Zitto MwamiRuyagwa Kabwe(@zittokabwe) 's Twitter Profileg
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe

@zittokabwe

Member and former Party Leader @ACTWazalendo, Tegadalay ተጋዳላይ #HifadhiJamii #Ajira #MaishaNafuu #TheFutureIsPurple #Tanzania #TaifaLaWote #MaslahiYaWote

ID:119385045

linkhttp://www.actwazalendo.or.tz calendar_today03-03-2010 13:48:48

158,7K Tweets

1,7M Followers

4,9K Following

Dr Elizabeth Sanga(@DrBSanga) 's Twitter Profile Photo

'Katika ilani yetu ya 2020 tuliahidi kuboresha mfuko wa Bima ya Afya kwa kuunganisha na mifumo ya Hifadhi ya Jamii, ili kila Mtanzania anapochangia hifadhi ya jamii awe anapata huduma ya Afya moja kwa moja.'

Waziri Kivuli wa Afya
Dr Elizabeth Sanga

'Katika ilani yetu ya 2020 tuliahidi kuboresha mfuko wa Bima ya Afya kwa kuunganisha na mifumo ya Hifadhi ya Jamii, ili kila Mtanzania anapochangia hifadhi ya jamii awe anapata huduma ya Afya moja kwa moja.' Waziri Kivuli wa Afya @DrBSanga #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
account_circle
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe(@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

Surely you mean Tax-GDP ratio of 22% right? And he is right. % of governments revenues as a proportion to goods and services produced in many EAC economies is lower than threshold commensurate with growth levels and sizes. Kenya and even Tanzania needs at least 20% tax/gdp ratio

account_circle
Citizen TV Kenya(@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

“My drive is to push Kenyans to pay 22% of taxes from the current 14% by the end of my term,” President Ruto vows to increase taxes

account_circle
Kassala(@Vicent_Kassala) 's Twitter Profile Photo

'Katika ilani yetu ya 2020 tuliahidi kuboresha mfuko wa Bima ya Afya kwa kuunganisha na mifumo ya Hifadhi ya Jamii, ili kila Mtanzania anapochangia hifadhi ya jamii awe anapata huduma ya Afya moja kwa moja.'

Waziri Kivuli wa Afya
Dr Elizabeth Sanga

'Katika ilani yetu ya 2020 tuliahidi kuboresha mfuko wa Bima ya Afya kwa kuunganisha na mifumo ya Hifadhi ya Jamii, ili kila Mtanzania anapochangia hifadhi ya jamii awe anapata huduma ya Afya moja kwa moja.' Waziri Kivuli wa Afya @DrBSanga #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
account_circle
Ndolezi(@Ndolezi_Petro) 's Twitter Profile Photo

Bila Afya njema huwezi kufanya kazi ni muhimu sana kuwahakikishia Watanzania Uhakika wa matibabu na usalama wa Afya zao. Sikiliza Sauti ya ACT Wazalendo kupitia Waziri Kivuli wa Afya Dr Elizabeth Sanga

Bila Afya njema huwezi kufanya kazi ni muhimu sana kuwahakikishia Watanzania Uhakika wa matibabu na usalama wa Afya zao. Sikiliza Sauti ya ACT Wazalendo kupitia Waziri Kivuli wa Afya @DrBSanga
account_circle
Ngome ya vijana_Official(@NgomeyaVijana) 's Twitter Profile Photo

'Katika ilani yetu ya 2020 tuliahidi kuboresha mfuko wa Bima ya Afya kwa kuunganisha na mifumo ya Hifadhi ya Jamii, ili kila Mtanzania anapochangia hifadhi ya jamii awe anapata huduma ya Afya moja kwa moja.'

Waziri Kivuli wa Afya
Dr Elizabeth Sanga

'Katika ilani yetu ya 2020 tuliahidi kuboresha mfuko wa Bima ya Afya kwa kuunganisha na mifumo ya Hifadhi ya Jamii, ili kila Mtanzania anapochangia hifadhi ya jamii awe anapata huduma ya Afya moja kwa moja.' Waziri Kivuli wa Afya @DrBSanga #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
account_circle
Ngome ya Wanawake(@NgomeyaWanawake) 's Twitter Profile Photo

'Katika ilani yetu ya 2020 tuliahidi kuboresha mfuko wa Bima ya Afya kwa kuunganisha na mifumo ya Hifadhi ya Jamii, ili kila Mtanzania anapochangia hifadhi ya jamii awe anapata huduma ya Afya moja kwa moja.'

