Diego Muller (@muller95diego) 's Twitter Profile
Diego Muller

@muller95diego

I hit below the belt, an #activist fighting for the freedom of #Tanzanians who face a repressive kleptocracy, comprising some of Africa's most corrupt leaders.

ID: 1552720364039507968

linkhttps://muller95diego.medium.com calendar_today28-07-2022 18:19:34

14,14K Tweet

1,1K Takipçi

441 Takip Edilen

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

‼️🚨CCM INAKUSANYA TAARIFA KINYUME NA SHERIA 🚨‼️ Chama Cha Mapinduzi kipitia UVCCM wanatumia app ya Viva kukusanya taarifa binafsi wakitumia wajumbe na viongozi wa serikali za mitaa ambao ni watumishi wa umma! Inakinzana na sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi! Mfano kuomba majina,

‼️🚨CCM INAKUSANYA TAARIFA KINYUME NA SHERIA 🚨‼️
<a href="/ccm_tanzania/">Chama Cha Mapinduzi</a> kipitia UVCCM wanatumia app ya Viva kukusanya taarifa binafsi wakitumia wajumbe na viongozi wa serikali za mitaa ambao ni watumishi wa umma! 
Inakinzana na sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi! Mfano kuomba majina,
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

The guilty are afraid . Wenye hatia wana hofu, Katiba yetu ibara ya 18(b) Kila mtu anayo haki ya kutafuta, kupokea na kutoa habari bila kujali mipaka ya Nchi mnaogopa hata kivuli, mnatesa Watanzania. Ufisadi kila kona, vijana wanateseka hakuna ajira, maisha magumu. Watoto

The guilty are afraid .

Wenye hatia wana hofu, 

Katiba yetu ibara ya 18(b)
Kila mtu anayo haki ya kutafuta, kupokea na kutoa habari bila kujali mipaka ya Nchi

mnaogopa hata kivuli, mnatesa Watanzania. Ufisadi kila kona, vijana wanateseka hakuna ajira, maisha magumu.

Watoto
Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Kilichosemwa leo na Mkti wako wa CCM Taifa kwenye maigizo yenu ya uchafuzi mkuu huko Kigoma juu yako na Zitto Kabwe ni tusi kubwa sana kwako na CCM Kigoma. Hata hivyo sasa ni dhahiri kwamba ule wasiwasi ambao wengine walikuwa hawaamini juu ya madalali wa kisiasa Nchini , sasa

Kilichosemwa leo na Mkti wako wa CCM Taifa kwenye maigizo yenu ya uchafuzi mkuu huko Kigoma juu yako na Zitto Kabwe ni tusi kubwa sana kwako na CCM Kigoma. Hata hivyo sasa ni dhahiri kwamba ule wasiwasi ambao wengine walikuwa hawaamini juu ya madalali wa kisiasa Nchini , sasa
Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

TLS inapaswa kuchua hatua dhidi ya Polisi waliomshambuli & kumdhalilisha Wakili Deo Mahinyila akiwa mahakamani. Kuruhusu polisi kugeuza mahakama, eneo letu la kazi, kuwa ghetto lao hakikubaliki. Solidarity with Adv Deo Deogratias Mahinyila, na tunawataka polisi wamuachie mara moja.

TLS inapaswa kuchua hatua dhidi ya Polisi waliomshambuli &amp; kumdhalilisha Wakili Deo Mahinyila akiwa mahakamani.

Kuruhusu polisi kugeuza mahakama, eneo letu la kazi, kuwa ghetto lao hakikubaliki.

Solidarity with Adv Deo <a href="/AdvMahinyila/">Deogratias Mahinyila</a>, na tunawataka polisi wamuachie mara moja.
Diego Muller (@muller95diego) 's Twitter Profile Photo

Serikali ya huyu mama ni lazima sisi kama wananchi tuindondoshe. Hawa polisi, hii mahakama, sii lolote sii chochote, sisi tunanguvu kuliko wao. Sisi ndio tunawapa madaraka. Tuidondoshe serikali hii kwa nguvu ya umma. #Wananchi ni #NguvuYaUmma