Adventure-360(@Adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Ajali ya basi la Nyehunge Maeneo ya Nyarugusu mkoani Geita poleni sana aisee,

Taarifa kamili itakuja baadae na itatolewa na mamlaka husika.

Ajali ya basi la Nyehunge Maeneo ya Nyarugusu mkoani Geita poleni sana aisee, 

Taarifa kamili itakuja baadae na itatolewa na mamlaka husika.
account_circle
Freeman Mbowe(@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Maeneo yote ya ukanda wa Ziwa Victoria tuliyopita, zaidi ya asilimia 60 hayana maji safi na salama. Ziwa Victoria linawanufaisha watu wa Misri na nchi nyingine. Geita mjini, Geita vijijini, Nyarugusu, kote huko wana utajiri mkubwa wa dhahabu lakini hawana maji. Wanakunywa maji…

Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Serikali ya CCM haitaki kukubali uraia pacha (dual citizenship) wanatumia hoja dhaifu (usalama) kukataa uraia pacha.

Bernard Kamungo kazaliwa Kambi ya wakimbizi ya nyarugusu, Kigoma. Leo ameitwa timu ya taifa ya USA ya Olympic.

Bernard Kamungo, anacheza FC Dallas, amepata uraia…

Periodistán(@periodistan_) 's Twitter Profile Photo

2017: Bernard Kamungo vive en una carpa en Nyarugusu, un campo de refugiados en Tanzania. Sus padres llegaron allí huyendo de la terrible guerra del Congo.

2023: Bernard Kamungo le anota un gol al Inter Miami, equipo en el que juega Lionel Messi.

Boniface Jacob(@ExMayorUbungo) 's Twitter Profile Photo

Nyarugusu yenyewe siyo ya Mchezo...! Nyarugusu ya Moto

Huu ulikuwa Mkutano wa Saa 8:00 Mchana.

HABARI KAMILI tukutane Mkutano wa Jioni saa 10:00 hadi Saa 12:00

Good Cop anasema 'Its Just for the Memory tuh..'

Kumuona Kiongozi Mwingine huku Nyarugusu inaweza kuwa ni baada ya Kustaafu Jeshi la Polisi.

Good Cop  anasema 'Its Just for the Memory tuh..'

Kumuona Kiongozi Mwingine huku Nyarugusu inaweza kuwa ni baada ya Kustaafu Jeshi la Polisi.
account_circle
Kanali Rankho 🇹🇿(@kanalirankho) 's Twitter Profile Photo

Mr. Christian Saunders, UN Under-Secretary General has concluded his visit to the Kigoma Region. During the mission, he engaged with the Inter-Agency PSEA Network and visited Nyarugusu Refugee Camp in Kasulu. This visit aimed to assess and enhance the United Nations’ efforts to…

Gilbert Gaston Charles(@GilbertGaston5) 's Twitter Profile Photo

Local Burundian Oven in Bakery workshop enhancing dietary diversification and skills development among the beneficiaries. ☘️🍀🪴🌿🌱🌳🌴 A Dietitian is the link between the farm and health of the consumer. I love this quote '_from vines to wines_'

Local Burundian Oven in Bakery workshop enhancing dietary diversification and skills development among the beneficiaries. #Nyarugusu☘️🍀🪴🌿🌱🌳🌴 A Dietitian is the link between the farm and health of the consumer. I love this quote '_from vines to wines_' #Nyarugusu
account_circle
wakuja(@Be_FrankSr) 's Twitter Profile Photo

Yesaah yesaah, ni kutoka idara ya Acheche production ni kariakoo mitaa ya likoma na Aggrey.

Ni kwa mara nyingne tenaa, ebwana napatikana Kwa 0656035353.

Sinema utaipata Zanzibar baadae Media kule kisonge, Kwa Ali Bonge anapatikana Mwanakwelekwe njia kuu ya kuelekea nyarugusu👇🏾

Homeboy Tz(@datius_tz) 's Twitter Profile Photo

Huyu dogo 2005 niko nae kambi ya wakimbizi Nyarugusu(kigoma)leo hii kajipata huko marekani..

