Ngaiza (@tamugasheki) 's Twitter Profile
Ngaiza

@tamugasheki

Husband/Father/concerned citizen.

RT is not endorsement

ID: 1302213897836015617

calendar_today05-09-2020 11:56:33

1,1K Tweet

84 Followers

593 Following

Ngaiza (@tamugasheki) 's Twitter Profile Photo

Uwekezaji ambao ACT Wazalendo mnafanya wakati huu huku Tanganyika,matokeo yake yataonekana 2030 endapo patatokea "mpasuko" wakati wa kutafuta mrithi wa Rais Samia ndani ya CCM.

Benjamin Fernandes 🇹🇿 (@benji_fernandes) 's Twitter Profile Photo

Uvivu unaua Tamaa Hasira inaua Hekima Hofu inaua Ndoto Kiburi inaua Ukuaji Wivu unaua Amani Shaka inaua Kujiamini Sasa soma kulia kwenda kushoto.

Liberatus Mwang'ombe (@liberatus80) 's Twitter Profile Photo

Kama wewe ni mzalendo na mpenda haki, RE-POST or RE-TWEET this: ‼️🙌🏽 Pamoja hakuna kitu tunashimdwa‼️👊🏽 Tumevuka milioni 100 katika mchango wetu kuelekea kuhakikisha mwamba Tundu Antiphas Lissu anapata gari jingine madhubuti na salama kuzunguka nchi nzima kutoa elimu muhimu kuelekea

Kama wewe ni mzalendo na mpenda haki, RE-POST or RE-TWEET this: 

‼️🙌🏽 Pamoja hakuna kitu tunashimdwa‼️👊🏽

Tumevuka milioni 100 katika mchango wetu kuelekea kuhakikisha mwamba <a href="/TunduALissu/">Tundu Antiphas Lissu</a> anapata gari jingine madhubuti na salama kuzunguka nchi nzima kutoa elimu muhimu kuelekea
Dr. Chris Cyrilo (@drcyrilo) 's Twitter Profile Photo

August 11; Asante kwa ajili ya miaka hii niliyoishi. Siombi maisha marefu, naomba maisha mazuri. Siombi mkate wala akili ya kutafuta mkate. Hivyo ulishanipatia. Nakushukuru. Na Siombi unikinge na waovu, naomba nguvu ya kuwapiga. Asante Mungu. Asante mimi. Happy b'day me.

August 11;
Asante kwa ajili ya miaka hii niliyoishi.
Siombi maisha marefu, naomba maisha mazuri. 
Siombi mkate wala akili ya kutafuta mkate. Hivyo ulishanipatia. Nakushukuru. 
Na Siombi unikinge na waovu, naomba nguvu ya kuwapiga. 
Asante Mungu.
Asante mimi. 
Happy b'day me.
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

🅻🅸🆅🅴 : MAZUNGUMZO YA LISSU NA JUKWAA LA SAUTI YA WATANZANIA KATIKA MTANDAO WA CLUBHOUSE AGOSTI 16, 2024 /CCM TUTAWAPELEKEA MOTO HATA KAMA WAMENICHANGIA x.com/i/broadcasts/1…

Anold Makeka (@apotentin31389) 's Twitter Profile Photo

Lubasha Jr Mwanamke/mwanaume sio ndugu yako thats why kuna taraka, tujifunze sana kuwekeza kwenye familia zetu tulizotoka wenyew ndio wanaweza kusimama na wwe had mwsho kama ukijenga nao mahusiano mazuri.

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

‼️TUMEMLA NG’OMBE IMEBAKI MKIA - TUFIKISHE MILIONI 150👊🏽 Tundu Antiphas Lissu ametoa taarifa Clubhouse kuwa wamemaliza kufuatilia sokoni magari na kuanzia mil 120 kuendelea kuna magari old model inapatikana lakini ni vyema tuongeze dau tuwe na uhakika na gari imara! Milioni 150 kufikia

‼️TUMEMLA NG’OMBE IMEBAKI MKIA - TUFIKISHE MILIONI 150👊🏽
<a href="/TunduALissu/">Tundu Antiphas Lissu</a> ametoa taarifa Clubhouse kuwa wamemaliza kufuatilia sokoni magari na kuanzia mil 120 kuendelea kuna magari old model inapatikana lakini ni vyema tuongeze dau tuwe na uhakika na gari imara!
Milioni 150 kufikia
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Tusaidieni kusambaza bango hili lina maelezo yote ya namna ya kuchanga Lengo tufike milioni 150 chap hata wiki hii Mchango wa Gari kwa Tundu Lissu akaunti zake hapo chini kuna account zake ambazo zimetumika kumchangia aweze kununua gari - namba za simu na account zote kwa

Tusaidieni kusambaza bango hili lina maelezo yote ya namna ya kuchanga
Lengo tufike milioni 150 chap hata wiki hii 

Mchango wa Gari kwa Tundu Lissu  akaunti zake hapo chini kuna account zake ambazo zimetumika kumchangia aweze kununua gari - namba za simu na account zote  kwa
Afropatriot (@afropatriot255) 's Twitter Profile Photo

Farhan Kihamu Jr Strategy ya kushinda ndani ili Mje Mshindwe nje ni ujinga,Kama kiongozi ni strategic anatakiwa aangalie bigger picture, reflection ya intra party politics ina impact kwa National politics,yeye aendekezee Tamaa na ubinafsi kisa wajumbe atawapa vihela ,Hivo vihela vitauponza

Mamwavi_Nkabasia (@joeselasini) 's Twitter Profile Photo

IN GOD WE TRUST Wengi wanasaidia na hawajitangazi. Ukiona msaada unatangazwa tambua aliyesaidiwa anatumika dhidi ya mtoa msaada ili amtengenezee headlines. Wakristo tumefundishwa ukitoa na mkono wa kulia hata wa kushoto usijue.

