Mfalme πŸ‘‘πŸ‡ΉπŸ‡Ώ(@ommyfitness) 's Twitter Profileg
Mfalme πŸ‘‘πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

@ommyfitness

#UdsmAlumni | Coach | Mazoezi & Chakula| Kuwa Mwanaume tena | Hata nikichukiwa ni sawa ila sio vyema nikapuuzwa.

ID:820325229658566658

linkhttps://instagram.com/ommyfitness?utm_source=qr&igshid=NGExMmI2YTkyZg%3D%3D calendar_today14-01-2017 17:42:30

24,2K Tweets

52,3K Followers

332 Following

The host doctor πŸ‘©β€βš•οΈ(@hostdoctorsuzan) 's Twitter Profile Photo

Wanaume ni nguzo muhimu kwa sisi wanawake na jamii nzima, siku zote wanaonyesha upendo nguvu, ujasiri, na ukarimu, upendo katika maisha ya watu walio karibu nao. Wanaume wanastahili kuthaminiwa na kuheshimiwa kwa
mchango wao katika kujeng jamii, Nawapenda sana ❀️

Wanaume ni nguzo muhimu kwa sisi wanawake na jamii nzima, siku zote wanaonyesha upendo nguvu, ujasiri, na ukarimu, upendo katika maisha ya watu walio karibu nao. Wanaume wanastahili kuthaminiwa na kuheshimiwa kwa mchango wao katika kujeng jamii, Nawapenda sana ❀️
account_circle
Msomi Khan(@MsomiKhan18) 's Twitter Profile Photo

Watumiaji wa Airtel, Tigo na Halotel Mnakwama wapi?

Kuna Airtel SME, Tigo Unlimited na Halotel CUG na M2M.

Nicheki WhatsApp 0762 354 588

account_circle
Mfalme πŸ‘‘πŸ‡ΉπŸ‡Ώ(@ommyfitness) 's Twitter Profile Photo

Siku hizi wanawake wanapata nguvu na mamlaka kwenye mahusiano kama wanavyopata nguvu kwenye jamii.

Nguvu wanaipata kwa kudharirisha na kuwasababishia majuto wanaume. Angalia mifano ya wanawake wote wanaosema wamejisimamisha nyuma yake kuna mahali alimsema mwanaume kwa ubaya,

account_circle
Mwishowadunia(@Mwishowadunia) 's Twitter Profile Photo

Maswali ni mengi, majibu ni machache...tukijua mambo wanayofanya matajiri wa Duniani mtakuja kujua hizi media zipo kutuaminisha kwamba utajiri wa duniani ndiyo kila kitu, ila behind kuna masharti magumu mno kuyafikiria kibinadamuπŸ€”.

Maswali ni mengi, majibu ni machache...tukijua mambo wanayofanya matajiri wa Duniani mtakuja kujua hizi media zipo kutuaminisha kwamba utajiri wa duniani ndiyo kila kitu, ila behind kuna masharti magumu mno kuyafikiria kibinadamuπŸ€”.
account_circle
Mfalme πŸ‘‘πŸ‡ΉπŸ‡Ώ(@ommyfitness) 's Twitter Profile Photo

Epuka kulala kwenye nyumba ya mwanamke,

Hata kama ni kodi unalipa mwenyewe, usilale

Hiyo nyumba siyo yako ni yake,

Ukitaka kukutana nae tafuta sehemu yako,

Madhara ya KUPUUZIA ni matatu tu,

Kifo, kilema & laana upande wa kiroho

Tweet ni fupi, najua hujanielewa ILA ACHA.

account_circle
Mfalme πŸ‘‘πŸ‡ΉπŸ‡Ώ(@ommyfitness) 's Twitter Profile Photo

-Afya ya macho, kula karoti πŸ₯•
-Afya ya ngozi, kula limao πŸ‹
-Afya ya utumbo, kula kabichi πŸ₯¬
-Afya ya tezi dume, kula nyanya πŸ…
-Afya ya figo, kunywa majiπŸ₯›
-Afya ya moyo, kula Parachichi πŸ₯‘
-Afya ya kifua/kikohozi, kula nanasi 🍍
-Afya ya akili/ stress, kula ndizi🍌
-Afya ya

account_circle
Malcom J πŸ‡°πŸ‡ͺ(@_malcomJ) 's Twitter Profile Photo

Kabigwa_AfyaπŸ’Š Mfalme πŸ‘‘πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Ipo hivi this is what nimefanya na nikifundishwa na babu yangu about minyoo ' dawa mostly haziuwi ila ukifunga ukawa ukifungua unakula alkaline foods kama mboga ..avocadoes!!tumeric !!vyakula asili wanaondoka wanakufa wote

account_circle