TAMWA Zanzibar
@TAMWA_Zanzibar
TAMWA Zanzibar is a non-partisan not for profit sharing, non-Governmental professional membership organization. #MwanamkeNiKiongozi #ZuiaUkatiliZanzibar
ID:855043886313594887
http://www.tamwaznz.or.tz 20-04-2017 13:02:03
2,9K Tweets
2,3K Followers
2,0K Following
'Sababu ya kuwa na Mahakama katika nchi ni kusimamia sheria za nchi na sio baadhi ya viongozi au vyombo vingine kusimamia sheria hizo,' Salim Said Mwandishi mkongwe akizungumzia mapungufu sheria za habari. #UhuruWaHabariZanzibar
'Uhuru wa kutoa taarifa na maoni kwa wananchi unachangia kwa kiasi kikubwa kukuza demokrasia na kuleta maendeleo endelevu kwa wote,' Dkt Mzuri Issa, Mkurugenzi TAMWA Zanzibar. #UhuruWaHabariZanzibar
'Ni muhimu kuwa na sheria rafiki za habari ili kuwawezesha waandishi wa habari kufanya kazi za kuhabarisha umma huku wakizingatia maadili ya uandishi wa habari,' Dkt. Mzuri Issa, Mkurugenzi TAMWA Zanzibar. #UhuruWaHabariZanzibar
Tunapogusia hoja kuwawezesha wanawake kiuchumi huwa sio ajenda ya wafadhili bali ni mkakati wa jamii na taifa kwa ujumla mimi nimeshaanza wewe je? Haji Nassor mwandishi wa habari za wanawake na watoto Pemba
TAMWA Zanzibar zaina Abdalla mzee 𝐆𝐌𝐝𝐚𝐝𝐢𝐬𝐢 Mzuri ZUHURA JUMA
Naipenda sana hii mikoba. Ahsante TAMWA ZNZ Kwa kusababisha ubunifu huu kwa wanawake
#MwanamkeNiKiongozi
TAMWA Zanzibar Norway MFA UN Women Tanzania
'Idadi ya Wanawake kwenye mamlaka za uteuzi imeongezeka Zanzibar,'- DKT. MZURI ISSA, mkurugenzi TAMWA ZNZ.
Miongoni mwa mafanikio ya #SWILProject uliotekelezwa na TAMWA ZNZ kwa kushirikiana na Ambassador Tone Tinnes (2021-2024)
Ni kiongozi gani mwanamke anakuvutia utendaji kazi wake?
'Waandishi vijana ni vyema kuwa wabunifu na kusoma kwa bidii ili waweze kuandaa na kuzalisha kazi nzuri zenye kuleta athari kwa jamii,' Salim Said, msimamizi na muongozaji wa waandishi vijana (YMF).
#WekezaKwaWaadhishiVijana
'Mradi wa kuwawezesha waandishi vijana kwa kushirikiana na NEDemocracy ulianza 2022 ukiwa na waandishi 14 na awamu ya pili 24 na jumla ya kazi 269 zimeandikwa kuhusu wanawake na Uongozi,' Hayrat Haji, kaimu mratibu mwezeshaji waandishi katika masuala ya wanawake uongozi Zanzibar
'Wahariri mnaonekana kufanya kazi nzuri katika kuwasimamia waandishi wachanga na matokeo yameonekana katika tuzo za umahiri wa uandishi wa habari za takwimu kwa wanawake na uongozi ambapo walishinda tuzo nyingi ukilinganisha na wengine,' Dkt. Mzuri Issa, Mkurugenzi TAMWA-ZNZ
IGIZO: Wanaume wanasemaje kuhusu Wanawake? youtu.be/laBvTbSDAMU?si…
#MwanamkeNiKiongozi Ambassador Tone Tinnes
Mkurugenzi TAMWA ZNZ Dkt. Mzuri Issa anafafanua zaidi... 'hatufurahii kuona kwamba watu wanafungwa jela, lakini akikosea mtu na akitumia ule uhuru wake kuharibu uhuru wa mwenziwe afungwe.'
Nini maoni yako?
#ZuiaUkatiliZanzibar
What you need to know:
After years and years of advocating for the rights of women and girls and being able to put gender equality laws in place, women issues have now come into the public discussion in Zanzibar
Read👉thecitizen.co.tz/tanzania/magaz…
#MwanamkeNiKiongozi Ambassador Tone Tinnes
TAMWA Zanzibar calls for gender policy in all sectors- TheGuardianTzOnline
Read more ippmedia.com/the-guardian/n…
#MwanakeNiKiongozi #SWILProject Ambassador Tone Tinnes
We urges parents to protect children during Eid El Fitri.
Eid Mubarak.
#Zanzibar #ZuiaUkatili #ZuiaUkatili Zanzibar
Ikiwa tunaingia katika kipindi cha Sikukuu, tunayo furaha kubwa kuungana na jamii katika sherehe hizi za kipekee. Lakini pamoja na furaha hii, TAMWA ZNZ tunaikumbusha jamii kutosahau majukumu yetu katika kulinda na kuhakikisha usalama wa watoto wetu.
#ZuiaUkatiliZanzibar