Historia Yetu(@HistoriaYetu) 's Twitter Profileg
Historia Yetu

@HistoriaYetu

Ukurasa kuhusu historia ya Tanzania. Kabla na baada ya uhuru. Tundikie 📧- [email protected]

ID:1429749964775768066

linkhttp://www.historiayetu.com calendar_today23-08-2021 10:19:17

1,3K Tweets

33,8K Followers

0 Following

Historia Yetu(@HistoriaYetu) 's Twitter Profile Photo

📍Peking, China - Feb 20, 1965

Rais wa Tanzania Hayati Mwalimu Julius Nyerere pamoja na Mwenyeki wa Chama cha Kikomunist cha China Liu Shao-chi wakitia saini hati ya makubaliano ya Urafiki kati ya Tanzania na China.

Leo Jiijini Dar es Salaam, ubalozi wa Chinese Embassy in Tanzania kwa…

account_circle
Historia Yetu(@HistoriaYetu) 's Twitter Profile Photo

Prof. Mwaikambo

Ester Mwaikambo, 1969 aliporejea kutoka Urusi masomoni, alikuwa mwanamke wa kwanza Daktari (Medical Doctor) nchini Tanzania.

1977, Prof. Mwaikambo alikuwa Daktari wa kwanza wa watoto mwanamke Tanzania (paediatrician).

1987, alianzisha cha Madaktari Wanawake…

Prof. Mwaikambo Ester Mwaikambo, 1969 aliporejea kutoka Urusi masomoni, alikuwa mwanamke wa kwanza Daktari (Medical Doctor) nchini Tanzania. 1977, Prof. Mwaikambo alikuwa Daktari wa kwanza wa watoto mwanamke Tanzania (paediatrician). 1987, alianzisha cha Madaktari Wanawake…
account_circle
Historia Yetu(@HistoriaYetu) 's Twitter Profile Photo

Tanganyika, Ujiji Kigoma 1930

Mahakamani Kigoma Ujiji. Kwa makosa madogo ya kinidhami au ya kijamii, utawala wa Mwingereza Tanganyika baada ya vita ya kwanza dunia, uliyaacha chini ya Mahakama kama hizi. Kwa yale makubwa ya jinai, yalishughulikiwa na Mahakama kubwa [British…

Tanganyika, Ujiji Kigoma 1930 Mahakamani Kigoma Ujiji. Kwa makosa madogo ya kinidhami au ya kijamii, utawala wa Mwingereza Tanganyika baada ya vita ya kwanza dunia, uliyaacha chini ya Mahakama kama hizi. Kwa yale makubwa ya jinai, yalishughulikiwa na Mahakama kubwa [British…
account_circle
Historia Yetu(@HistoriaYetu) 's Twitter Profile Photo

June 19, 1978, Dar es Salaam

Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Mh. Edward Sekoine akizungumza wakati wa Mkutano wa Kamati ya Ukombozi wa Bara la Afrika (OAU Liberation Committee) ambayo ilikuwa na makao makuu yake jijini Dar es Salaam.

Hapa Mh. Sokoine aliipongeza kamati hiyo…

account_circle
Historia Yetu(@HistoriaYetu) 's Twitter Profile Photo

Rufiji, 1968

Serikali ya Tanzania iliwatangazia watu waishio katika Bonde la Mto Rufiji, kuhama kwa muda kutokana na mafuriko makubwa ya mto huo.

Takribani watu 51,000 wanaishi katika vijiji takribani 90 wajulikanao kama Warufiji waliishi katika eneo hilo.

Mwaka huu, serikali…

account_circle
Historia Yetu(@HistoriaYetu) 's Twitter Profile Photo

Rufiji, 1970

Mwaka 1970, zaidi ya watu 50,000 walihamishwa na serikali baada ya mafuriko ya Mto Rufiji kutokana na mvua kubwa.

Mto Rufiji kila katika msimu wa mvua kubwa, hufurika na kuathiri makazi watu, mashamba, barabara na muda mwingine, husababisha vifo vya watu.…

account_circle
Historia Yetu(@HistoriaYetu) 's Twitter Profile Photo

Sheikh Abeid Karume (1905 - 1972)

Rais wa kwanza wa Zanzibar na Makamu wa Rais wa kwanza wa Tanzania.

