TAMWA Zanzibar(@TAMWA_Zanzibar) 's Twitter Profileg
TAMWA Zanzibar

@TAMWA_Zanzibar

TAMWA Zanzibar is a non-partisan not for profit sharing, non-Governmental professional membership organization. #MwanamkeNiKiongozi #ZuiaUkatiliZanzibar

ID:855043886313594887

linkhttp://www.tamwaznz.or.tz calendar_today20-04-2017 13:02:03

3,0K Tweets

2,3K Followers

2,0K Following

Follow People
TAMWA Zanzibar(@TAMWA_Zanzibar) 's Twitter Profile Photo

'Vyombo vya habari vinatakiwa kufikisha elimu kwa wazazi na jamii kupitia vipindi na makala ili kuwapa elimu kuacha tabia ya kuwatenga wavulana na wasichana katika michezo,' Hawra Shamte mtaalam masuala ya kijinsia.

Ipi njia sahihi watoto wa kike kushiriki ?

'Vyombo vya habari vinatakiwa kufikisha elimu kwa wazazi na jamii kupitia vipindi na makala ili kuwapa elimu kuacha tabia ya kuwatenga wavulana na wasichana katika michezo,' Hawra Shamte mtaalam masuala ya kijinsia. Ipi njia sahihi watoto wa kike kushiriki #MichezoKwaMaendeleo?
account_circle
TAMWA Zanzibar(@TAMWA_Zanzibar) 's Twitter Profile Photo

“Bado hakuna idadi sawia ya wanawake wanaopata mamlaka katika tasnia ya michezo, ukatili  na ujira mdogo kwa wanawake wanamichezo ni miongoni mwa sababu zinazoshusha hamasa kwa wasichana wengi kujihusisha na michezo.” Hawra Shamte, mtaalam masuala ya kijinsia

“Bado hakuna idadi sawia ya wanawake wanaopata mamlaka katika tasnia ya michezo, ukatili  na ujira mdogo kwa wanawake wanamichezo ni miongoni mwa sababu zinazoshusha hamasa kwa wasichana wengi kujihusisha na michezo.” Hawra Shamte, mtaalam masuala ya kijinsia #MichezoKwaMaendeleo
account_circle
TAMWA Zanzibar(@TAMWA_Zanzibar) 's Twitter Profile Photo

Waandishi wa habari kisiwani Pemba wameanza kushiriki mafunzo ya kuwajengea uwezo kuandika habari za michezo katika mtazamo wa jinsia na ujumuishi kupitia programu ya michezo kwa maendeleo ( ).......

Waandishi wa habari kisiwani Pemba wameanza kushiriki mafunzo ya kuwajengea uwezo kuandika habari za michezo katika mtazamo wa jinsia na ujumuishi kupitia programu ya michezo kwa maendeleo (#S4D).......
account_circle
TAMWA Zanzibar(@TAMWA_Zanzibar) 's Twitter Profile Photo

Program hii inatekelezwa TAMWA ZNZ, ZAFELA na Center for Youth Dialogue kwa kushirikiana na shirika la Deutsche Gesellschaft für Internationale Zusammenarbeit (GIZ) la Ujerumani.

Program hii inatekelezwa TAMWA ZNZ, @zafela na Center for Youth Dialogue kwa kushirikiana na shirika la Deutsche Gesellschaft für Internationale Zusammenarbeit (GIZ) la Ujerumani. #MichezoKwaMaendeleo
account_circle
TAMWA Zanzibar(@TAMWA_Zanzibar) 's Twitter Profile Photo

'Kama kuna sheria ambazo zinakwaza uhuru wa habari ni vyema kuishauri serikali kuzifanyia marekebisho ili zisiwakwaze kutekeleza majukumu yenu. Kwasababu Katiba imeeleza kila mmoja anao uhuru wa kujieleza ilimradi havunji sheria,' Mattar Zahoro, RC Kusini Pemba.

'Kama kuna sheria ambazo zinakwaza uhuru wa habari ni vyema kuishauri serikali kuzifanyia marekebisho ili zisiwakwaze kutekeleza majukumu yenu. Kwasababu Katiba imeeleza kila mmoja anao uhuru wa kujieleza ilimradi havunji sheria,' Mattar Zahoro, RC Kusini Pemba. #UhuruWaHabari
account_circle
TAMWA Zanzibar(@TAMWA_Zanzibar) 's Twitter Profile Photo

'Kuna umuhimu wa kuwepo uhuru wa taasisi za kijamii ili kuharakisha maendeleo ya kidemokrasia na kiuchumi. Hata hivyo kwa Zanzibar tunaweza kufanya vizuri zaidi tukipata sheria madhubuti na taasisi imara za kusimamia,' Mzuri Issa, Mkurugenzi TAMWA ZNZ.

