Lab Technologist ๐Ÿ”ฌ (@vitalisvedasto) 's Twitter Profile
Lab Technologist ๐Ÿ”ฌ

@vitalisvedasto

๐Ÿ™God. Lab technologist. CATHOLIC , Man UTD &SIMBA die hard fan. Baba&mama๐Ÿ™
SUKUMA OG , MWANZA TZ

ID: 844264211257679873

calendar_today21-03-2017 19:07:28

48,48K Tweet

1,1K Followers

5,5K Following

T (@tayanahtibs) 's Twitter Profile Photo

Hingera Devota kwa hili, japo nikiangalia picha za mtoto anaonekana kama yule mwenye Mtindio wa Ubongo. Ningeshauri mtoto akaonane na wataalam MOI au CCBRT kwani kama ni mwenye CP wheelchair hii inaweza mletea madhara zaidi. Mfano wa wheelchair anayotumia Russ inakua na meza pia

Hingera Devota kwa hili, japo nikiangalia picha za mtoto anaonekana kama yule mwenye Mtindio wa Ubongo.

Ningeshauri mtoto akaonane na wataalam MOI au CCBRT kwani kama ni mwenye CP wheelchair hii inaweza mletea madhara zaidi. Mfano wa wheelchair anayotumia Russ inakua na meza pia
Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Polisi waliaga nyumbani wanaenda kazini. Kazi yenyewe: a) wameua mtu mmoja b) wamevunja miguu na mikono wa watano c) wametesa na kuumiza mamia na kuwatupa porini d) wamepora mali za watu Kwa kazi hiyo ๐Ÿ‘†๐Ÿปlaana iwafuate wao na vizazi vyao.

Brenda Rupia Jonas (@brendarupia) 's Twitter Profile Photo

Mpaka sasa, hatujui aliko Katibu Mkuu wetu MNYIKA John John na John Heche Makamu Mwenyekiti ! Walitekwa waziwazi na maofisa wa Police Force TZ maeneo ya Fire na Salenda walipokuwa wakielekea mahakamaniโ€”na tangu hapo wamepotea bila maelezo yoyote. Tunataka majibu sasa hivi: YUKO WAPI KATIBU

Mpaka sasa, hatujui aliko Katibu Mkuu wetu <a href="/jjmnyika/">MNYIKA John John</a> na <a href="/HecheJohn/">John Heche</a> Makamu Mwenyekiti ! Walitekwa waziwazi na maofisa wa <a href="/tanpol/">Police Force TZ</a> maeneo ya Fire na Salenda walipokuwa wakielekea mahakamaniโ€”na tangu hapo wamepotea bila maelezo yoyote.

Tunataka majibu sasa hivi: YUKO WAPI KATIBU
#NIPENI_MAUA_YANGU๐Ÿ’ (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Nahitaji mwongozo kwenye elimu ya Uraia!! Nini Role ya Jeshi la wananchi hasa kwenye hali ya kisiasa inayoendelea nchini!? Au hali ya kisiasa kati ya tawala na pinzani ikifika kwenye State gani ndio Jeshi Linatakiwa kutoa statement?

Nahitaji mwongozo kwenye elimu ya Uraia!!

Nini Role ya Jeshi  la wananchi hasa kwenye hali ya kisiasa inayoendelea nchini!?

Au hali ya kisiasa kati ya tawala na pinzani ikifika kwenye State gani ndio Jeshi Linatakiwa kutoa statement?
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Wamefuta POST yenye taarifa ya kuokota maiti COCO BEACH (UONGO) wametuachia UMBEA wa mwijaku na malaya zake. Endeeleni kujikoroga bado hamjajikoroga vizuri.๐Ÿซต๐Ÿพ๐Ÿ˜Ž

Wamefuta POST yenye taarifa ya kuokota maiti COCO BEACH (UONGO) wametuachia UMBEA wa mwijaku na malaya zake.

Endeeleni kujikoroga bado hamjajikoroga vizuri.๐Ÿซต๐Ÿพ๐Ÿ˜Ž
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Usiku huu Mimi na wasaidizi wangu, tumeachiwa na polisi baada ya kututeka na kutushikilia kinyume cha utaratibu kwa mda mrefu. Hakuna kiwango cha udhalilishaji, vitisho wala mauji kinachoweza kuzuia kiu yetu ya kutafuta mabadiliko. Tutaipigania demokrasia kwa gharama yoyote.

Chacha Heche (@chacha_heche) 's Twitter Profile Photo

Kwa uweza WA Mungu tumefanikiwa kufika Nyumbani muda huu baada ya kushikiliwa kizuizini na polisi kinyume na utaratibu tukiwa na makamu mwenyekiti John Heche kwa masaa zaidi ya 14 porini Nimesikitishwa Sana Bado naamini Mungu atatushindia

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Akaunti ya YouTube na Instagram za Global TV Online zimefuta habari hii ya Mwandishi wao, Bi. Grace Kihuni kukamatwa na kupigwa akitekeleza majukumu yake katika Mahakama ya Kisutu. Tulihifadhi, tumeweka hapa ili Eric James Shigongo asianze kuwapiga mkwara wafanyakazi wake.