi Usenye Ukumbi…
account_circle