'Kuna umuhimu wa kuwepo uhuru wa taasisi za kijamii ili kuharakisha maendeleo ya kidemokrasia na kiuchumi. Hata hivyo kwa Zanzibar tunaweza kufanya vizuri zaidi tukipata sheria madhubuti na taasisi imara za kusimamia,' @mzuri_issa, Mkurugenzi TAMWA ZNZ.
account_circle
Amina Masoud(@AminaMasoudJab1) 's Twitter Profile Photo

'kutokuwepo Kwa uhakika wa usalama katika michezo ni jambo linalofanya wasichana kusitasita kushiriki tathmini ya Hali ya JINSIA Unguja na Pemba Julia 2023' Hawra Shamte mtaalam wa masuala ya JINSIA
𝐆𝐌𝐝𝐚𝐝𝐢𝐬𝐢 TAMWA Zanzibar Khairat Haji

'kutokuwepo Kwa uhakika wa usalama katika michezo ni jambo linalofanya wasichana kusitasita kushiriki #MichezoKwaMaendeleo tathmini ya Hali ya JINSIA Unguja na Pemba Julia 2023' Hawra Shamte mtaalam wa masuala ya JINSIA @GasparyCharlesG @TAMWA_Zanzibar @KhairatHaji
account_circle
TAMWA Zanzibar(@TAMWA_Zanzibar) 's Twitter Profile Photo

'Vyombo vya habari vinatakiwa kufikisha elimu kwa wazazi na jamii kupitia vipindi na makala ili kuwapa elimu kuacha tabia ya kuwatenga wavulana na wasichana katika michezo,' Hawra Shamte mtaalam masuala ya kijinsia.

Ipi njia sahihi watoto wa kike kushiriki ?

'Vyombo vya habari vinatakiwa kufikisha elimu kwa wazazi na jamii kupitia vipindi na makala ili kuwapa elimu kuacha tabia ya kuwatenga wavulana na wasichana katika michezo,' Hawra Shamte mtaalam masuala ya kijinsia. Ipi njia sahihi watoto wa kike kushiriki #MichezoKwaMaendeleo?
account_circle
TAMWA Zanzibar(@TAMWA_Zanzibar) 's Twitter Profile Photo

“Bado hakuna idadi sawia ya wanawake wanaopata mamlaka katika tasnia ya michezo, ukatili  na ujira mdogo kwa wanawake wanamichezo ni miongoni mwa sababu zinazoshusha hamasa kwa wasichana wengi kujihusisha na michezo.” Hawra Shamte, mtaalam masuala ya kijinsia

“Bado hakuna idadi sawia ya wanawake wanaopata mamlaka katika tasnia ya michezo, ukatili  na ujira mdogo kwa wanawake wanamichezo ni miongoni mwa sababu zinazoshusha hamasa kwa wasichana wengi kujihusisha na michezo.” Hawra Shamte, mtaalam masuala ya kijinsia #MichezoKwaMaendeleo
account_circle
Essau Kalukubila(@Kalukubila) 's Twitter Profile Photo

'Malipo madogo ya wachezaji wa mpira wa miguu Kwa Wanawake inashusha hamasa Kwa WATOTO wa kike kushiriki katika michezo' Bi Hawra Shamte ameyasema hayo katika mafunzo Kwa waandishi wa habari Pemba TAMWA Zanzibar Binti NGALAPI zaina Abdalla mzee 𝐆𝐌𝐝𝐚𝐝𝐢𝐬𝐢

'Malipo madogo ya wachezaji wa mpira wa miguu Kwa Wanawake inashusha hamasa Kwa WATOTO wa kike kushiriki katika michezo' Bi Hawra Shamte ameyasema hayo katika mafunzo Kwa waandishi wa habari Pemba #michezo @TAMWA_Zanzibar @ngalapi @mzee_zaina5071 @GasparyCharlesG
account_circle
TAMWA Zanzibar(@TAMWA_Zanzibar) 's Twitter Profile Photo

'Kama kuna sheria ambazo zinakwaza uhuru wa habari ni vyema kuishauri serikali kuzifanyia marekebisho ili zisiwakwaze kutekeleza majukumu yenu. Kwasababu Katiba imeeleza kila mmoja anao uhuru wa kujieleza ilimradi havunji sheria,' Mattar Zahoro, RC Kusini Pemba.

