ntu wa dili (@yajua_700) 's Twitter Profile
ntu wa dili

@yajua_700

ntu wa dili @simba sports club fun lialia!

ID: 1012365623689666560

calendar_today28-06-2018 16:02:28

19,19K Tweet

1,1K Takipçi

5,5K Takip Edilen

Dr Lwaitama (@lwaitama1) 's Twitter Profile Photo

Ubovu unaanzia wapi Unaanzia ITV hawakupost alichosema Gwajima ila wanaomjibu Gwajima ITV wamewapost ITV Tanzania Acheni unafki postini alichosema Gwajima Ili tujibizane kwa Hoja

JAPHET MATARRA (@eng_matarra) 's Twitter Profile Photo

Fikiria MNEC wa CCM Daniel chonchorio Nyamohanga, alitekwa mchana kweupe na waliodai ni polisi leo hajulikani alipo. Kama wao wanashughulikiwa namna hiyo, Je, sisi raia wa kawaida tuko salama kweli? Hiki si chama tena, ni mtandao wa majambazi unaoshirikiana na dola kuua sauti za wanyonge.

Fikiria MNEC wa CCM <a href="/chonchorio99033/">Daniel chonchorio Nyamohanga</a>, alitekwa mchana kweupe na waliodai ni polisi leo hajulikani alipo. Kama wao wanashughulikiwa namna hiyo, Je, sisi raia wa kawaida tuko salama kweli? Hiki si chama tena, ni mtandao wa majambazi unaoshirikiana na dola kuua sauti za wanyonge.
Luhaga Mpina (@luhagampina) 's Twitter Profile Photo

Mtu anapotea, Jeshi la Polisi linakanusha kuhusika kupotea kwake. Ajabu ni kwamba, matukio haya ni mengi mno, na kila tukio polisi hawahusiki. Ajabu zaidi, Polisi hawatoi ripoti ya uchunguzi ya mtu aliyepotea, wala haihaingaiki kutafuta watu wanaotumia jina lao kuwachafua.

Madenge (@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Waliopata uongozi kwa uchawa na si uwezo ndio waliotuletea haya mambo ya kutekana na kuuana kulinda vyeo vyao..Ukiangalia vizuri waliokulia kijani toka madogo janja hawapo kwenye hizi skendo ila ndio forena washajipa vyeo hata wao hawana say tena

M.D (🅨) (@regantesla_) 's Twitter Profile Photo

Huko Insta tayari naonekana kama Mhaini kwa sababu ya kupigwa block na Mama. 🥺 Imagine mtu anakwambia kabisa wewe unatekwa soon. Yaani imefikia hatua sasa tume normalize suala la Utekaji so simple 💔.

𝐑𝐞𝐟𝐨𝐫𝐦 (@winstone_nnko) 's Twitter Profile Photo

Gwajima anatingisha meza yenye vinywaji vya gharama kubwa sana. Ushauri wangu: aachane na haya majibizano na taasisi ya urais. Ni taasisi kubwa nchini, inasifika kwa kulinda heshima yake kwa wivu na kwa gharama yoyote pale inapobidi, si hapa nchini tuu bali kote duniani.

Gwajima anatingisha meza yenye vinywaji vya gharama kubwa sana. Ushauri wangu: aachane na haya majibizano na taasisi ya urais. Ni taasisi kubwa nchini, inasifika kwa kulinda heshima yake kwa wivu na kwa gharama yoyote pale inapobidi, si hapa nchini tuu bali kote duniani.
ngosmile ngosomwile (@nsajigwamwakal9) 's Twitter Profile Photo

Dr. Sisimizi RAIS SIYO MUNGU MTABURUZWA SANA RIPOTI YA MKAGUZI WA FEDHA ZA SERIKALI ALIBAINISHA UWIZI WA FEDHA ZA WATANZANIA UKIJUMLISHA KWA MIAKA MITANO TU NI MATRILIONI YA PESA ZA WATANZANIA MAJIZI YANAYOWAIBIA YANATAMBA MTAANI

Ramazz (@ravuway) 's Twitter Profile Photo

Sia Da Vinci💎 Kwani CCM inapendwa na nani zaidi ya the gullible? Lkn Ilianza kuchukiza wakati wa jiwe. Asili ya bimkubwa dini na vitendo vyake ndio vikazidi kufurika chuki vilevile.

Jebra Kambole (@advocate_jebra) 's Twitter Profile Photo

Kuna Watu wanaamini viongozi wa serikali au CCM wanapaswa kusemwa au kukosolewa kwa staha au lugha nyepesi ili wasijisikie vibaya! Watu wanao ua, kutesa, kuteka, ufisadi, wizi na kuleta kila aina ya shida wanahitaji heshima gani? Wasemwe vizuri ili iweje? Kama wewe huwezi kausha!

Kuna Watu wanaamini viongozi wa serikali au CCM wanapaswa kusemwa au kukosolewa kwa staha au lugha nyepesi ili wasijisikie vibaya! Watu wanao ua, kutesa, kuteka, ufisadi, wizi na kuleta kila aina ya shida wanahitaji heshima gani? Wasemwe vizuri ili iweje? Kama wewe huwezi kausha!
Dr. Kala. MD (@kalegamyeh) 's Twitter Profile Photo

Huu mwaka nimepitia platform nyingi za job application huko duniani. Nimegundua kwamba bado vyuo vyetu vina changamoto sana exposure moja ya sababu wengi hatuuziki. Kuna international organisations mbali mbali ambazo vyuo vyetu vinatakiwa kujisajiri ili graduate wao waombe kazi

Drick Investa (@drick_dadd) 's Twitter Profile Photo

Privaldinho MCHANGANUO WA TWEETS ZA DIGITAL MANAGER WA YANGA KWA SIKU. Post kuhusu Simba Sc 70 Post kuhusu timu za nje ya nchi 15 Post kuhusu timu matawi ya Yanga 10 Post kuhusu waajiri wake YANGA 2 Je, huyu ni digital manager wa Simba Sc au Yanga Sc? UTAPELI WAZIWAZI 😂😂

Zitto MwamiRuyagwa Kabwe (@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

Kama hujui kuwa Israel yenye bendera hiyo sio Taifa la Kikristo bali ni wahamiaji wa kiyahudi kutoka ulaya. Then siwezi kukusaidia kutoka huo ujinga mkubwa. Kama huoni hata Papa, Mkuu wa Kanisa Katoliki, analaani mauaji ya kimbari ya Gaza, Palestine basi huwezi elewa kamwe

fatma karume aka Shangazi (@fatma_karume) 's Twitter Profile Photo

Nataka niulize Swali moja tu: Alivyotekwa na kuuliwa Mzee Ali Kibao Gwajiboy alisema neno? Aliufyata! Leo mnamfanya POSTER BOY wa movement? Alichokiona Thabit “Gwajipimbics” tu.

Jebra Kambole (@advocate_jebra) 's Twitter Profile Photo

Gwajima hata kama watu wanasema ni tapeli au ni mtu aliyekosa Ubunge au anamapungufu yake! Je anachoongea ni cha uongo na hakipaswi kusemwa? Mtu anayeongea kuhusu watu kutekwa na kuuwawa, tutamuunga mkono hata kama ni chizi!!!

Gwajima hata kama watu wanasema ni  tapeli au ni mtu aliyekosa Ubunge au anamapungufu yake! Je anachoongea ni cha uongo na hakipaswi kusemwa? 

Mtu anayeongea kuhusu watu kutekwa na kuuwawa, tutamuunga mkono hata kama ni chizi!!!