Samatime Car Dealers Co Ltd(@samatimemagari) 's Twitter Profileg
Samatime Car Dealers Co Ltd

@samatimemagari

A Registered Company Dealing with KU-AGIZA magari Japan,UK,Singapore,nk | KU-KODISHA gari za Harusi, Town Trips etc| KU-UZA | KUNUNUA MAGARI Used Hapa Nchini

ID:1063333720378273792

linkhttps://linktr.ee/samatime calendar_today16-11-2018 07:31:29

33,6K Tweets

37,4K Followers

330 Following

King 👑(@wagon_brabus) 's Twitter Profile Photo

Samatime Car Dealers Co Ltd Kaka unamwaga madini sana siyo huku tu hata telegram kotekote ni cheche... Napenda sana kujifunza kuhusu magari hapa nimefika... Big up brathe

account_circle
Samatime Car Dealers Co Ltd(@samatimemagari) 's Twitter Profile Photo

🚨Ume overtake katika blind spot ghafla umekutana na gari mbele..
.
Kulia kuna korongo kushoto gari mbele gari, kama dereva utafanya maamuzi gani ?
.
Kama hii chuma ni ECT [tako la nyani] mzigo bado mpya kabisa..
.
Kuweni makini barabarani wazee yanayoepukika yaepukike [video]👇

🚨Ume overtake katika blind spot ghafla umekutana na gari mbele.. . Kulia kuna korongo kushoto gari mbele gari, kama dereva utafanya maamuzi gani ? . Kama hii chuma ni ECT [tako la nyani] mzigo bado mpya kabisa.. . Kuweni makini barabarani wazee yanayoepukika yaepukike [video]👇
account_circle
Samatime Car Dealers Co Ltd(@samatimemagari) 's Twitter Profile Photo

🚘Kwa uliyeagiza GARI tu hii ni Taarifa Muhimu kwako..🔥
.
Kabla wazee wa karafuu kutoka Abu dhabi hawajakula PESA uliyoitolea Jasho soma hapa..
Ndio MELI ya ORCA ACE Tunategemea tarehe 11 May Itakua imefika DSM ikitokea Japan..
.
Tuna gari za wateja wetu humu lakini pia Kama…

🚘Kwa uliyeagiza GARI tu hii ni Taarifa Muhimu kwako..🔥 . Kabla wazee wa karafuu kutoka Abu dhabi hawajakula PESA uliyoitolea Jasho soma hapa.. Ndio MELI ya ORCA ACE Tunategemea tarehe 11 May Itakua imefika DSM ikitokea Japan.. . Tuna gari za wateja wetu humu lakini pia Kama…
account_circle
Samatime Car Dealers Co Ltd(@samatimemagari) 's Twitter Profile Photo

Zijue Tofauti za CROWN athlete na Royal Saloon..
.
Wapenzi wa Crown wamekua wakiuliza hili swali mara kwa mara kuhusu utofauti wa Crown Athlete na Crown Royal Saloon..
.
Kaa vizuri upate Tofauti zao hapa chini kwenye huu UZI na tutamgusa Mkubwa wao Majesta kidogo..
.

Zijue Tofauti za CROWN athlete na Royal Saloon.. . Wapenzi wa Crown wamekua wakiuliza hili swali mara kwa mara kuhusu utofauti wa Crown Athlete na Crown Royal Saloon.. . Kaa vizuri upate Tofauti zao hapa chini kwenye huu UZI na tutamgusa Mkubwa wao Majesta kidogo.. .
account_circle
E.J.Mårtin(@IAMe_legends) 's Twitter Profile Photo

Samatime Car Dealers Co Ltd '..Bonge moja la features ndo maana Subaru Maeneo ya Buza kwa mpalange inafanya vizuRI.'

Mkuu Samatime, Buza kwa Mpalange hakuna tope siku hizi, mkeka upo vizuri.!😂😂

account_circle