James Ackson (@wililojames) 's Twitter Profile
James Ackson

@wililojames

Professional in HR & Microfinance Management/ Believes in honest,Integrity & Humanity/ Father

ID: 812254655044521984

calendar_today23-12-2016 11:12:55

5,5K Tweet

245 Followers

938 Following

Brythony Runana (@runanaathman) 's Twitter Profile Photo

Ndugu zangu wa X tunawaomba mtusaidie kupaza sauti juu ya hawa ndugu zetu Tuna hofu,na huzuni nyoyo zetu zinavuja damu Ewe Mtanzania Mwenzangu kataa utekaji,haujui kesho nani atafuata ????

Ndugu zangu wa X tunawaomba mtusaidie kupaza sauti juu ya hawa ndugu zetu Tuna hofu,na huzuni nyoyo zetu zinavuja damu  Ewe Mtanzania Mwenzangu kataa utekaji,haujui kesho nani atafuata ????
Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Mkisikia nimepotea wala msiangaike kunitafuta popote Haya maneno yameandikwa hapa chini ni ya FAM kupitia kijakazi wake Nitafutwe kwa Mbowe, yeye ndiye anajua haya mambo ya kuvuka mstari hii uwa ni kauli yake ya matukio Maana hawa washenzi wakipigwa mtandaoni wanatafuta wa

Emmanuel Mwita (@ej_mwita) 's Twitter Profile Photo

MWENENDO WA DENI LA TAIFA LETU KWA MIAKA YOTE TANGU UHURU. Nyerere: Trilioni 3 Mwinyi: Trilioni 18 (+15T) Mkapa: Trilioni 10 (-8T) Kikwete: Trilioni 39 (+29T) JPM: Trilioni 60.9 (+21.9T)….6yrs SAMIA: Trilioni 107 (+46.3T) ….4yrs Mwaka 2025/26 pekee amepanga kukopa 14.95T

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Tunapokea taarifa nyingi kuhusu usalama wa Mwenyekiti wetu. Tunazipokea kwa uzito unaotakiwa, Mwenyekiti Tundu Antiphas Lissu alikamatwa akiwa na afya yake njema. Lolote baya likimtokea kwenye mikono ya vyombo vya dola sisi chama hatutakubali. Dunia haitakubali. Rais Samia Suluhu

Tunapokea taarifa nyingi kuhusu usalama wa Mwenyekiti wetu.

Tunazipokea kwa uzito unaotakiwa, Mwenyekiti <a href="/TunduALissu/">Tundu Antiphas Lissu</a> alikamatwa akiwa na afya yake njema.

Lolote baya likimtokea kwenye mikono ya vyombo vya dola sisi chama hatutakubali. Dunia haitakubali.

Rais <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a>
Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Wanataka kujipa kazi ngumu sana, wanataka kujipa vita nzito sana Kufuta mabaki ya Nyerere kienyeji haitokuwa rahisi kama wanavyofikiria, wakianza kuua hawa wazee wazi wazi itakuwa issue Bora huko nyuma mambo hayakuwa wazi hivi

Emmanuel Mwita (@ej_mwita) 's Twitter Profile Photo

NCHI YA WAHUNI. TUNDU LISSU anashikiliwa kwa makosa ya mchongo, Chaula alipotezwa kwa kuchoma picha ya raisi lakini mnajua nini? Mdogo wa Rostam Aziz, Ndugu Akram Aziz Abdul Rasool alikamatwa na MENO na PEMBE za ndovu na silaha lakini mahakama zilisema alipe fidia Tu.

NCHI YA WAHUNI.

TUNDU LISSU anashikiliwa kwa makosa ya mchongo, Chaula alipotezwa kwa kuchoma picha ya raisi lakini mnajua nini?

Mdogo wa Rostam Aziz, Ndugu Akram Aziz Abdul Rasool alikamatwa na MENO na PEMBE za ndovu na silaha lakini mahakama zilisema alipe fidia Tu.
MwanzoTvPlus (@mwanzotvplus) 's Twitter Profile Photo

#TANZANIA: PADRE AWASIHI VIONGOZI WA DINI KUKEMEA MAOVU, "TUTAANDAMANA KUDAI HAKI" Padre Edgar Ngowi amewasihi viongozi wa dini kusimama kidete kukemea maovu nchini kwasababu Wananchi wamekata tamaa, tegemeo lao pekee ksasa ni viongozi wao wa dini. Fr. Edgar Ngowi, OSA amesema wao

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Diplomatic passport ni kwa ajili ya Viongozi wa level ya juu kwenye Serikali. Sasa huyu Ahmed Salim Faraj ananafasi gani kwenye Serikali ya Tanzania mpaka kapewa hii passport? Hii Nchi inachezewa sana aisee bila kupigania Reform uko mbele ni shida tupu

Diplomatic passport ni kwa ajili ya Viongozi wa level ya juu kwenye Serikali.

Sasa huyu Ahmed Salim Faraj ananafasi gani kwenye Serikali ya Tanzania mpaka kapewa hii passport?

Hii Nchi inachezewa sana aisee bila kupigania Reform uko mbele ni shida tupu
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc (@ridhiwankikwete) 's Twitter Profile Photo

Asante sana, Dr. Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wetu wa Chama na Wajumbe wa Vikao kwa Imani Kubwa. Imani ulipwa kwa Imani, Sintowaangusha. Tutanadi na Kuelimisha Umma kuhusu Ilani kwa Uzuri na Njia Bora Zaidi.

Asante sana, Dr. Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wetu wa Chama na Wajumbe wa Vikao kwa Imani Kubwa. Imani ulipwa kwa Imani, Sintowaangusha. Tutanadi na Kuelimisha Umma kuhusu Ilani kwa Uzuri na Njia Bora Zaidi.
Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

WIZI KURA KIMFUMO UNAFANYIKAJE? Anaandika Dr. Calipso Kuna kitu kwenye mifumo kinaitwa Query. Una run Query na kui command ikuvutie taarifa flani muhimu ili kuziintegrate na mifumo mingine. Wataalamu wa CTC 2 Database inayotunza taarifa za UKIMWI mtanielewa

WIZI KURA KIMFUMO UNAFANYIKAJE?

Anaandika Dr. Calipso

Kuna kitu kwenye mifumo kinaitwa Query.

Una run Query na kui command ikuvutie taarifa flani muhimu ili kuziintegrate na mifumo mingine.

Wataalamu wa CTC 2 Database inayotunza taarifa za UKIMWI mtanielewa
MMAREKANI MWEUSI 🇰🇪🇺🇸 (@davitheempire) 's Twitter Profile Photo

Ile HOJA ya Balozi Polepole kuwa GESI nchini CUBA ni Elfu mbili za Tanzania naanza kuelewa kupitia huu mfano wa AZAM ambao AZAM makao makuu yake ni TANZANIA na Bei za vufurushi ni kubwa kuliko nchi ya MALAWI #NCHIGANIHII wenye PESA hawana huruma na uchumi wa wananchi😭😭😭🚮🚮

Ile HOJA ya Balozi Polepole kuwa GESI nchini CUBA ni Elfu mbili za Tanzania naanza kuelewa kupitia huu mfano wa AZAM ambao AZAM makao makuu yake ni TANZANIA na Bei za vufurushi ni kubwa kuliko nchi ya MALAWI 

#NCHIGANIHII wenye PESA hawana huruma na uchumi wa wananchi😭😭😭🚮🚮