Simonlengesiaf (@simonlengesiaf) 's Twitter Profile
Simonlengesiaf

@simonlengesiaf

ID: 1088492054571814912

calendar_today24-01-2019 17:41:43

11,11K Tweet

619 Followers

1,1K Following

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

‼️🚨AIBU TUPU MBEYA AKAMATWA KIJANA MWISLAM NA MAVAZI YA KIPADRE WA KIKATOLIKI🚨‼️ This is very low! In Mbeya a Muslim man was caught disguising himself as a Catholic priest and taking part in a CCM campaign rally 🚮 Nauliza tena Samia Suluhu mnachotafuta kwa wakatoliki ni nini?

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

“wapo wanaosema shida zetu sisi ni elimu, maji, umeme, vituo vya afaya na sio katiba. Pengine hili ni kweli, lakini binadamu ni tofauti na wanyama. Wanyama wao ukiwapa nyasi na maji basi mahitaji yao ya msingi yamekamilika, wanasubiria kuchinjwa tu. Binadamu ni tofauti,

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Kwa huzuni kubwa sana, napenda kutoa rambi rambi zangu za dhati kwa familia ya Mheshimiwa Raila Amolo Odinga, pamoja na wananchi wote wa Kenya. Kifo chake kimeacha pengo kubwa si tu katika siasa, bali pia katika historia ya Kanda yetu. Raila alikuwa kiongozi wa watu, mtu wa

Office of the 4th President of Kenya. (@4thpresidentke) 's Twitter Profile Photo

MESSAGE OF CONDOLENCE FROM H.E. UHURU KENYATTA FOLLOWING THE DEATH OF FORMER PRIME MINISTER HON. RAILA AMOLO ODINGA. My heart is heavy, and my spirit is burdened with a grief that is both profound and deeply personal. The news of Raila’s passing has left a silence that echoes

MESSAGE OF CONDOLENCE FROM H.E. UHURU KENYATTA FOLLOWING THE DEATH OF FORMER PRIME MINISTER HON. RAILA AMOLO ODINGA.

My heart is heavy, and my spirit is burdened with a grief that is both profound and deeply personal. The news of Raila’s passing has left a silence that echoes
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Baba Raila Amollo Odinga. Leo ni siku ya huzuni kwa bara la Afrika. Tumepoteza mtu muhimu kwa Bara letu, chama chetu kimepokea taarifa hii kwa masikitiko makubwa. Pumzika kwa amani Baba. Poleni familia, poleni Wakenya wote.

Baba Raila Amollo Odinga.

Leo ni siku ya huzuni kwa bara la Afrika.

Tumepoteza mtu muhimu kwa Bara letu, chama chetu kimepokea taarifa hii kwa masikitiko makubwa.

Pumzika kwa amani Baba. 
Poleni familia, poleni Wakenya wote.
BBC News Africa (@bbcafrica) 's Twitter Profile Photo

People have gathered in Nairobi to mourn the death of former Kenyan Prime Minister, Raila Odinga. The 80-year-old passed away while receiving medical treatment at a hospital in India.

BBC News Africa (@bbcafrica) 's Twitter Profile Photo

Raila Odinga was one of Kenya's most influential political figures, the former prime minister who has died at 80 was born to a family rooted in politics, his father was Kenya’s first Vice-President, Jaramogi Oginga Odinga. Tributes have poured in from around the world.

Paul Kagame (@paulkagame) 's Twitter Profile Photo

On behalf of the people of Rwanda and on my own behalf, I extend my deepest condolences to the family of the Rt. Hon. Raila Odinga, to my brother President William Samoei Ruto, PhD, and to the people of Kenya on the passing of Rt. Hon. Raila Odinga. His lifelong dedication to public

DP 🇰🇪 (@danchepta) 's Twitter Profile Photo

Jailed Tanzanian opposition leader Tundu Lissu Tells his friend John Heche to travel To Kenya and represent him at Raila Odinga's burial in Bondo.

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Afrika hii ni viongozi wa siasa wachache sana ambao vifo vyao vinagusa watu kwa kiwango hiki. Raila Odinga hakuwahi kutangazwa kama mshindi wa uchaguzi wa Rais licha ya kuwania kiti hicho mara Tano ila alifanikiwa kushinda na kuiteka Mioyo ya Wakenya. Salute kwa huyu Mzee.

Barack Obama (@barackobama) 's Twitter Profile Photo

Raila Odinga was a true champion of democracy. A child of independence, he endured decades of struggle and sacrifice for the broader cause of freedom and self-governance in Kenya. Time and again, I personally saw him put the interests of his country ahead of his own ambitions.

Mpale Mpoki (@mpalempoki) 's Twitter Profile Photo

Joining our Kenyan brothers and sisters in mourning their Hero. Mheshimiwa has taught us how resilience and democracy are wheels of the same chariot. Rest in peace

Joining  our Kenyan brothers and sisters in mourning their Hero. Mheshimiwa has taught us how resilience and democracy are wheels of the same chariot. Rest in peace
Kalonzo Musyoka (@skmusyoka) 's Twitter Profile Photo

My dear brother Second Prime Minister of the Republic of Kenya Rt Hon Raila Amolo Odinga, You are at the mountain top and have seen the Promised Land. I want you to know this afternoon that while you aren't with us physically, "we, as a people, will get to the promised land!"

My dear brother Second Prime Minister of the Republic of Kenya Rt Hon Raila Amolo Odinga,
You are at the mountain top and have seen the Promised Land. I want you to know this afternoon that while you aren't with us physically, "we, as a people, will get to the promised land!"