MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile
MwanaHALISI Digital

@mwanahalisitz

MwanaHALISI Digital ni Ukurasa wa Kampuni ya Hali Halisi Publishers wamiliki wa magazeti ya MwanaHALISI, MAWIO, MwanaHALISI Online na MwanaHALISI TV

ID: 2269936272

linkhttp://mwanahalisionline.com calendar_today31-12-2013 05:56:16

30,30K Tweet

351,351K Takipçi

458 Takip Edilen

MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

M/kiti wa Mawakili Vijana kutoka TLS, Edward Heche, wameitisha matembezi ya amani Disemba 16, 2023, kupinga tabia ya mawakili kufungiwa kwa kigezo cha ukiukwaji wa maadili. Ni siku chache tangu AG, Dk. Eliezer Feleshi, kuitaka Kamati ya Maadili ya Mawakili kuwachukulia hatua