
Jambo TV
@jambotv_
Independent News Source | WhatsApp+255767252999
ID: 570641129
https://jambo.co.tz/ 04-05-2012 08:15:47
25,25K Tweet
957,957K Takipçi
64 Takip Edilen

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, siku ya Alhamisi, tarehe 7 Desemba 2023, atafanya ziara mkoani Manyara, wilaya ya Hanang kutembelea wahanga wa tukio la mafuriko ili kutoa pole na faraja kwa familia zilizokumbwa na janga hili. Katika