JAPHET MATARRA (@eng_matarra) 's Twitter Profile Photo

NYUMBA INAUZWA 🔥🔥🔥 ENEO: SQM 1000 -Ina Vyumba 03 -Kimoja Master -Dining -Sitting Room -Jiko la Kisasa -Store -Nyumba ya Wafanyakazi vyumba 02 INA HATI MILIKI KUTOKA WIZARANI BEI - 163M NIPIGIE - 0719542184 IPO KIVULE-CCM Karibu na Shule Ya KANANURA. Naomba Repost Yako

NYUMBA INAUZWA 🔥🔥🔥

ENEO: SQM 1000

-Ina Vyumba 03
-Kimoja Master
-Dining
-Sitting Room
-Jiko la Kisasa
-Store
-Nyumba ya Wafanyakazi vyumba 02

INA HATI MILIKI KUTOKA WIZARANI

BEI - 163M

NIPIGIE - 0719542184

IPO KIVULE-CCM 

Karibu na Shule Ya KANANURA.

Naomba Repost Yako
Bambulu 2.0 (@bambulumen) 's Twitter Profile Photo

I asked my mentor: “ How do I reach a caliber where women desires me and men admirers me? ” He replied: - Be Decisive - Have Discipline - Limit Your Availability - Choose the Right Sacrifices - Take Control of Your Mornings I again asked “ How?” He replied:

Bambulu 2.0 (@bambulumen) 's Twitter Profile Photo

Found this THREAD helpful? The free-est, easiest way to support me is simple Hit like and RT the first post. It would mean the world for a full time content creator: And don’t forget to follow me Bambulu 2.0

Zitto MwamiRuyagwa Kabwe (@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

Jalula Mijadala huinua Taifa. Kama huoni hoja katika mjadala huu na kujifunza jambo basi utakuwa mtu wa hasara kubwa. Haya ni mambo BASIC sana na kila mtu anapaswa kuyaelewa.

Mwemezi Rwiza, PhD (@swahilibible) 's Twitter Profile Photo

Hekaheka, vurugu, na mahangaiko ya maisha HAVIKOMI. Habari njema ni kwamba, ukiwa na Yesu moyoni mwako, kuna utulivu katikati ya mahangaiko. Mvua haitaacha, lakini ukiwa ndani ya shelter unaweza kuchungulia dirishani ukaifurahia mvua na kumtukuza Mungu. Shelter ni Yesu.

Smart & Lucky (@salamaenrich) 's Twitter Profile Photo

Francis Thomas J. Kibwana Mi siioni EGO katika hili, acheni TAL asimamie maazimio, demokrasia tu ipae. Watu wakubaliane na uhalisia different key has been set through democratic processes, kutokubaliana na hilo ni kuitukana Demokrasia. There is nothing TAL anapush undemocratic internally. I rest ✌️

BROTHER (@0101dubu) 's Twitter Profile Photo

HITIMISHO: Ndoa bora haijengwi kwa pesa au sura pekee, bali kwa msaada wa kila siku unaotolewa kwa hiari. Mke anapochukua hatua ya kusaidia mume wake kwa moyo wote bila kuombwa, anawekeza katika ndoa yenye afya, upendo na mafanikio ya kweli. → Kila mke ana nafasi ya kuwa

MNYIKA John John (@jjmnyika) 's Twitter Profile Photo

Jana nikiwa njiani kutoka kwenye mkutano wa hadhara wa Maswa kuelekea mkutano wa Shinyanga Mjini niliamua kuchepuka kwenda kijiji cha Negezi Wilaya ya Kishapu kudhuru kaburi la Hayati Mohamed Ali Makani almaarufu Bob Nyanga Makani Katibu Mkuu wa Kwanza Chadema Tanzania na Mwenyekiti

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Alisoma degree Kenya, master akasoma huko Marekani na PhD akasoma Chuo Kikuu cha Windsor huko Canada. Akarejea nchini akashika nyadhifa za Uongozi. Hatimaye Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania limemteua Sister Professor Chrispina Lekule kuwa Makamu Mkuu wa Chuo kikuu cha Ruaha

Alisoma degree Kenya, master akasoma huko Marekani na PhD akasoma Chuo Kikuu cha Windsor huko Canada. Akarejea nchini akashika nyadhifa za Uongozi. Hatimaye Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania limemteua Sister Professor Chrispina Lekule kuwa Makamu Mkuu wa Chuo kikuu cha Ruaha