Tharakanithi
@vegasotieno
ID: 1274303010
17-03-2013 07:36:45
1,1K Tweet
196 Followers
586 Following
VIDEO: Makamu Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi JOSEPH SELASINI ni miongoni mwa waliojitokeza kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam kufuatilia kesi inayohusu kutoweka kwa Mwanaharankati kijana DEUSDEDITH SOKA na wenzake wawili iliyofunguliwa Mahakamani hapo
“Mamlaka ya wananchi ni ipi? Kura ni nguvu ya wananchi kuamua dhidi ya viongozi.”-; Mhe. John Heche
Mji wa katoro-Busanda Mkoani Geita Umefungwa kwa Muda wananchi wakiusindikiza Msafara wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara Mhe.John Heche baada ya Kumalizika kwa Mkutano wa Hadhara Jioni ya Leo. #NoReformsNoElection #TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Ndugu zangu watanzania, nchi yetu iko njia panda, Nchi yetu inahangaika Inahitaji uongozi Sisi tunajitolea kutoa uongozi Tunahitaji mtuunge mkono. Maneno ya Makamu Mwenyekiti John Heche akizungumza na wananchi wa Tabora hivi karibuni. #NoReformNoElection