Mzee wa Bayern (@bayernmzee) 's Twitter Profile
Mzee wa Bayern

@bayernmzee

ID: 1582222990749712384

calendar_today18-10-2022 04:12:43

652 Tweet

11,11K TakipΓ§i

12,12K Takip Edilen

Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

Suala la Utekaji ni Halisi na mkubwa mno.Mamia ya watu wanatekwa na kupotezwa.Watekaji na Wapotezaji wanatamba tuu mpaka sasa. Vyombo vyenye dhamana ya usalama wetu vimeamua kwenda likizo kwani Uhai wa wananchi na wakosoaji siyo jambo la Muhimu. Kila Mkosoaji, mwanaharakati

Suala la Utekaji ni Halisi na mkubwa mno.Mamia ya watu wanatekwa na kupotezwa.Watekaji na Wapotezaji wanatamba tuu mpaka sasa.

Vyombo vyenye dhamana ya usalama wetu  vimeamua kwenda likizo kwani Uhai wa wananchi na wakosoaji siyo jambo la Muhimu.

Kila Mkosoaji, mwanaharakati
Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

Hatimaye CCM waanza rasmi kumlilia Tundu Antipas Lissu na CHADEMA! Leo nimepokea simu zaidi ya 20 zote za watia nia ubunge kwa tiketi ya CCM ambao majina yao yamekatwa bila sababu ya msingi katika vikao vya CCM ngazi ya wilaya. Ujumbe wao kwa pamoja ni.... 1.Viongozi wa CCM

Hatimaye CCM waanza rasmi kumlilia Tundu Antipas Lissu na CHADEMA!

Leo nimepokea simu zaidi ya 20 zote za watia nia ubunge kwa tiketi ya CCM ambao majina yao yamekatwa bila sababu ya msingi katika vikao vya CCM ngazi ya wilaya.

Ujumbe wao kwa pamoja ni....

1.Viongozi wa CCM
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

We are highly concerned and demamd the release of Brenda Rupia Jonas #Tanzania #FreeBrendaRupia #FreeBrendaRupia #FreeBrendaRupia #FreeBrendaRupia #FreeBrendaRupia #FreeBrendaRupia #FreeBrendaRupia #FreeBrendaRupia Free Her NOW Police Force TZ Samia Suluhu

We are highly concerned and demamd the release of Brenda Rupia Jonas
#Tanzania

#FreeBrendaRupia
#FreeBrendaRupia
#FreeBrendaRupia
#FreeBrendaRupia
#FreeBrendaRupia
#FreeBrendaRupia
#FreeBrendaRupia
#FreeBrendaRupia

Free Her NOW
Police Force TZ Samia Suluhu
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

β€œMheshimiwa umeambiwa kwamba naomba huruma ya Mahakama. Mimi siombi huruma ya Mahakama. Siombi, sijaomba na sitaomba. Ninachotaka, utaratibu wa Mahakama usichezewe. Mawakili wa Serikali na DPP wanachezea utaratibu wa Mahakama. Mimi siyo aina ya watu ambao wataomba huruma ya

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Huyu ni anaitwa Mbeshi Paul Mwenyekiti wa Bavicha jimbo la Geita vijini Ametekwa,siku ya jana na watu waliojitambulisha kuwa maofisa wa Polisi, familia yake imezunguka vituo vyote vya Polisi bila mafanikio. Ikumbukwe Mbeshi amekuwa akikosoa serikali hii ya Idd Amin

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Wasee, hebu tuambiane ukweli kwa mara moja.Kila siku ni kelele za pombe, malaya, miziki ya kipuuzi, na vibes zisizo na maana.Taifa linaungua, watu wanateseka nyie mko bize na nani kapost nini na nani kanunua viatu vya bei gani. Mnatoka wapi na roho ngumu hivi? Halafu cha

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

This is too much! Utekaji ni UKATILI na USHAMBA! Samia Suluhu kitakuramba sijui nani kakudanganya haya mambo! #FreeMwabili #FreeMwabiliMwagodi #FreeMwabili #FreeMwabiliMwagodi #FreeMwabili #FreeMwabiliMwagodi #FreeMwabili #FreeMwabiliMwagodi #FreeMwabili #FreeMwabiliMwagodi

This is too much! Utekaji ni UKATILI na USHAMBA!
Samia Suluhu kitakuramba sijui nani kakudanganya haya mambo!
#FreeMwabili
#FreeMwabiliMwagodi
#FreeMwabili
#FreeMwabiliMwagodi
#FreeMwabili
#FreeMwabiliMwagodi
#FreeMwabili
#FreeMwabiliMwagodi
#FreeMwabili
#FreeMwabiliMwagodi
Thadei Mhabuka (@mhabukat) 's Twitter Profile Photo

Rimoti ipo msoga naamu ni sahihi tumeona kwa vitendo sasa kwa pamoja wananchi tuimbe wimbo mmoja uitwao No reforms No election

Rimoti ipo msoga  naamu ni sahihi tumeona kwa vitendo sasa kwa pamoja wananchi tuimbe wimbo mmoja uitwao

No reforms No election
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Bunge linalotengenezwa ni bunge la VIONGOZI & WATOTO WAO NA WATU WAO. Jamaa limeongea pointi sana humu. Sikiliza mpaka mwisho. Nchi hii inaenda kuuzwa kabisa. REPOST 200 TUTAKUWEPO🫡😎

Joel Ole MeitayaπŸ’§ (@joelymeitaya) 's Twitter Profile Photo

Mahakama inaporuhusu kuchezewa kiasi hiki,kuna siku watu wataipuuza kama chombo cha haki na kukiona kama taasisi ya kulinda maslahi ya muhimili ya dola. Mahakama inahitaji kujitenga na hii tabia na kusimamia haki na usawa.