'Kama kuna sheria ambazo zinakwaza uhuru wa habari ni vyema kuishauri serikali kuzifanyia marekebisho ili zisiwakwaze kutekeleza majukumu yenu. Kwasababu Katiba imeeleza kila mmoja anao uhuru wa kujieleza ilimradi havunji sheria,' Mattar Zahoro, RC Kusini Pemba. #UhuruWaHabari
account_circle
Essau Kalukubila(@Kalukubila) 's Twitter Profile Photo

'Kama Kuna Sheria inayokwaza Uhuru wa vyombo vya Habari ni vyema kuzisemea Ili ziweze kubadilishwa' Matar Zahor Massoud Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba katika Maadhimisha siku ya Uhuru wa vyombo Habari Duniani TAMWA Zanzibar zaina Abdalla mzee

'Kama Kuna Sheria inayokwaza Uhuru wa vyombo vya Habari ni vyema kuzisemea Ili ziweze kubadilishwa' Matar Zahor Massoud Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba katika Maadhimisha siku ya Uhuru wa vyombo Habari Duniani #uhuruwaHabari @TAMWA_Zanzibar @mzee_zaina5071 #MCT
account_circle
TAMWA Zanzibar(@TAMWA_Zanzibar) 's Twitter Profile Photo

'Kuna umuhimu wa kuwepo uhuru wa taasisi za kijamii ili kuharakisha maendeleo ya kidemokrasia na kiuchumi. Hata hivyo kwa Zanzibar tunaweza kufanya vizuri zaidi tukipata sheria madhubuti na taasisi imara za kusimamia,' Mzuri Issa, Mkurugenzi TAMWA ZNZ.

'Kuna umuhimu wa kuwepo uhuru wa taasisi za kijamii ili kuharakisha maendeleo ya kidemokrasia na kiuchumi. Hata hivyo kwa Zanzibar tunaweza kufanya vizuri zaidi tukipata sheria madhubuti na taasisi imara za kusimamia,' @mzuri_issa, Mkurugenzi TAMWA ZNZ.
account_circle
Sima Bahous(@unwomenchief) 's Twitter Profile Photo

I opened the in .
 
My message: there is no path to peaceful, sustainable, and prosperous societies that does not prioritise women rights and leadership.

Inspired to see this forum bring innovative solutions to a global challenge. Thank you 🇺🇿

I opened the #Asian_Womens_Forum_2024 in #Uzbekistan.   My message: there is no path to peaceful, sustainable, and prosperous societies that does not prioritise women rights and leadership. Inspired to see this forum bring innovative solutions to a global challenge. Thank you 🇺🇿
account_circle
TAMWA Zanzibar(@TAMWA_Zanzibar) 's Twitter Profile Photo

TAMWA ZNZ), kupitia programu ya michezo kwa maendeleo ( ) imeanza kuwajengea uwezo waandishi wa habari kuandika habari za michezo katika mtazamo wa jinsia na ujumuishi.

Unafahamu nini kuhusu ?

TAMWA ZNZ), kupitia programu ya michezo kwa maendeleo (#S4D) imeanza kuwajengea uwezo waandishi wa habari kuandika habari za michezo katika mtazamo wa jinsia na ujumuishi. Unafahamu nini kuhusu #MichezoKwaMaendeleo?
account_circle
TAMWA Zanzibar(@TAMWA_Zanzibar) 's Twitter Profile Photo

“Waandishi wa habari tuwe wabunifu kwa kuwafuata wadau mbalimbali watoe maoni yao kuhusu , hii itasaidia kukuza uelewa wa jamii kutambua umuhimu wa kuwepo kwa uhuru huo,” Shifaa Said, mwandishi wa habari mwandamizi.

Umeshawahi kuhojiwa kuhusu uhuru wa kujieleza?

“Waandishi wa habari tuwe wabunifu kwa kuwafuata wadau mbalimbali watoe maoni yao kuhusu #UhuruWaHabari, hii itasaidia kukuza uelewa wa jamii kutambua umuhimu wa kuwepo kwa uhuru huo,” Shifaa Said, mwandishi wa habari mwandamizi. Umeshawahi kuhojiwa kuhusu uhuru wa kujieleza?
account_circle