Mcheche jr(@FrankShadrack) 's Twitter Profileg
Mcheche jr

@FrankShadrack

B.A(Ed) 2015 JUCO| Tanzanian ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ|Instructor (History & English language |Leader|Email at: [email protected]

ID:1568983070

linkhttp://www.facebook.com/mwibarabrotherhood calendar_today04-07-2013 20:14:47

1,6K Tweets

1,7K Followers

2,8K Following

Samatime Car Dealers Co Ltd(@samatimemagari) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ”ฅToyota Fortuner Bonge la Machine.
.
Hivi umewahi kujiuliza kwanini hiza gari bei mkasi sana [zamoto].
.
Halafu zinatumiwa sana na mabalozi na miradi ya maendeleo ambayo iko funded.
.
Kaa vizuri andaa kifungia kinywa/juice na kitumbua chako pembeni [kama unacho] twende pamoja๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅToyota Fortuner Bonge la Machine. . Hivi umewahi kujiuliza kwanini hiza gari bei mkasi sana [zamoto]. . Halafu zinatumiwa sana na mabalozi na miradi ya maendeleo ambayo iko funded. . Kaa vizuri andaa kifungia kinywa/juice na kitumbua chako pembeni [kama unacho] twende pamoja๐Ÿ‘‡
account_circle
LUSAJO(@sajo_mwaihabi) 's Twitter Profile Photo

Siku Moja katika mwezi wa 9 mwaka jana, nilipigiwa simu na kampuni fulani maeneo ya Mikocheni.

Waliniomba nikafanye training ya team yao kwa Sababu MAUZO YAMEDUMAA na yanaelekea kufa kabisa.

Niligundua UGONJWA ambao unatesa kampuni nyingi hapa TZ.

Shuka na ๐Ÿงต tujifunze

account_circle
M.D (๐Ÿ…จ)(@ReganTesha_) 's Twitter Profile Photo

Tafadhali ajitokeze mtu anitue huu mzigo kwa Sh. 500,000 akaufunge sebuleni kwake.

Huu mzigo ni
Alyons 43 inch Smart TV

Call/Whatsapp 0716006808.

Tafadhali ajitokeze mtu anitue huu mzigo kwa Sh. 500,000 akaufunge sebuleni kwake. Huu mzigo ni Alyons 43 inch Smart TV Call/Whatsapp 0716006808.
account_circle
Muuza mashuka online store๐Ÿช๐Ÿช(@Johwizzy1) 's Twitter Profile Photo

NAOMBA ๐Ÿ™

NETI ORIGINAL YA HEMA KUBWA๐Ÿ“Œ
SIZE: 5/6 & 6/6โœ…

ELFU 45,000๐Ÿ’ฐ TU

TUPO DAR๐Ÿ“, DELIVERY IPO๐Ÿ“Œ

WhatsApp me, For more sample ๐Ÿ‘‡
โ˜Ž๏ธ wa.me/+255620874113

YOTE NATUMA๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿšš

NAOMBA #REPOST๐Ÿ™ NETI ORIGINAL YA HEMA KUBWA๐Ÿ“Œ SIZE: 5/6 & 6/6โœ… ELFU 45,000๐Ÿ’ฐ TU TUPO DAR๐Ÿ“, DELIVERY IPO๐Ÿ“Œ WhatsApp me, For more sample ๐Ÿ‘‡ โ˜Ž๏ธ wa.me/+255620874113 #MIKOA YOTE NATUMA๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿšš
account_circle
Kabati decor(@Onedeiyes) 's Twitter Profile Photo

Na nyingine hizi hapa๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
Kabati za kisasa material ni plastic ๐Ÿ™‡โ€โ™‚๏ธ

Kabati za plastic zenye kudumu na muonekano mzuri ndani kwako๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
Bei Tsh 130000
Tunafanya Delivery malipo ni baada ya kupokea mzigo ๐Ÿš›โ›Ÿ๐ŸšŒ
โ˜Ž๏ธ0628 268 084

Na nyingine hizi hapa๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ Kabati za kisasa material ni plastic ๐Ÿ™‡โ€โ™‚๏ธ Kabati za plastic zenye kudumu na muonekano mzuri ndani kwako๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š Bei Tsh 130000 Tunafanya Delivery malipo ni baada ya kupokea mzigo ๐Ÿš›โ›Ÿ๐ŸšŒ โ˜Ž๏ธ0628 268 084
account_circle
DOCHA ๎จ€(@ALugandu) 's Twitter Profile Photo

Karibu ujipatie mashine ya pichambao pamoja na vifaa vyake, ninauza jumla na rejareja Mafunzo ni bure kabisa kwa wanaochukua vifaa.

Mashine haitumii umeme ni manual, mikoani nasafirisha kwa njia ya Bus na kuna video zipo za mafunzo

๐Ÿ“Sinza palestina
โ˜Ž๏ธ 0786445451

Naomba Rt๐Ÿ™

Karibu ujipatie mashine ya pichambao pamoja na vifaa vyake, ninauza jumla na rejareja Mafunzo ni bure kabisa kwa wanaochukua vifaa. Mashine haitumii umeme ni manual, mikoani nasafirisha kwa njia ya Bus na kuna video zipo za mafunzo ๐Ÿ“Sinza palestina โ˜Ž๏ธ 0786445451 Naomba Rt๐Ÿ™
account_circle
๐†๐š๐ฏ๐ข๐ง๐๐ž ๐Ÿ’Ž(@techygaspar) 's Twitter Profile Photo

Fahamu VPN kubwa 7 Ambazo Unaweza Kupata Free Internet Baada ya 75%
Hakuna meseji inaboa kama ya 75% watumiaji wengi wa mitandao wanashindwa kuenjoy sababu ya gharama za kukaa mtandaoni
Veep ukipata solution ambalo litaextend mda wako na kukamilisha mizunguko yako Tiktok๐Ÿ‘‡

Fahamu VPN kubwa 7 Ambazo Unaweza Kupata Free Internet Baada ya 75% Hakuna meseji inaboa kama ya 75% watumiaji wengi wa mitandao wanashindwa kuenjoy sababu ya gharama za kukaa mtandaoni Veep ukipata solution ambalo litaextend mda wako na kukamilisha mizunguko yako Tiktok๐Ÿ‘‡
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Soko la ushindani kwenye kuitafuta ajira ukisahau teknolojia basi na yenyewe inakusahau, tumesikia kuhusu WASIFU si ndio?

#SUPATECH: Soko la ushindani kwenye kuitafuta ajira ukisahau teknolojia basi na yenyewe inakusahau, tumesikia kuhusu WASIFU si ndio?
account_circle
Fortunatus Buyobe(@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Hivi karibuni kuna ndugu yangu wa karibu sana alinipigia Video Call.

Binafsi sipendi sana Video calls lakini kwa heshima nimpayo huyu aliyenipigia, sikuwa na budi kupokea simu ile.

Hivi karibuni kuna ndugu yangu wa karibu sana alinipigia Video Call. Binafsi sipendi sana Video calls lakini kwa heshima nimpayo huyu aliyenipigia, sikuwa na budi kupokea simu ile.
account_circle