Mahakama inaporuhusu kuchezewa kiasi hiki,kuna siku watu wataipuuza kama chombo cha haki na kukiona kama taasisi ya kulinda maslahi ya muhimili ya dola.

Mahakama inahitaji kujitenga na hii tabia na kusimamia haki na usawa.
Paul Bonaventure (@phbhimself) 's Twitter Profile Photo

WHY IS TANZANIA POOR? Mwanafalsafa mmoja wa ukoloni huko Ulaya, aliwahi kusema "Ukitaka kuangamiza taifa lolote duniani huhitaji kutumia silaha za nyuklia wala mabomu ya atomi. Njia nzuri ya kuangamiza taifa ni kuharibu mfumo wa elimu. Ruhusu "mbumbumbu" waonekane wamefaulu na

WHY IS TANZANIA POOR?

Mwanafalsafa mmoja wa ukoloni huko Ulaya, aliwahi kusema  "Ukitaka kuangamiza taifa lolote duniani huhitaji kutumia silaha za nyuklia wala mabomu ya atomi.

Njia nzuri ya kuangamiza taifa ni kuharibu mfumo wa elimu. Ruhusu "mbumbumbu" waonekane wamefaulu na
Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Endelea kupumzika kwa amani, Mzee wetu Ali MO Kibao. Uliuwawa kikatili. Ulitiwa tindikali. Ukatolewa macho. Siwezi kufikiri uliteswa kiasi gani kabla hujafa. Ni unyama wa serikali ya Samia. Tutadai haki yako. Tutadai heshima ya utu wa MπŸ‡ΉπŸ‡Ώ. Tunastahiki kuwa salama ktk ardhi yetu.

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Deus Soka, my boy. Mitaa inakulilia, mdogo wangu. Samia alielekeza uuwawe. Hatuna hakika kama wamekuuwa au bado uko hai. Lakini jambo moja ni hakika: hauna hatia, wana hatia. Damu yako itawatafuna, wao na vizazi vyao. Asante kwa utumishi wako kwa Taifa letu. Wewe ni shujaa wangu.

Deus Soka, my boy. Mitaa inakulilia, mdogo wangu. Samia alielekeza uuwawe. Hatuna hakika kama wamekuuwa au bado uko hai. Lakini jambo moja ni hakika: hauna hatia, wana hatia. Damu yako itawatafuna, wao na vizazi vyao. Asante kwa utumishi wako kwa Taifa letu. Wewe ni shujaa wangu.
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Mikataba ya MANGUNGO katika jina la UWEKEZAJI 1.Waarabu wa familia ya kifalme Dubai, (DP WORLD) wamepewa kuendesha bandari ya Dar es Salaam kwa mikataba ya kiduanzi unaotajwa miaka thelathini 2.Waarabu wa familia ya kifalme ya Dubai (Blue Carbon LLC) wamepewa kusimamia na

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Ndio maana tunataka reforms ili tubadilishe Nchi hii kutoka kwenye mfumo hodhi wa kikundi cha watu wachache. #NoReformsNoElection

Mtotomwema (@saudashaba6437) 's Twitter Profile Photo

Maria Sarungi Tsehai π™°πš•πš•πšŠπš‘ πš—πšŠπšœπš’πšœπš’ πšπšžπš—πšŠπš˜πš•πš’πšŠ πšŸπš’πš•πš’πš˜ 𝚟𝚒𝚊 πšœπš’πš›πš’ πš—πšŠ πšπš‘πšŠπš‘πš’πš•πš’ πš–πšŠπš—πšŠ πšπšžπš—πšŠπš™πš’πšπš’πšœπš‘πš πšŠ πš”πš πšŽπš—πš’πšŽ πš–πšŠπš–πš‹πš˜ πš–πšŠπšπšžπš–πšž πš†πšŠπšπšŠπš πšŠπš•πšŠ πš πšŠπš–πšŽπšπšŽπšžπš”πšŠ πš–πš’πšžπš—πšπšž 𝚠𝚊𝚝𝚞 πšŠπš πšŠπš—πšŠ πš‘πš˜πšπšž πšπšŽπš—πšŠ πš‘πš’πš’ πšœπš’πš˜ 𝚜𝚊𝚠𝚊

Mtoto wako na chawa wako wamesema CDM kimekufa. Watu wameondoka kwa jina lako sababu ya kukosa vyeo. Kesi vs CDM ni sababu Mzee hakutulizwa. Mtatoa ushahidi wa siri ili Lissu anyongwe. Bado unataka tukuone muadilifu? No, sisi sio ng'ombe bana! Tuheshimiane.