BenBlack02๐• (@benblack02) 's Twitter Profile
BenBlack02๐•

@benblack02

ID: 1523268938850836481

calendar_today08-05-2022 11:50:03

31,31K Tweet

4,4K Followers

1,1K Following

Mr Pikipiki Trading ๐Ÿ๏ธ๐Ÿ“ธ (@mr_pikipiki) 's Twitter Profile Photo

BOXER HD 125 "EJP"๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ "Private ใ€ฝ๏ธ" ukipenda iite "Golden soul" Unaipata kwa 2,750,000/= Tu ๐Ÿ˜‹ Full Document ๐Ÿ“ƒ| Bima na LATRA (Active) | Mafuta 3LT| Oil Bure ๐Ÿ˜‹ Ipo Ubungo Riverside ๐Ÿ“ 0747365096 ๐Ÿ“ž Mikoani Tunatuma๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ NB: Pray More, Say Less, GOD will do the Rest ๐Ÿ™

BOXER  HD 125 "EJP"๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ "Private ใ€ฝ๏ธ" ukipenda iite "Golden soul" Unaipata kwa 2,750,000/= Tu ๐Ÿ˜‹

Full Document ๐Ÿ“ƒ| Bima na LATRA (Active) | Mafuta 3LT| Oil Bure ๐Ÿ˜‹

Ipo Ubungo Riverside ๐Ÿ“
0747365096 ๐Ÿ“ž
Mikoani Tunatuma๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

NB: Pray More, Say Less, GOD will do the Rest ๐Ÿ™
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Hizi ndio jumbe za mwisho sa SOKA kabla ya kukamatwa na jeshi la polisi. Hapa hata mtoto mdogo anajua waliomteka Soka ni watu gani. Ndiomaana hatutumii neno "WASIOJULIKANA".

Hizi ndio jumbe za mwisho sa SOKA kabla ya kukamatwa na jeshi la polisi.

Hapa hata mtoto mdogo anajua waliomteka Soka ni watu gani.

Ndiomaana hatutumii neno "WASIOJULIKANA".
Tanzania Leaks (@tanzanialeaks) 's Twitter Profile Photo

ALERT: Polisi wanaye Deusdedith Soka. Ameteswa sana kwa sababu wanasema anajidai mjanja. Polis wana mpango mbaya na wa kutisha dhidi ya kijana huyu. Njia pekee ya kuokoa maisha yake ni mtoke kufanya maandamano makubwa kushishinikiza wamuachie HURU. Mkichelewa, mtampoteza.

ALERT: Polisi wanaye Deusdedith Soka. Ameteswa sana kwa sababu wanasema anajidai mjanja. Polis wana mpango mbaya na wa kutisha dhidi ya kijana huyu. Njia pekee ya kuokoa maisha yake ni mtoke kufanya maandamano makubwa kushishinikiza wamuachie HURU. Mkichelewa, mtampoteza.
Mdude Chadema (@mdudechadematz) 's Twitter Profile Photo

Kwa hiyo Samia Suluhu umegoma kumuachia Soka na wenzake uliowateka si ndio? Vipi tukikufanyia surprise kama ya yule bibi rafiki yako dikteta wa Bangladesh tutakuwa tumechukua hatua stahiki? Unataka kushuhudia kuona maandamano mpaka kwenye viunga vya ikulu kama Bangladesh?

Kwa hiyo <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> umegoma kumuachia Soka na wenzake uliowateka si ndio? Vipi tukikufanyia surprise kama ya yule bibi rafiki yako dikteta wa Bangladesh tutakuwa tumechukua hatua stahiki? Unataka kushuhudia kuona maandamano mpaka kwenye viunga vya ikulu kama Bangladesh?