Dorothy Semu(@SemuDorothy) 's Twitter Profileg
Dorothy Semu

@SemuDorothy

Party Leader, 2024- @ACTWazalendo Vice Chairperson-Mainland 2020-2024
Shadow Prime Minister 2022- 2024@ACTBarazaKivuli
Believer of a Prosperous Tanzania

ID:372748361

linkhttp://www.actwazalendo.or.tz calendar_today13-09-2011 10:35:38

26,8K Tweets

11,7K Followers

3,1K Following

Isihaka Mchinjita(@MchinjitaIR) 's Twitter Profile Photo

Leo KC Dorothy Semu amewasili Kilimanjaro kwa madhumuni ya kushiriki Mkutano Mkuu wa Kidemokrasia utakaofanyika Aprili 27, 2024.

KC akiambatana na Makamu Mwenyekiti Bara, Ndugu Isihaka Mchinjita, Kaimu Katibu Mkuu, Salim Bimani na Mwenyekiti wa Ngome ya vijana_Official, Ndugu Abdul Nondo 🇹🇿.

Leo KC @SemuDorothy amewasili Kilimanjaro kwa madhumuni ya kushiriki Mkutano Mkuu wa Kidemokrasia utakaofanyika Aprili 27, 2024. KC akiambatana na Makamu Mwenyekiti Bara, Ndugu @MchinjitaIR, Kaimu Katibu Mkuu, @salimbimani2 na Mwenyekiti wa @NgomeyaVijana, Ndugu @abdulnondo2.
account_circle
Rahuuuum(@RahmaMwita) 's Twitter Profile Photo

Kiongozi wa ACTWazalendo, Ndugu Dorothy Semu na Makamu Mwenyekiti Bara, Ndugu Isihaka Mchinjita leo walikuwa Moshi Fm, pamoja na mambo mengine wamezungumzia miaka 10 ya chama na Mkutano Mkuu wa Kidemokrasia utakaofanyika kesho Aprili 27, 2024.

Kiongozi wa @ACTwazalendo, Ndugu @SemuDorothy na Makamu Mwenyekiti Bara, Ndugu @MchinjitaIR leo walikuwa Moshi Fm, pamoja na mambo mengine wamezungumzia miaka 10 ya chama na Mkutano Mkuu wa Kidemokrasia utakaofanyika kesho Aprili 27, 2024. #10MaslahiYaTaifa #10MamlakaKamili
account_circle
Wasemaji wa Kisekta(@ACTBarazaKivuli) 's Twitter Profile Photo

mradi kwa faida.

3. Waziri wa OFISI YA RAIS TAMISEMI ajiuzulu kwa kushindwa kuisimamia DART na kusababisha hasara kubwa kwa Taifa.

4. Tunamsihi DPP kufanya uchunguzi wa kijinai kubaini wote waliohusika kuhujumu Mradi wa mabasi ya mwendokasi Dart na kuwafikisha mahakamani.

mradi kwa faida. 3. Waziri wa @ortamisemitz ajiuzulu kwa kushindwa kuisimamia DART na kusababisha hasara kubwa kwa Taifa. 4. Tunamsihi DPP kufanya uchunguzi wa kijinai kubaini wote waliohusika kuhujumu Mradi wa mabasi ya mwendokasi Dart na kuwafikisha mahakamani.
account_circle
Wasemaji wa Kisekta(@ACTBarazaKivuli) 's Twitter Profile Photo

UZI

Mapendekezo ya ACTWazalendo ya kunusuru MWENDO KASI.

1. Mfumo wa Kielekroniki wa kukusanyia nauli uliotelekezwa, ufungwe maramoja na uanze kutumika.

2. Bodi ya wakurugenzi ya DART ivunjwe yote na kuundwa upya, kwa kuzingatia wataalamu wa sekta ya hiyo ambayo itauendesha

UZI Mapendekezo ya @ACTwazalendo ya kunusuru MWENDO KASI. 1. Mfumo wa Kielekroniki wa kukusanyia nauli uliotelekezwa, ufungwe maramoja na uanze kutumika. 2. Bodi ya wakurugenzi ya DART ivunjwe yote na kuundwa upya, kwa kuzingatia wataalamu wa sekta ya hiyo ambayo itauendesha
account_circle
ACTWazalendo(@ACTwazalendo) 's Twitter Profile Photo

ACT-Wazalendo imefanya uchambuzi wa Ripoti ya CAG; na kuitaka Serikali kuwachukulia hatua za kisheria watumishi wote waliohusika na ubadhirifu wa fedha za umma.

