MwanaHALISI Digital(@Mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

Aliyekuwa Mgombea Udiwani (2020) Kata ya Mletele Jimbo la Songea ambaye pia alikuwa Mwenyekiti wa CHADEMA wa Kata hiyo amejiunga na ACT Wazalendo na kupokelewa na Katibu Mkuu Ndg. Ado Shaibu.

Aliyekuwa Mgombea Udiwani (2020) Kata ya Mletele Jimbo la Songea ambaye pia alikuwa Mwenyekiti wa CHADEMA wa Kata hiyo amejiunga na ACT Wazalendo na kupokelewa na Katibu Mkuu Ndg. Ado Shaibu. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
account_circle
Mzalendo Tz(@Mzalendotz98Tz) 's Twitter Profile Photo

πŸ“Bariadi- SIMIYU

Kikao cha kamati ya uongozi mkoa wa SIMIYU kilichoketi Jana, 20 Aprili 2024 kufanya tathimini ya maadhimisho ya miaka kumi ya ACTWazalendo na kuweka mipango mikakati kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa.

ACTWazalendo

πŸ“Bariadi- SIMIYU

Kikao cha kamati ya uongozi mkoa wa SIMIYU kilichoketi  Jana, 20 Aprili 2024 kufanya tathimini ya maadhimisho ya miaka kumi ya @ACTwazalendo  na kuweka mipango mikakati kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa.

@ACTwazalendo
#TaifaLaWote
#MaslahiYaWote
account_circle
Kassala(@Vicent_Kassala) 's Twitter Profile Photo

Hii ndio nembo mpya ya chama chetu ACTWazalendo. Imezinduliwa rasmi na Kiongozi wa Chama Ndg. Dorothy Semu leo katika Mkutano Mkuu wa Kidemokrasia uliofanyika Moshi Kilimanjaro. Itaanza kutumika rasmi siku ya kuzaliwa Chama, yaani tarehe 05/05/2024.


Hii ndio nembo mpya ya chama chetu @ACTwazalendo. Imezinduliwa rasmi na Kiongozi wa Chama Ndg. @SemuDorothy leo katika Mkutano Mkuu wa Kidemokrasia uliofanyika Moshi Kilimanjaro. Itaanza kutumika rasmi siku ya kuzaliwa Chama, yaani tarehe 05/05/2024.

#TaifaLaWote
#MaslahiYaWote
account_circle
kelvin Joseph(@KelvineJoseph) 's Twitter Profile Photo

Mkutano Mkuu wa kidemokrasia 27/04/2024 watz watashuhudia siasa safi ACTWazalendo. Na baada ya hilo tutakuwa kazini kuhakikisha kuanzia ujumbe,mitaa, vitongoji,vijiji ni kushinda na hatuna masihahara na hili. Nipo moshi tayari karibuni

Mkutano Mkuu wa kidemokrasia 27/04/2024 #Kilimanjaro watz watashuhudia siasa safi @ACTwazalendo. Na baada ya hilo tutakuwa  kazini kuhakikisha kuanzia ujumbe,mitaa, vitongoji,vijiji ni kushinda na hatuna masihahara na hili. Nipo moshi tayari #TaifaLaWote #MaslahiYaWote karibuni
account_circle