SUKUNUNU ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@sukununu01) 's Twitter Profile
SUKUNUNU ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@sukununu01

Baba Ashura

ID: 1354834917511856135

calendar_today28-01-2021 16:53:39

23,23K Tweet

14,14K Followers

1,1K Following

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

โ€œWhen we loose our fear, they loose their powerโ€ The ONLY currency that Samia Suluhu and Chama Cha Mapinduzi has to sell to us in #Tanzania is FEAR! Tunapopoteza WOGA wetu, wanapoteza NGUVU yao! Kitu pekee wanachotuuzia Samia na CCM ni HOFU Siku tukiachana na hofu hii, wamekwisha!

โ€œWhen we loose our fear, they loose their powerโ€
The ONLY currency that <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> and <a href="/ccm_tanzania/">Chama Cha Mapinduzi</a> has to sell to us in #Tanzania is FEAR! 

Tunapopoteza WOGA wetu, wanapoteza NGUVU yao!
Kitu pekee wanachotuuzia Samia na CCM ni HOFU 

Siku tukiachana na hofu hii, wamekwisha!
SUKUNUNU ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@sukununu01) 's Twitter Profile Photo

Watoto 2000 wanashika mimba haraka sana hiiiiiiiiii Mimi sitaki sikumuambia nataka awe mama mtoto wangu atajua pakuipeleka hiyo mimba ake

Watoto 2000 wanashika mimba haraka sana hiiiiiiiiii Mimi sitaki sikumuambia  nataka awe mama mtoto wangu atajua pakuipeleka hiyo mimba ake
Taivina James (@thereal_taivina) 's Twitter Profile Photo

Mzee wako anakupigia simu anarudi home unamkatia Tiketi ya Bus na hela ya matumizi anakuaga anaondoka baadae unaskia ametekwa kwenye Bus unamtafuta unakuja kumkuta kwenye Fridge sura haitamaniki. Watu wana roho aisee ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

Mzee wako anakupigia simu anarudi home unamkatia Tiketi ya Bus na hela ya matumizi anakuaga anaondoka baadae unaskia ametekwa kwenye Bus unamtafuta unakuja kumkuta kwenye Fridge sura haitamaniki.

Watu wana roho aisee ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
SUKUNUNU ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@sukununu01) 's Twitter Profile Photo

Chadema utazisimama imara aijili wangapi wanakupiga vita wanataka kukuangusha na upoteeee mazima ila Mungu you nawe kwa maana Chadema wewe nikipenzi. Cha watanzania ni mtetezi imara daima Jana Leo kesho hata mileleโค๏ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Tarehe 10 kesho mwezi huuu nitakuwepo mahakamani kinondon asubuh saa 5:00 kusikiliza muendelezo wa kesi inayo nikabiri zid ya jamuhuri kesho nisiku ambayo nakutana na mashahid 10 juu yangu eeeh Mungu baba naomba nisimamieee mwanao ๐Ÿ™๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Mdude Chadema (@mdudechadematz) 's Twitter Profile Photo

Nimejulishwa kwamba kwenye hospital hiyohiyo ya Mwananyamala kuna miili mingine mitatu ya vijana ikiwa imeharibika vibaya kama ulivyokuwa umeharibiwa mwili wa mzee Ali Kibao. Tunawasiliana na ndugu wa vijana wetu waliotekwa na polisi waende Mwananyamala kwa ajili ya utambuzi.

Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

Jiji la Tanga limegubikwa na huzuni kubwa mchana huu kufuatia msiba mzito wa ALI MUHAMMAD KIBAO. ALI MUHAMMAD KIBAO alikuwa ni Mtoto wa Sheikh Muhammad Ali Albuhri. Baba yake mkubwa ALI MOHAMED KIBAO ni Hemed bin Jumaa bin Hemed ambaye amewahi Kuhudumu kama Mufti Mkuu wa

Jiji la Tanga limegubikwa na huzuni kubwa mchana huu kufuatia msiba mzito wa ALI MUHAMMAD KIBAO.

ALI MUHAMMAD KIBAO alikuwa ni Mtoto wa Sheikh  Muhammad Ali Albuhri.

Baba yake mkubwa ALI MOHAMED KIBAO ni Hemed bin Jumaa bin Hemed ambaye amewahi Kuhudumu kama Mufti Mkuu wa
SUKUNUNU ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@sukununu01) 's Twitter Profile Photo

Shemeji yenu kaniuliza kwann napaogopa mahakamani ikiwa mimi nimwanaume Nilicho mjibu kesho mda Kama huuuu nitawaeleza Nini kilicho endelea Mimi zidi ake

Shemeji yenu kaniuliza kwann napaogopa mahakamani ikiwa mimi nimwanaume 

Nilicho mjibu  kesho mda Kama huuuu nitawaeleza Nini kilicho endelea Mimi zidi ake
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Leo #MariaSpaces Inatosha! Tumetekwa, tumeteswa hadi kuuwawa! Tuchukue hatua! Tujadili hatua za kuchukua ili kukomesha kabisa uhuni wa kutekwa, ukatili wa kuuwawa na kuteswa! Sasa tuseme BASI! Leo saa 2 uck!

Leo #MariaSpaces Inatosha! Tumetekwa, tumeteswa hadi kuuwawa!  Tuchukue hatua!
Tujadili hatua za kuchukua ili kukomesha kabisa uhuni wa kutekwa, ukatili wa kuuwawa na kuteswa!
Sasa tuseme BASI! 
Leo saa 2 uck!