Pasco Nkololo (@nkololotz) 's Twitter Profile
Pasco Nkololo

@nkololotz

ID: 1652342700

calendar_today07-08-2013 08:04:10

58,58K Tweet

88,88K Followers

8,8K Following

Young Africans SC (@youngafricanssc) 's Twitter Profile Photo

𝐔𝐏 ππ„π—π“πŸ”° πŸ† #CAFCL πŸ†š JS Kabylie πŸ‡©πŸ‡Ώ (A) πŸ—“οΈ 28 November 2025 🏟️ Hocine AΓ―t Ahmed ⏱️ 7:00PMπŸ‡ΉπŸ‡Ώ | 5:00PMπŸ‡©πŸ‡Ώ #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

𝐔𝐏 ππ„π—π“πŸ”°

πŸ† #CAFCL
πŸ†š JS Kabylie πŸ‡©πŸ‡Ώ (A)
πŸ—“οΈ 28 November 2025
🏟️ Hocine Aït Ahmed
⏱️ 7:00PMπŸ‡ΉπŸ‡Ώ | 5:00PMπŸ‡©πŸ‡Ώ

#TimuYaWananchi 
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Taifa Reports (@taifareports) 's Twitter Profile Photo

THE DAY TANZANIA FELL INTO DIGITAL CHAOS. 1/ 29 October. Morning starts normal. Midday ends in panic. A small incident β†’ amplified fear β†’ public confusion β†’ emotional wildfire. What followed was a national-scale breakdown of meaning. 2/ Authorities issue an urgent

Pasco Nkololo (@nkololotz) 's Twitter Profile Photo

The Nelson Mandela African Institution of Science and Technology (NM-AIST) is inviting applications for the MSc in Data Science and Artificial Intelligence. πŸ‘‰ Apply here: admission.nm-aist.ac.tz/auth πŸ“§ Inquiries: [email protected] Cc: [email protected]

Munishi Renald (@munishirenald) 's Twitter Profile Photo

Without FAM, tusingekua na hii CDM, Yes , muda ulifika ideas zake zikawa sio relevant tena, mpaka akawa rahisi kufikiwa na watawala na kumtumia bila yeye kujua( labda alikua anajua). Lakini kitu ambacho hatakiwi kunyang’anywa, ni one of the champion kama sio Father kabisa wa

cousin 420 (@420cousin) 's Twitter Profile Photo

Tanzania has surpassed all its East African counterparts to become the most preferred destination for Kenyans looking to relocate. travelandtourworld.com/news/article/t…

Pasco Nkololo (@nkololotz) 's Twitter Profile Photo

Nimekaa Mbeya kwa siku 3 sasa mahala panaitwa Mdope. Everytime nikiwa kwenye lounge/Bar kuna vikao vya wamama 10+ wanavunja VICOBA. Jana kikundi kimoja naskia wanavunja hadi over 60M! Wamama wako serious sana na savings bana. God knows naweza pata lishangazi linifundishe 😁😁

Kwame Kivaisi (@kwamekivaisi) 's Twitter Profile Photo

Mzazi, ndugu, rafiki, mume, mke, mpenzi unaweza kuchagua Krismasi na mwaka mpya iweje kwa mpendwa wako. Iwe ya msiba, ulemavu, hospitali, jela au iwe ya amani. Onya, shauri, kanya, ombea umpendaye atambue maana ya sheria na taratibu. Uwe salama ukisoma tena hii posti Januari 4.

Mzazi, ndugu, rafiki, mume, mke, mpenzi unaweza kuchagua Krismasi na mwaka mpya iweje kwa mpendwa wako. Iwe ya msiba, ulemavu, hospitali, jela au iwe ya amani. Onya, shauri, kanya, ombea umpendaye atambue maana ya sheria na taratibu. Uwe salama ukisoma tena hii posti Januari 4.
US Embassy Tanzania (@usembassytz) 's Twitter Profile Photo

Today, CdA Lentz engaged in a candid exchange with President Samia Suluhu Hassan about the present and future state of the U.S.-Tanzania bilateral relationship.

Today, CdA Lentz engaged in a candid exchange with President Samia Suluhu Hassan about the present and future state of the U.S.-Tanzania bilateral relationship.
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Kheri ya Miaka 64 ya Uhuru wa nchi yetu. Tunamshukuru Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa hatua hii kubwa. Tunapoadhimisha siku hii muhimu, tukumbushane umuhimu wa kuendelea kulinda tunu za Taifa letu za amani, umoja na mshikamano. Tunu hizi ndizo msingi wa mafanikio ya safari yetu

Kheri ya Miaka 64 ya Uhuru wa nchi yetu.

Tunamshukuru Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa hatua hii kubwa. Tunapoadhimisha siku hii muhimu, tukumbushane umuhimu wa kuendelea kulinda tunu za Taifa letu za amani, umoja na mshikamano. Tunu hizi ndizo msingi wa mafanikio ya safari yetu
Taifa Reports (@taifareports) 's Twitter Profile Photo

Metadata/EXIF Report ya Hii Video inainyesha ilikua siku ya Tarehe 29. October. 2025 Majira ya Saa Tatu. Usisambaze taarifa bila kujiridhisha ili kuepuka kuzua taharuki zisizo na ulazima.

Metadata/EXIF Report ya Hii Video inainyesha ilikua siku ya Tarehe 29. October. 2025 Majira ya Saa Tatu. 

Usisambaze taarifa bila kujiridhisha ili kuepuka kuzua taharuki zisizo na ulazima.
Kwame Kivaisi (@kwamekivaisi) 's Twitter Profile Photo

Kwa kiasi kikubwa lile tukio lilikuwa lina mkono wa kigeni na ni shambulio dhidi ya nchi. Iko siku kila kitu kitawekwa wazi na kuna watu natumaini watanyongwa hadharani kwa kushiriki ufedhuli ule.

Mohammed Dewji MO (@moodewji) 's Twitter Profile Photo

Niko mbioni kuzindua Mfuko wa Ubunifu (Startup Fund) wenye thamani ya shilingi bilioni 25 kusaidia wana teknolojia, akili bandia (AI), fintech, na wabunifu wa kiteknolojia hapa Tanzania na Afrika. Tutatoa michango na uwekezaji kusaidia vijana wabunifu wenye mawazo ya kubadilisha

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Mheshimiwa Jenista Joakim Mhagama. Ninatoa pole kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu, wananchi wa Jimbo la Peramiho, familia, ndugu, jamaa na marafiki. Kwa

Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Mheshimiwa Jenista Joakim Mhagama. Ninatoa pole kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu, wananchi wa Jimbo la Peramiho, familia, ndugu, jamaa na marafiki. 

Kwa
MR BEN (@eric__bernard) 's Twitter Profile Photo

TUNA NAFASI NYINGINE YA KUFUTA HASARA ZA OKTOBA 29- MCH. DKT. KIMARO Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Kijitonyama Jijini Dar es salaam, Dkt. Eliona Kimaro ametoa pole kwa Watanzania kutokana na uharibifu, wizi na matukio ya