COCOMEDICS (@cocomedics) 's Twitter Profile
COCOMEDICS

@cocomedics

ID: 1536798552961204227

calendar_today14-06-2022 19:52:20

360 Tweet

302 Followers

898 Following

๐“๐จ๐ฉ๐ƒ๐š๐ฐ๐ ๐…๐œ๐›โ„ข๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ (@plutovibez_) 's Twitter Profile Photo

Kwa zaidi ya miaka mitano sasa TASSAA STUDY ABROAD wamesaidia wanafunzi zaidi ya 1000 kupata vyuo vikuu nje ya nchi. Tazama kozi zilizopo nchini cyprus kwa bajeti ya 6M tu kwa mwaka. Wacheki 0747173931 watakusaidia au fika ofisini kwao floor ya 5, Tanzanite Park, Victoria, Daressalaam. RT

ู…ูŠุฏ | MED๐Ÿ’‰๐ŸŽ“ (@medical_md1) 's Twitter Profile Photo

Plantar grasp reflex ๐Ÿ‘ถ๐Ÿป๐Ÿฅฐ It happens when you press on the sole of the foot ๐Ÿ‘‰๐Ÿผ flexion + adduction of all the toes๐Ÿค— It has a high diagnostic significance in which a negative or absent reflex is usually a sensitive indicator of spasticity! .

therealcal๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@mrlyimoo) 's Twitter Profile Photo

Hakuna mtu aliyezaliwa akiwa amebeba uzito wa maisha kwenye bega lake. Lakini ni namna tunavyoshughulika na changamoto ndogo ndogo ndivyo tunavyojenga nguvu ya kukabiliana na maisha magumu

Hakuna mtu aliyezaliwa akiwa amebeba uzito wa maisha kwenye bega lake. Lakini ni namna tunavyoshughulika na changamoto ndogo ndogo ndivyo tunavyojenga nguvu ya kukabiliana na maisha magumu
Kabigwa_Afya๐Ÿ’Š (@kabigwa_78) 's Twitter Profile Photo

Kwa macho mazuri, kula karoti ๐Ÿฅ• Kwa ngozi nzuri, kula limao๐Ÿ‹ Kwa utumbo mzuri, kula kabichi ๐Ÿฅฌ Kwa tezi dume nzuri, kula nyanya ๐Ÿ… Kwa figo nzuri, kunywa maji ๐Ÿ’ฆ Kwa moyo mzuri, kula parachichi ๐Ÿฅ‘ Kama unakohoa, kula nanasi ๐Ÿ Kama una msongo wa mawazo, kula ndizi ๐ŸŒ

CHASO DAR ES SALAAM (@darchaso) 's Twitter Profile Photo

@soka na wenzie ni Watanzania kama walivo watanzania wengine wanahaki ya kuishi kwenye nchi yao. Police Force TZ hata lini mtakua watumwa,hata nyie mnao ndugu kama Soka na wenzie waachieni vijana huru acheni kufanya kazi kwa mihemko.

@soka na wenzie ni Watanzania kama walivo watanzania wengine wanahaki ya kuishi kwenye nchi yao.
<a href="/tanpol/">Police Force TZ</a> hata lini mtakua watumwa,hata nyie mnao ndugu kama Soka na wenzie waachieni vijana huru acheni kufanya kazi kwa mihemko.
GreaterThinker๐Ÿ’Ž (@hopequotes__) 's Twitter Profile Photo

SOKA alipo kamatwa kwa Mara ya pili ile siku anajiandaa Kusafiri kuelekea MBEYA kuungana na Wanachama Wenzake Kusherekea Siku ya VIJANA duniani, Walio Mkamta walimwambia umekua ukitusumbua Sanaa Umezoea Ukikamatwa Watu Wanapiga Kelele Mitandaoni unaachiwa, Sasa Tunakuaidi