📸1965.

(Photo by Dalmas/Pix/Michael Ochs Archives/Getty Images)

Sheikh Abeid Karume (1905 - 1972) Rais wa kwanza wa Zanzibar na Makamu wa Rais wa kwanza wa Tanzania. 📸1965. (Photo by Dalmas/Pix/Michael Ochs Archives/Getty Images) #KaurmeDay
account_circle
Historia Yetu(@HistoriaYetu) 's Twitter Profile Photo

KALULU FALLS, CONGO

Kalulu alizaliwa mwaka 1865 Tabora, Tanzania. Alifariki mwaka 1877 kwa ajali ya mtumbwi mto Congo.

Kalulu alikuwa akiitwa Ndugu M'hali na jina la nyongrza ni Kalulu na alilipenda. Hakupenda kubadilishwa jina tena isipokuwa Kalulu.

Kalulu alikuwa rafiki wa…

KALULU FALLS, CONGO Kalulu alizaliwa mwaka 1865 Tabora, Tanzania. Alifariki mwaka 1877 kwa ajali ya mtumbwi mto Congo. Kalulu alikuwa akiitwa Ndugu M'hali na jina la nyongrza ni Kalulu na alilipenda. Hakupenda kubadilishwa jina tena isipokuwa Kalulu. Kalulu alikuwa rafiki wa…
account_circle
Historia Yetu(@HistoriaYetu) 's Twitter Profile Photo

Je, Young Africans SC italipiza Kisasi kwa Madiba dhidi ya Mamelodi Sundowns FC?

2001 Yanga ilitolewa hatua ya raundi ya pili ya michuano ya TotalEnergiesCAFCL & TotalEnergiesCAFCC 🏆 pale kwenye Dimba la CCM Kirumba Mwanza.

Agg ilikuwa 6-5 ambapo Mamelodi alipita kwa tofauti ya goli moja. Ilikuwaje?

Mchezo wa kwanza…

Je, @YoungAfricansSC italipiza Kisasi kwa Madiba dhidi ya @Masandawana? 2001 Yanga ilitolewa hatua ya raundi ya pili ya michuano ya @CAFCLCC pale kwenye Dimba la CCM Kirumba Mwanza. Agg ilikuwa 6-5 ambapo Mamelodi alipita kwa tofauti ya goli moja. Ilikuwaje? Mchezo wa kwanza…
account_circle
Historia Yetu(@HistoriaYetu) 's Twitter Profile Photo

📍Dar es Salaam, March, 1961

“Release Jomo Kenyatta”, mabango yakisomeka hivyo. watoto wa Kitanganyika wakiishinikiza serikali ya mkoloni (Uingereza) nchini Kenya wamwachie huru Baba wa Taifa hilo, Jomo Kenyatta aliyoko korokoroni tangu 1952. Agost 21, 1961 J.K aliachiwa huru.

📍Dar es Salaam, March, 1961 “Release Jomo Kenyatta”, mabango yakisomeka hivyo. watoto wa Kitanganyika wakiishinikiza serikali ya mkoloni (Uingereza) nchini Kenya wamwachie huru Baba wa Taifa hilo, Jomo Kenyatta aliyoko korokoroni tangu 1952. Agost 21, 1961 J.K aliachiwa huru.
account_circle
Historia Yetu(@HistoriaYetu) 's Twitter Profile Photo

📍Dodoma, 25 June 2002

Ajali mbaya ya treni enoo la Igandu Dodoma yaua watu zaidi 200. Rais B.W Mkapa afanya ziara kwenye eneo hilo. Moja ya ajali mbaya kutokea Tanzania.

Unaikumbuka?

📍Dodoma, 25 June 2002 Ajali mbaya ya treni enoo la Igandu Dodoma yaua watu zaidi 200. Rais B.W Mkapa afanya ziara kwenye eneo hilo. Moja ya ajali mbaya kutokea Tanzania. Unaikumbuka?
account_circle