Joel Ole Meitaya๐ง
@joelymeitaya
Proud Son of Maasai,Activist,Maasai Land Rights Advocate,CEO: @ReclaimMaasaiLandMovement
ID: 1395439527582371845
http://www.joelly.com 20-05-2021 18:01:57
11,11K Tweet
5,5K Followers
5,5K Following
Rais Samia Suluhu umemuua mzee Ally Kibao kwa kifo cha kikatili sana sasa tunataka kujua Soka na wenzake wako wapi? Tunajua polisi walikutisha kwamba anataka kuleta Generation z ukabariki watekwe sasa wako wapi? Hivi unajua bunduki haziwezi kukulinda Mungu akiamua kukupiga?
...Tunaomba mdahalo next week Edwin Odemba Haya ni maoni ya watu wengi,kama ilivokuwa Jana kati Trump na Kamala Donald J. Trump Vs Kamala Harris
BALAA! LISSU AKINUKISHA SAKATA LA KUUWAWA KIONGOZI MWENZAO ATINGA DAR US... youtu.be/cJq2-4waPD4?siโฆ Piga spana ๐๐ฝ Tundu Antiphas Lissu
Najiwazia hapa; kwanini wanaodai wanafuatiliwa au kutekwa ni wafuasi wa CHADEMA tu? Tuna vyama zaidi ya 20 nchini wanaokosoa kama CHADEMA mbona hawaguswi? Nahisi CHADEMA ndio chanzo kikuu cha tatizo. CHADEMA acheni kumchokonoa wetu mpenda utu Haki na Uhuru Dkt Samia Suluhu