
Peter temba
@peter80865270
Temba
ID: 1450867563395747847
20-10-2021 16:53:09
13,13K Tweet
584 Takipçi
1,1K Takip Edilen

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, siku ya Alhamisi, tarehe 7 Desemba 2023, atafanya ziara mkoani Manyara, wilaya ya Hanang kutembelea wahanga wa tukio la mafuriko ili kutoa pole na faraja kwa familia zilizokumbwa na janga hili. Katika












‼️Nawapa siri ‼️ Hawasemi nchi gani alikuwepo Dr Mpango kwa sababu tutaenda kupitia media za kimataifa kama BBC News Africa kutafuta maelezo kutoka serikali husika watueleze alikuwa hapo kwa kazi gani! Hamtakaa kujibiwa hilo 😃 Ndo mjue “kelele” zetu zina mantiki #TutaelewanaTu






Mwanasheria na mwanaharakati wa haki za binadamu kutoka Tanzania, Joseph Moses Oleshangay, ametunukiwa Tuzo ya Haki za Binaadamu ya mji wa Weimar nchini Ujerumani. Joseph Oleshangay ametunikiwa tuzo hilo kutokana na juhudi zake za kutetea jamii ya wamasai ambao kwa muda wamehangaishwa

