Tahhani(@Tahhani7) 's Twitter Profileg
Tahhani

@Tahhani7

Ecology center of life

ID:1561995961181913088

calendar_today23-08-2022 08:37:24

246 Tweets

19 Followers

303 Following

Cyril Ramaphosa 🇿🇦(@CyrilRamaphosa) 's Twitter Profile Photo

There are those who are unhappy that we are reducing load shedding. We had said that we are implementing the energy action plan - servicing and maintaining our power stations to address the challenge of interruptions in energy supply.

account_circle
Cyril Ramaphosa 🇿🇦(@CyrilRamaphosa) 's Twitter Profile Photo

The African National Congress is nothing like those formations that rely on one leader. We have a full phalanx of capable leaders who are able to articulate positions of the ANC.

account_circle
Fabrizio Romano(@FabrizioRomano) 's Twitter Profile Photo

🚨🔵 Pep Guardiola’s full rant: “It's unacceptable to play today. It's unacceptable. It's not normal. For the health of the players, after 120 minutes... it's unacceptable”.

“I don't understand how we survived today”.

“Nothing is gonna change. Nothing. Why today and not…

🚨🔵 Pep Guardiola’s full rant: “It's unacceptable to play today. It's unacceptable. It's not normal. For the health of the players, after 120 minutes... it's unacceptable”. “I don't understand how we survived today”. “Nothing is gonna change. Nothing. Why today and not…
account_circle
Mdude Chadema(@mdudechadematz) 's Twitter Profile Photo

Ndugu wanaharakati kuna tetesi za uwepo wa kikosi cha utekaji kinachoratibiwa na Tulia Aksoni, RSO wa Mbeya, Bashite pamoja na Rostam Aziz. Inadaiwa kikosi hiki ndio kimemteka Kennedy Mwamlima. Tafadhari tembeeni na silaha za kujihami na mkiwaona watekaji hawa piga yowe ya wezi.

account_circle
Godbless E.J. Lema(@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Naambiwa hii ajali imetokea Minjingu.Tengenezeni sheria kali na utaratibu wa kudhibiti vifo vya vijana hawa wa boda boda,ikiwa ni pamoja na mafunzo serious kuhusu dreva wa pikipiki(Boda boda).Mnawamaliza hawa vijana kwa sababu ya ujinga na uzembe wenu.Pikipiki haipaswi kuwa…

Naambiwa hii ajali imetokea Minjingu.Tengenezeni sheria kali na utaratibu wa kudhibiti vifo vya vijana hawa wa boda boda,ikiwa ni pamoja na mafunzo serious kuhusu dreva wa pikipiki(Boda boda).Mnawamaliza hawa vijana kwa sababu ya ujinga na uzembe wenu.Pikipiki haipaswi kuwa…
account_circle
David Djumbe(@daviddjumbe) 's Twitter Profile Photo

Tweet hadi hii picha iwafikie hawa watoto, walimuomba Mh Tundu Antiphas Lissu picha, tukawapiga. hawakuwa na simu zao, as you know ni wanafunzi, huko Mbeya wakiipata picha hii itakuwa furaha Sana kwao. CHADEMA Tanzania Hilda Newton Maria Sarungi Tsehai Historia Yetu MalisaGJ Mdude Chadema

Tweet hadi hii picha iwafikie hawa watoto, walimuomba Mh @TunduALissu picha, tukawapiga. hawakuwa na simu zao, as you know ni wanafunzi, huko Mbeya wakiipata picha hii itakuwa furaha Sana kwao. @ChademaTz @HildaNewton21 @MariaSTsehai @HistoriaYetu @MalisaGJ_ @mdudechadematz
account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Tumebarikiwa mawaziri mizigo. Waziri wa madini unalalamika na kutusimulia kuna watu 6 tu wanahodhi maeneo yenye ukubwa wa ekari milioni 13 (mara nne ya mkoa wa Kilimanjaro. Hao watu hawana majina? Tukusaidie nini baada ya kulalamika? Tuwape lawama CHADEMA kwa kuuza hiyo ardhi?

Tumebarikiwa mawaziri mizigo. Waziri wa madini unalalamika na kutusimulia kuna watu 6 tu wanahodhi maeneo yenye ukubwa wa ekari milioni 13 (mara nne ya mkoa wa Kilimanjaro. Hao watu hawana majina? Tukusaidie nini baada ya kulalamika? Tuwape lawama CHADEMA kwa kuuza hiyo ardhi?
account_circle
Boniface Mwabukusi(@Mwabuk2Boniface) 's Twitter Profile Photo

Hawaibi fedha za Umma wanaiba nchi na wananchi na kuikabidhi vipande vipande kwa wageni huku kama majuha wakitupigisha story za Hayati na kwengine Simba na Yanga.

Nikama tumepigwa sindano ya ganzi inayodhibiti tafakuru tunduizi.Kuna uzuzu wa kujitakia.

Hawaibi fedha za Umma wanaiba nchi na wananchi na kuikabidhi vipande vipande kwa wageni huku kama majuha wakitupigisha story za Hayati na kwengine Simba na Yanga. Nikama tumepigwa sindano ya ganzi inayodhibiti tafakuru tunduizi.Kuna uzuzu wa kujitakia.
account_circle