Wakati wa mungu ni wakati sahihi sana 🙏

Huyu dogo 2005 niko nae kambi ya wakimbizi Nyarugusu(kigoma)leo hii kajipata huko marekani..

Wakati wa mungu ni wakati sahihi sana 🙏
account_circle
Kanali Rankho 🇹🇿(@kanalirankho) 's Twitter Profile Photo

Leo ni

A day to celebrate their resilience, strength, & courage & standing in solidarity .

“Hope Away from Home. A world where are always included” is the theme for this year

Tupo kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu kwa maadhimisho.

Leo ni  #WorldRefugeeDay

A day to celebrate their resilience, strength, & courage & standing in solidarity #WithRefugees.

“Hope Away from Home. A world where #refugees are always included” is the theme for this year

Tupo kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu kwa maadhimisho.
account_circle
Tanzania Footballers Abroad 🇹🇿(@TzFootballers) 's Twitter Profile Photo

NAME: Gloire Amanda

BORN: November 11 1998 (25yrs)

PLACE OF BIRTH: Nyarugusu, Tanzania

CITIZENSHIP: Canadian

POSITIONs: Forward

CURRENT CLUB: Whitecaps FC 2 🇨🇦

NT: Canada u18

ELIGIBLE TO REPRESENT: Tanzania🇹🇿, DRC🇨🇩 , Canada 🇨🇦

NAME: Gloire Amanda

BORN: November 11 1998 (25yrs)

PLACE OF BIRTH: Nyarugusu, Tanzania

CITIZENSHIP: Canadian

POSITIONs: Forward 

CURRENT CLUB: @wfc2 🇨🇦

NT: Canada u18 

ELIGIBLE TO REPRESENT: Tanzania🇹🇿, DRC🇨🇩 , Canada 🇨🇦
account_circle
Baba Marvel(@Mafurru) 's Twitter Profile Photo

break well spent! Humanitarian work continues…

Logistics, one of the key component in ensuring operations are running smoothly so that are well taken care of in catering their basic human needs like safe water🚰 and shelters in both and camps

#Easter break well spent! Humanitarian work continues…

Logistics, one of the key component in ensuring operations are running smoothly so that #refugees are well taken care of in catering their basic human needs like safe water🚰 and shelters in both #Nyarugusu and #Nduta camps
account_circle
Ismail Jussa(@IsmailJussa) 's Twitter Profile Photo

Mkutano wa Jumapili hii, tarehe 4 Juni, 2023 sasa utafanyika Uwanja wa Nyarugusu, Jimbo la . Mkutano wa tutawatangazia tarehe nyingine. Mwendelezo wa uko pale pale. Njoo usikie majibu ya majibu. .

Mkutano wa Jumapili hii, tarehe 4 Juni, 2023 sasa utafanyika Uwanja wa Nyarugusu, Jimbo la #Pangawe. Mkutano wa #Paje tutawatangazia tarehe nyingine. Mwendelezo wa #dozi uko pale pale. Njoo usikie majibu ya majibu. #Hatupoi #Hatuboi.

#ZanzibarMpya 
#ZanzibarMoja 
#MamlakaKamili
account_circle
Mahoua Parums(@MParums) 's Twitter Profile Photo

Honored to receive 🇸🇪🇨🇭🇧🇪🇫🇮🇮🇪🇯🇵🇰🇷🇳🇱🇺🇸 9 embassies ➕7 UN Agencies in Nyarugusu camp. Great opportunity to witness support to DRC recent influx, meet PWS & visit vocational training center for refugees & their hosts. Thanks to our donors for their steady support 🙏🏾!

Honored to receive 🇸🇪🇨🇭🇧🇪🇫🇮🇮🇪🇯🇵🇰🇷🇳🇱🇺🇸 9 embassies ➕7 UN Agencies in Nyarugusu #refugee camp. Great opportunity to witness support to DRC recent influx, meet PWS & visit  vocational training center for refugees & their hosts. Thanks to our donors  for their steady support 🙏🏾!
account_circle