Ms Bee๐ŸŒน(@iamcleopatricia) 's Twitter Profileg
Ms Bee๐ŸŒน

@iamcleopatricia

CEO @slayyingoutfit @MsB_honey01| BUSINESS WOMAN| HONEY DEALER ๐Ÿฏ|0752-872612

ID:1144647639755120641

calendar_today28-06-2019 16:43:58

159,7K Tweets

153,0K Followers

12,1K Following

Adventure-360(@Adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Kumbe Christina Shusho alianza na biashara ya kuuza karanga na kuuza Ice cream,

Aisee noma, watu wanatoka mbali sana.

account_circle
Ntibha Jackson(@icon___08) 's Twitter Profile Photo

Yanga tuwaambie tu ukweli kwa Simba hii mchezaji pekee ambaye mkimchukua mashabiki wa Simba tutaumia ni Mohamed hussein tu lakin hao flop wengine wote chukueni wala hatujali ๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ

Yanga tuwaambie tu ukweli kwa Simba hii mchezaji pekee ambaye mkimchukua mashabiki wa Simba tutaumia ni Mohamed hussein tu lakin hao flop wengine wote chukueni wala hatujali ๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ
account_circle
fantasy๐ŸŒนโค(@fantasy_FGP) 's Twitter Profile Photo

Haiwezekan status uturingishie pesa na range ,af uje DM uniombe elfkumi ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃnitakuroga walah๐Ÿ˜กshenzi

account_circle
Paschal sam(@PaschalSam1) 's Twitter Profile Photo

Ni usiku mwingine wa kukumbushana kua;

Usingizi wako ni muhimu sana kuliko hiyo Good night unayoisubiria.๐Ÿ˜ƒ.

account_circle
Martha(@marthamshana_) 's Twitter Profile Photo

Eeh Mwenyezi MUNGU. Naomba unipe hekima ya kumuelewa MWANAUME Wangu. Maana ukinipa nguvu nitampiga nimuuwe ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

account_circle
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰(@Mkunga_Og) 's Twitter Profile Photo

SIMPLE NIGHT CHALLENGE: Pima uwezo wako wa kuona kijani kwenye nyeupe.

Moja ya madhara ya kupiga nyeto Ni Poor vision, Tuliona kwenye Soma la jioni.

98% WILL FAIL, HOW MANY DOTS...??

SIMPLE NIGHT CHALLENGE: Pima uwezo wako wa kuona kijani kwenye nyeupe. Moja ya madhara ya kupiga nyeto Ni Poor vision, Tuliona kwenye Soma la jioni. 98% WILL FAIL, HOW MANY DOTS...??
account_circle
Daktari Wa Manesi ๐Ÿ’‰๐Ÿ’Š(@McinikaWaLamar) 's Twitter Profile Photo

Badilisha mustakabali wako na LP Digital Jiunge na kozi zao za coding na masoko ya kidijitali na upate ujuzi unaohitajika kwa soko la leo

Nafasi zimebaki chache jiandikishe sasa docs.google.com/forms/d/e/1FAI

Badilisha mustakabali wako na @LPDigitalTZ Jiunge na kozi zao za coding na masoko ya kidijitali na upate ujuzi unaohitajika kwa soko la leo Nafasi zimebaki chache jiandikishe sasa docs.google.com/forms/d/e/1FAI #DigitalSkills #MitandaoNaSisi #HakiZaKidijitali #DigitalMarketing #Coding
account_circle
Malkia Nyuki ๐Ÿ‘‘๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@nyuki_malkia) 's Twitter Profile Photo

Wadau nendeni kwa Big 007โ„๏ธ ameweka uzi mzuri sana ukisoma utaelewa ufanye nini humu ule maokoto ya elon
Halafu wanangu acheni kunicheka na kingereza changu kwa fabrizo basi ๐Ÿคฃ

Wadau nendeni kwa @Big0047 ameweka uzi mzuri sana ukisoma utaelewa ufanye nini humu ule maokoto ya elon Halafu wanangu acheni kunicheka na kingereza changu kwa fabrizo basi ๐Ÿคฃ
account_circle
lady_Vee๐Ÿ’œ(@ladyVee_Ve) 's Twitter Profile Photo

labda Mimi ndo sijui bookmark ni kwaajili ya vitu muhimu kama unavipin sasa Mimi naandika comment sehem mtu anakuja anabookmark huwa ni za nini?? Au Mimi sijui kazi ya bookmarking?

account_circle