๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข(@Chahali) 's Twitter Profileg
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข

@Chahali

One-Man Think-Tank | Tweeting in English + Swahili | RTsโ‰ endorsement

ID:13492362

linkhttps://www.baruayachahali.com calendar_today14-02-2008 22:26:23

362,1K Tweets

211,2K Followers

176 Following

Follow People
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข(@Chahali) 's Twitter Profile Photo

anadhani ni vema Wapinzani wakiepuka kugeuka loudspeakers za Bashite. Tuhuma za Bashite kuwa kuna mawaziri wanamtukana Mama Samia Suluhu are unsubstantiated, and even were they true, anaongea hayo 'kulipa kisasi kwa waliosababisha apewe demotion' si maslahi ya taifa

#Jasusi anadhani ni vema Wapinzani wakiepuka kugeuka loudspeakers za Bashite. Tuhuma za Bashite kuwa kuna mawaziri wanamtukana Mama @SuluhuSamia are unsubstantiated, and even were they true, anaongea hayo 'kulipa kisasi kwa waliosababisha apewe demotion' si maslahi ya taifa
account_circle
Musugu(@Musugu21) 's Twitter Profile Photo

๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข Shida yake huyu jamaa ni mlopokaji na hajui hata aseme nini wakati gani. Hafai hata kiwa kiongozi huyu jamaa akili ndogo busara na hekima hakuna kabisa hadi Rais kashindwa kuvumilia. Nadhan atatumbuliwa soon.

account_circle
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข(@Chahali) 's Twitter Profile Photo

Uchambuzi wa kiintelijensia : tuhuma za Bashite kuwa kuna mawaziri wanalipa watu wamtukane Mama Samia ni za kweli au porojo? Ni tuhuma zake kweli au katumwa? Mabadiliko kabineti ya Mama yanukia baruayachahali.com/p/uchambuzi-waโ€ฆ

account_circle
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข(@Chahali) 's Twitter Profile Photo

Uchambuzi wa kiintelijensia: - tuhuma za Bashite kuwa kuna mawaziri wanalipa watu wamtukane Mama Samia ni za kweli au porojo? Ni tuhuma zake kweli au katumwa? Mabadiliko kabineti ya Mama yanukia baruayachahali.com/p/uchambuzi-waโ€ฆ

account_circle
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข(@Chahali) 's Twitter Profile Photo

Uchambuzi wa kiintelijensia: tuhuma za Bashite kuwa kuna mawaziri wanalipa watu wamtukane Mama Samia Suluhu ni za kweli au porojo? Ni tuhuma zake kweli au katumwa? Mabadiliko kabineti ya Mama yanukia baruayachahali.com/p/uchambuzi-waโ€ฆ

account_circle
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข(@Chahali) 's Twitter Profile Photo

anamsapoti Bimkubwa lakini amezidi upole, no wonder anaishia kulalamika kuhusu watu aliowateua yeye mwenyewe.

Au anataka wananchi wawapopoe kwa mawe?

Ukiangalia ile video ya jana wakati Bashite anatoa tuhuma zake, unaweza kudhani RC anaongea naโ€ฆ instagr.am/reel/C5sleQ1L9โ€ฆ

#Jasusi anamsapoti Bimkubwa lakini amezidi upole, no wonder anaishia kulalamika kuhusu watu aliowateua yeye mwenyewe. Au anataka wananchi wawapopoe kwa mawe? Ukiangalia ile video ya jana wakati Bashite anatoa tuhuma zake, unaweza kudhani RC anaongea naโ€ฆ instagr.am/reel/C5sleQ1L9โ€ฆ
account_circle
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข(@Chahali) 's Twitter Profile Photo

Huyu mpopo aliyebadili jinsia alishtakiwa kama mwanaume, meaning kwamba atatumikia kifungo chake cha miezi 6 katika jela ya wanaume. You could only imagine hali yake itakuwaje huko jela.

amekumbuka msemo 'actions have consequences' yaani maamuziโ€ฆ instagr.am/reel/C5siLGJLPโ€ฆ

Huyu mpopo aliyebadili jinsia alishtakiwa kama mwanaume, meaning kwamba atatumikia kifungo chake cha miezi 6 katika jela ya wanaume. You could only imagine hali yake itakuwaje huko jela. #Jasusi amekumbuka msemo 'actions have consequences' yaani maamuziโ€ฆ instagr.am/reel/C5siLGJLPโ€ฆ
account_circle
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข(@Chahali) 's Twitter Profile Photo

Uchambuzi wa ki-intelijensia: tuhuma za Bashite kuwa kuna mawaziri wanalipa watu wamtukane Mama Samia ni za kweli au porojo? Ni tuhuma zake kweli au katumwa? Mabadiliko kabineti ya Mama yanukia baruayachahali.com/p/uchambuzi-waโ€ฆ

account_circle
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข(@Chahali) 's Twitter Profile Photo

Uchambuzi wa kiintelijensia: tuhuma za Bashite kuwa kuna mawaziri wanalipa watu wamtukane Mama Samia ni za kweli au porojo? Ni tuhuma zake kweli au katumwa? Mabadiliko kabineti ya Mama yanukia dlvr.it/T5RtJh

Ukienda gerezani, kila mfungwa atakwambia neno hili: I didn't do it (sikufanya kosa). Likewise, kila aliyepigwa bloku mtandaoni hudai hakumkosea aliyembloku. Actions have consequences. Wasumbufu mtandaoni dawa yao ni bloku. Waambieni hawa vijana wa ovyo waache kulalamika

Moja ya kazi bora kabisa za kwa mwaka huu. Link ipo kwenye bio ya Jasusi.

Uchambuzi huu wa kiintelijensia unajikita katika maeneo yafuatayo

๐Ÿ‘‰ Je tuhuma za Bashite kuwa kuna viongozi wakiwemo mawaziri wanalipa watu mtandaoni ili wamtukane Mama Samia ni za kweli au niโ€ฆ

account_circle