Waziri Kivuli wa Afya
Dr Elizabeth Sanga

'Katika ilani yetu ya 2020 tuliahidi kuboresha mfuko wa Bima ya Afya kwa kuunganisha na mifumo ya Hifadhi ya Jamii, ili kila Mtanzania anapochangia hifadhi ya jamii awe anapata huduma ya Afya moja kwa moja.' Waziri Kivuli wa Afya @DrBSanga #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
account_circle
Dotto Rangimoto(@JiniKinyonga) 's Twitter Profile Photo

'Katika ilani yetu ya 2020 tuliahidi kuboresha mfuko wa Bima ya Afya kwa kuunganisha na mifumo ya Hifadhi ya Jamii, ili kila Mtanzania anapochangia hifadhi ya jamii awe anapata huduma ya Afya moja kwa moja. Kwa mfumo huu, mfuko wa Bima ya Afya utaweza pia kupata fedha kwa wakati

Kheri Mahimbali(@MahimbaliK) 's Twitter Profile Photo

Mheshimiwa Balozi Togolani Mavura hongera sana kwa kuwatembelea wabia wetu katika sekta ya madini. Ziara yako hii inatia hamasa katika Diplomasia ya Uchumi. Wizara ya madini Wizara ya Madini tunapongeza jitihada hizi. Nehemiah Mchechu

account_circle
The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profile Photo

‘Binadamu na Maendeleo’ Kinaonesha Kazi Tanzania Inapaswa Kufanya Kufanikisha Dira Alizohubiri Nyerere

thechanzo.com/2024/05/15/bin…

account_circle
Mrusha Jones(@mBongo) 's Twitter Profile Photo

Yes Mzee Yussuf is an excellent orator, but we are not ready for this page turner.

Had an accidental privilege to practice for my next career as “Beta Reader” from few chapters;
I dare declare will be a bestseller.

Yes Mzee Yussuf #Makamba is an excellent orator, but we are not ready for this page turner. Had an accidental privilege to practice for my next career as “Beta Reader” from few chapters; I dare declare #ChaKaleNiDhahabu will be a bestseller.
account_circle
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe(@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

Ndio makamishna wa sasa wa Tume wanajiuzulu ili tume mpya iundwe kwa mujibu wa sheria? Mbali sana huko. Waondoke sasa

account_circle
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe(@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi wajiuzulu ili mchakato wa kupata Wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi uanze. kwa sababu sheria mpya inataka Wajumbe wa Tume Ya Uchaguzi wapatikane kwa watanzania kuomba, kufanyiwa usaili na Rais kupelekewa majina ya kuteua. Makamishna wa Tume

account_circle
Dotto Rangimoto(@JiniKinyonga) 's Twitter Profile Photo

'Ili kumaliza uhaba wa dawa, vifaa na vifaa tiba Serikali iwezeshe Bohari ya Dawa (MSD) kwa kuiongozea bajeti angalau Shilingi bilioni 565.'

Waziri wa Kivuli wa Afya
Dr Elizabeth Sanga

ACTWazalendo

'Ili kumaliza uhaba wa dawa, vifaa na vifaa tiba Serikali iwezeshe Bohari ya Dawa (MSD) kwa kuiongozea bajeti angalau Shilingi bilioni 565.' Waziri wa Kivuli wa Afya @DrBSanga @ACTwazalendo #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
account_circle
Kheri Mahimbali(@MahimbaliK) 's Twitter Profile Photo

Tanzania tunashiriki Mkutano wa Kimataifa wa Madini Mkakati unaoitwa Raw Materials Summit 2024, unaofanyika Brussels, Belgium tarehe 14-16 Mei, 2024.

Tanzania ni miongoni mwa nchi chache duniani zenye Madini Mkakati ambapo katika mkutano huu tutajadili na kubadilishana uzoefu

Tanzania tunashiriki Mkutano wa Kimataifa wa Madini Mkakati unaoitwa Raw Materials Summit 2024, unaofanyika Brussels, Belgium tarehe 14-16 Mei, 2024. Tanzania ni miongoni mwa nchi chache duniani zenye Madini Mkakati ambapo katika mkutano huu tutajadili na kubadilishana uzoefu
account_circle