Pontio Pilato wa Galilaya (@thadeiathuman) 's Twitter Profile
Pontio Pilato wa Galilaya

@thadeiathuman

Councilor candidate chadema last election 2020/ Domestic electrical wiring installation technician/ /Activist, Paralegal/ /Hard core HipHop Rapper/ /Politician

ID: 1521496192303124482

calendar_today03-05-2022 14:25:59

794 Tweet

2,2K Followers

2,2K Following

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Hii ni shule, Huyo mwanaume ni Diwani kata ya Segese kwenye milima ya dhahabu. Hili ni jimbo la Msalala ulipo mgodi mkubwa kuliko yote Nchi hii Bulyanhulu. Nilifanya mkutano hapo juzi pembeni kuna bango kubwa sana limeandikwa “mama hatukudai” #NoReformsNoElection lazima

Hii ni shule, Huyo mwanaume ni Diwani kata ya Segese kwenye milima ya dhahabu.

Hili ni jimbo la Msalala ulipo mgodi mkubwa kuliko yote Nchi hii Bulyanhulu.

Nilifanya mkutano hapo juzi pembeni kuna bango kubwa sana limeandikwa “mama hatukudai”

#NoReformsNoElection lazima
Mr Health💊💉 (@mkunga_og) 's Twitter Profile Photo

UMESHAWAHI KUAMBIWA UNA MCHAFUKO WA DAMU...? Umesha wahi kwenda hospitali ukaambiwa: "Ni mchafuko wa damu," Ukapewa dawa bila maelezo ya kina...? Open Thread 🧵 Repost Kuokoa Maisha ya Mpendwa Mmoja...👇

UMESHAWAHI KUAMBIWA UNA MCHAFUKO WA DAMU...?

Umesha wahi kwenda hospitali ukaambiwa: "Ni mchafuko wa damu," Ukapewa dawa bila maelezo ya kina...?

Open  Thread 🧵 Repost Kuokoa Maisha ya Mpendwa Mmoja...👇
Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Kuna mkono wa Mungu Ng’ombe ndio wasikilizaji wa CHAUMA Wasaliti wajue Wataongea sana na ng’ombe mwaka 2025 Mungu yuko upande wa haki

Kuna mkono wa Mungu

Ng’ombe ndio wasikilizaji wa CHAUMA

Wasaliti wajue Wataongea sana na ng’ombe mwaka 2025 Mungu yuko upande wa haki
NO REFORMS NO ELECTION (@jovinmagwa25374) 's Twitter Profile Photo

SATIVA Wanawake wengn sio wakuamin na nilijua 2 akitok alipo kiwa amebananishwa lazima asaliti mapamban, MAKAMANDA tuwe committed ambao hatuogopi, #NoReformsNoElection

<a href="/Sativa255/">SATIVA</a> Wanawake wengn sio wakuamin na nilijua 2 akitok alipo kiwa amebananishwa lazima asaliti mapamban, MAKAMANDA tuwe committed ambao hatuogopi,
#NoReformsNoElection
Madenge (@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Kwanini tumefika hatua hadi serikali ione UTU ni ahadi ya kuwapa watu ili uingie madarakani? Nani katufikisha hapa? Nani hana UTU?

Celestine Simba (@celestine_simba) 's Twitter Profile Photo

Tumejipanga hakuna atakayefika kituoni kupiga kura. Nyie lindeni vituo, sisi tutalindana kila mmoja mlangoni pa mwenzie. Ubaya ubwela.

Tumejipanga hakuna atakayefika kituoni kupiga kura. Nyie lindeni vituo, sisi tutalindana kila mmoja mlangoni pa mwenzie. 

Ubaya ubwela.
Cyancute ⭐ (@cyancutytz) 's Twitter Profile Photo

Tangazo, kwanza ukiona posti hi wewe mzalendo Reposti 🪱 wa Tanzania wote napendekeza tuchange pesa kwaajili ya wapambanaji hawa hawatakiwi kuteseka wakiwa gerezani wapo kwaniaba yetu tuungane nao -Nguo _Subuni na mahitaji mengine tupate mtu wakupokea na kusambaza,

Tangazo, 

kwanza ukiona posti hi wewe mzalendo Reposti 🪱

wa Tanzania wote napendekeza tuchange pesa kwaajili ya wapambanaji hawa hawatakiwi kuteseka wakiwa  gerezani wapo kwaniaba yetu tuungane nao 
-Nguo
_Subuni
na mahitaji mengine 

  tupate mtu wakupokea na kusambaza,
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Watanzania wameamua kupeleka Tuzo ZAMBIA mwaka huu. "SAVATIR" huyu ni ndugu yangu kabisa. Unaweza kumpigia Kura akashinda tuzo hii ya "ZIKOMO AWARDS" REPOST 500 TUTAKUWEPO🫵😎

Watanzania wameamua kupeleka Tuzo ZAMBIA mwaka huu. 

"SAVATIR" huyu ni ndugu yangu kabisa. Unaweza kumpigia Kura akashinda tuzo hii ya "ZIKOMO AWARDS"

REPOST 500

TUTAKUWEPO🫵😎
Cyancute ⭐ (@cyancutytz) 's Twitter Profile Photo

Anaitwa Larry madowo ni mzaliwa wa kijiji cha Mkadage wilayani Kilosa nchini Tanzania. familia yake iliamia nchini kenya na kukana uraia wa Tanzania🇹🇿 itoshe kusema damu ni nzito kuliko maji Tumpe Repost 300 kwa eshima 😊

Anaitwa Larry madowo ni mzaliwa wa kijiji cha Mkadage wilayani Kilosa nchini Tanzania.

familia yake iliamia nchini kenya na kukana uraia wa Tanzania🇹🇿

itoshe kusema damu ni nzito kuliko maji 

Tumpe Repost 300 kwa eshima 😊