uzalendo (@uzalendowetu) 's Twitter Profile
uzalendo

@uzalendowetu

Sports Entertainment ,intelligence, Government & Politics #Election2016 Gov Officials & Agencies

ID: 847927603801575425

calendar_today31-03-2017 21:44:29

337 Tweet

170 Followers

362 Following

uzalendo (@uzalendowetu) 's Twitter Profile Photo

Huyu ndo Kiongozi na amebeba matumaini ya Vijana wote wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi ndo anatetea ujinga ...kweli inaonyesha kwa sasa hakuna agenda ya kuwakomboa Watanzania kila mtu anatafuta pesa kwa njia zake, huyu atuambie anazitafutia wapi??? @ChademaTz Shaka Hamdu Shaka

Owles (@the_owlez) 's Twitter Profile Photo

Maafisa Usalama wa Taifa wamemuweka Ndugai kwenye Kizuizi vuli, invisible Detention wakisaidiwa na Jeshi la Wananchi, alipanga kuongelea masuala kadhaa! 1.Msimamo wake juu ya Mkopo hasa 1.3Trilion na akisema Trilion 7 zimepelekwa Zanzibar kinyemela 2. Kuhusu Meko na kumtetea

Owles (@the_owlez) 's Twitter Profile Photo

Ataongea yafuatayo 1. Atafafanua Kauli yake kidogo 2. Alafu ataweka sawa kauli zake kadhaa ambazo zimeonekana kupingana na serikali 3. Atajikita kujifanya anaongelea Mambo mengine kuliko Sakata Husika, Kashazimwa hivyo

uzalendo (@uzalendowetu) 's Twitter Profile Photo

Haya maneno sio yako... tunaelewa kuna mtutu ulikuwa nyuma yako, lakini hata kama umeomba msamaha tunajua ukweli tayari , mama kakopa 10trilion hata mwaka hajamaliza, hafu anatuletea mipasho...hopeless kabisa .atatukuta 2025 ndo ataelewa Tanzania ni nchi tamu sana ....

uzalendo (@uzalendowetu) 's Twitter Profile Photo

Asante Mzee Makamba... 1. Body language ya Ndugai wakati anaomba msamaha tunajua hakuwa yeye,kitu kizito kilikuwa kimemshukia au about kutupwa Baharini japo Dodoma hakuna bahari. 2. Rais ndo Dhaifu kutosamehe 3.Mbona Rais amtaje Kassim?? Mama anamuogopa PM kisiasa, na sip Ndugai

Asante Mzee Makamba...
1. Body language ya Ndugai wakati anaomba msamaha tunajua hakuwa yeye,kitu kizito kilikuwa kimemshukia au about kutupwa Baharini japo Dodoma hakuna bahari.
2. Rais ndo Dhaifu kutosamehe
3.Mbona Rais amtaje Kassim?? Mama anamuogopa PM kisiasa, na sip Ndugai
uzalendo (@uzalendowetu) 's Twitter Profile Photo

Technically Shangazi anasema hiviiiii...Mama ana dhulma, mama anatenda maovu hvo ni muovu, ili aondokane na haya makando kando ajisafishe kwa kutobambika watu maovu...Mama nchi hii ngumu sana anayeongea huyu usiseme ni mzanzibar mwenzako hakupendi, isipokuwa chukua hoja zake!!

uzalendo (@uzalendowetu) 's Twitter Profile Photo

Kwa Lugha rahisi sana Maria Sarungi Tsehai unamuunga mkono Ndugai lakini naamini unaunga mkono hoja yake ,kumbe hata wewe unaogopa kupigwa mnada ?? Aaaiyaa..Technically huna approval ya Uongozi wa Mama ..Tanzania ngumu sana hebu tuendelee kutafuta malaika wa kuja kuongoza Tanzania 🇹🇿

uzalendo (@uzalendowetu) 's Twitter Profile Photo

Viongozi wa Namna hii ni hatari sana, huyu mama amekosa kitu kinaitwa uwezo binafsi wa kuongoza nchi, short of ideas, short of solutions ,short of creativity ndo maana ameanza kurudi nyuma rasmi, soon atatuambia rufiji haifai, SGR haifai, uwanja wa msalato haufai, tutarajie haya

uzalendo (@uzalendowetu) 's Twitter Profile Photo

Hongera sana Mzee Andrew Chenge kwa kuweka Record mpya... Kukatwa mara mbili na Kamati kuu chini ya awamu mbili. Awamu ya 5 chini ya Anko Awamu ya 6 chini ya mama Twambie wapi tena unataka kujitokeza ili tukukate tena ??? Chagua na kikatio kabisa, wembe, kisu au shoka ??

uzalendo (@uzalendowetu) 's Twitter Profile Photo

Yaani Tanzania tumefikia hapa?? Wakuu wa Mikoa 8, Makatibu Tawala wa Mikoa 8, Kamati za ulinzi na Usalama Mikoa 8, wanachoma mafuta ya watanzania, walipa kodi, yaani kwenda kutamka tu Happy bd Mhe.SSH Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chama Cha Mapinduzi Samia Suluhu Maria Sarungi Tsehai fatma karume aka Shangazi Tundu Antiphas Lissu

uzalendo (@uzalendowetu) 's Twitter Profile Photo

Hapa mtego uliopo ni kuwa serikali inaingilia muhimili wa mahakama ama la, iwapo kama Mbowe ataachiwa kwa maelekezo haya, basi hakuna utawala wa sheria . Na kama itakuwa hvo basi tunaomba na Sabaya aachiwe huru yaishe Chama Cha Mapinduzi Chama cha Demokrasia na Maendeleo ikulu_Tanzania Ikulu Tanzania

Pembe zote makongamano ya kumpongeza SAMIA kutimiza mwaka mmoja, Hvo kwani hakutakiwa kutimiza ?? Sasa katimiza taking them by surprise?? Mbona CCM kiwewe??? Kuna dalili tosha kabisa kuwa Samia Hakubaliki no matter what atafanya, infact hatakubalika. Come 2025 !!

uzalendo (@uzalendowetu) 's Twitter Profile Photo

Tumepotea wapi ,Tumekwama wapi, Watanzania tuchukue hatua ...akae pembeni afanye maigizo na usanii sisi aturudishie nchi yetu

Tumepotea wapi ,Tumekwama wapi, Watanzania tuchukue hatua ...akae pembeni afanye maigizo na usanii sisi aturudishie nchi yetu