Wasemaji wa Kisekta

account_circle
Wasemaji wa Kisekta(@ACTBarazaKivuli) 's Twitter Profile Photo

'Nchi inatumia sehemu kubwa ya makusanyo yake kwenda kuhudumia deni badala ya kutoa huduma kwa wananchi walalahoi. Taarifa za Benki Kuu zinaonyesha kila mwezi tunatumia bilioni 900 kwa ajili ya kulipa deni la Serikali.'

Waziri Kivuli wa Fedha
Kiza Mayeye.

'Nchi inatumia sehemu kubwa ya makusanyo yake kwenda kuhudumia deni badala ya kutoa huduma kwa wananchi walalahoi. Taarifa za Benki Kuu zinaonyesha kila mwezi tunatumia bilioni 900 kwa ajili ya kulipa deni la Serikali.' Waziri Kivuli wa Fedha @kizamayeye_ #RipotiyaCAG
account_circle
Wasemaji wa Kisekta(@ACTBarazaKivuli) 's Twitter Profile Photo

'Ripoti ya CAG 2022/23 imeonesha madai ya ShT bilioni 36.47 ya watumishi wa Umma. Serikali haiwathamini wafanyakazi wa umma. Hii inapelekea kushusha morali ya watumishi na kuondoa ufanisi katika utendaji na kuwahudumia wananchi.'

Waziri Mkuu Kivuli
Isihaka Mchinjita

ACTWazalendo

'Ripoti ya CAG 2022/23 imeonesha madai ya ShT bilioni 36.47 ya watumishi wa Umma. Serikali haiwathamini wafanyakazi wa umma. Hii inapelekea kushusha morali ya watumishi na kuondoa ufanisi katika utendaji na kuwahudumia wananchi.' Waziri Mkuu Kivuli @MchinjitaIR @ACTwazalendo
account_circle
Wasemaji wa Kisekta(@ACTBarazaKivuli) 's Twitter Profile Photo

'Air Tanzania ilipata hasara ya Shilingi bilioni 56.64. Sababu za kupata hasara hiyo ni zilezile ikiwemo gharama kubwa za uendeshaji na gharama za ukodishaji wa ndege na Bima ya ndege Airbus A220-300 kutokana na ubovu wa Injini na kutu.'

Kiongozi wa ACTWazalendo
Dorothy Semu

'@AirTanzania ilipata hasara ya Shilingi bilioni 56.64. Sababu za kupata hasara hiyo ni zilezile ikiwemo gharama kubwa za uendeshaji na gharama za ukodishaji wa ndege na Bima ya ndege Airbus A220-300 kutokana na ubovu wa Injini na kutu.' Kiongozi wa @ACTwazalendo @SemuDorothy
account_circle
Wasemaji wa Kisekta(@ACTBarazaKivuli) 's Twitter Profile Photo

Wa pili kutoka kulia ni Kiongozi wa ACTWazalendo, Ndugu Dorothy Semu.

Wa kwanza kulia ni Waziri Mkuu Kivuli, Ndugu Isihaka Mchinjita

Wa pili kutoka kushoto ni Katibu Kiongozi wa Wasemaji wa Kisekta, Ndugu Idrisa Kweweta.

Wa kwanza kushoto ni, Waziri Kivuli wa Fedha, Kiza Mayeye..

Wa pili kutoka kulia ni Kiongozi wa @ACTwazalendo, Ndugu @SemuDorothy. Wa kwanza kulia ni Waziri Mkuu Kivuli, Ndugu @MchinjitaIR Wa pili kutoka kushoto ni Katibu Kiongozi wa @ACTBarazaKivuli, Ndugu @idrisa_kweweta. Wa kwanza kushoto ni, Waziri Kivuli wa Fedha, @kizamayeye_.
account_circle
Kassala(@Vicent_Kassala) 's Twitter Profile Photo

Creator CLEN(@DirectorTheking) 's Twitter Profile Photo

Ngome ya Wazee(@NgomeyaWazee) 's Twitter Profile Photo

Emmanuel L. Mvula(@Immamvula) 's Twitter Profile Photo

Othman Hamza(@Mfungwahuru1) 's Twitter Profile Photo

Ngome ya Wanawake(@NgomeyaWanawake) 's Twitter Profile Photo