Kelvinrabson_ (@rabsonkelvin) 's Twitter Profile
Kelvinrabson_

@rabsonkelvin

โ˜† @intagram ๐Ÿ‘‰ @kelvinrabson_
โ˜† Article Correspondent
โ˜† SPORTS PUNDITS| FOOTBALL ANALYSTS| โšฝ๏ธ๐Ÿ†

ID: 1415613273962078208

calendar_today15-07-2021 10:05:03

17,17K Tweet

2,2K Takipรงi

269 Takip Edilen

George Ambangile (@george_ambangil) 's Twitter Profile Photo

Kwahiyo Mbeumo na Amad Desemba wanaondoka kwa ajili ya AFCON ? Barida tu ๐Ÿค” Halafu Cameroon unashangaa wanafika mbali kwenye mashindano . Tuwajaribu West Ham nini kwa Bowen ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Kelvinrabson_ (@rabsonkelvin) 's Twitter Profile Photo

Yanga wamefanya kila kitu kwa usahihi walichokikosa ni kuweka mpira nyavuni โ€ฆ. Wanaunganisha pasi zao vizuri kutokea eneo la chini , wanafanya runs nzuri kwenda eneo la mbele + wanabadilishana nafasi vizuri sana .