Aiman_jnr๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@aiman_jr1) 's Twitter Profile
Aiman_jnr๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@aiman_jr1

VIP driver by profession.
Mechanic guy โš™๏ธ.

ID: 1591703581895401472

calendar_today13-11-2022 08:05:01

7,7K Tweet

923 Followers

585 Following

Aiman_jnr๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@aiman_jr1) 's Twitter Profile Photo

Ukipigiwa honi ni kuwa unapewa tahadhari kwamba kuna mtumiaji mwingine wa barabara. The day I die tell my daughter sumaiya, she was the last thing i love ever. Tell my mom, I was speeding and laughing. Tell my dad and brothers, I won't hurt them anymore.

Aiman_jnr๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@aiman_jr1) 's Twitter Profile Photo

Kile kipindi nafsi na mategemeo yake yalikuwa kudumu katika migodi. Wakati napanga Mwenyezi Mungu nae alikuwa akipanga kitu kingine kipya kwangu. #TBT

Kile kipindi nafsi na mategemeo yake yalikuwa kudumu katika migodi.

Wakati napanga Mwenyezi Mungu nae alikuwa akipanga kitu kingine kipya kwangu.
#TBT
Jalilu Zaid (@jaliluzaid) 's Twitter Profile Photo

Kuomba kunadhalilisha. Jinsi ambavyo ndugu zetu wanaowania nafasi mbalimbali za uongozi wanavyokubali kujishusha kwa watu wa hali ya chini kabisa ili mradi waweze kuwachagua inatoa tafsiri ya kuwa hata uwe nani bado ni ngumu kuweza kufanikisha mambo yako bila kumtegemea mtu

Jalilu Zaid (@jaliluzaid) 's Twitter Profile Photo

Maisha ya ulimwengu ni ya muda mfupi na ni starehe ambayo haidumu kwa yeyote bila kujali wewe ni nani au unamjua nani au una nini. Aliye salimika kwa Mwenyezi Mungu ni yule ambaye watu wanasalimika kutokana na ulimi wake na matendo yake. โ€œNa maisha ya dunia si chochote ila ni