IN GOD WE TRUST (@swaitumsifu2) 's Twitter Profile
IN GOD WE TRUST

@swaitumsifu2

it's good

ID: 1220663565394370561

calendar_today24-01-2020 11:05:04

6,6K Tweet

3,3K Followers

562 Following

IN GOD WE TRUST (@swaitumsifu2) 's Twitter Profile Photo

Haya ni mauwaji makubwa yalifanywa si kwa watawala pekee ili watawale ila pia waliomba msaada Kwa Hawa waarabu ili waje kupewa hizi mingorongo wachimbe madini silaa zilizo tumika kuuwa watanganyika ni silaa nzito na nguvu ilitumika kubwa sana

IN GOD WE TRUST (@swaitumsifu2) 's Twitter Profile Photo

Wote walio tajwa kufanya madudu hayo waachie ngazi kwanza tukiendelea na uchaguzi wawe ndani fasta waeleze pesa ziliko mahesabu ya pigwe

IN GOD WE TRUST (@swaitumsifu2) 's Twitter Profile Photo

Bila uwajibikaji wote walio amuru watanganyika wauwawe tutakuwa bado hakuna faraja ni unafiki tu watu wawajibike Familia zilitarajia kuwaona wapendwa wao