Saint 🧚 (@saintmwanga) 's Twitter Profile
Saint 🧚

@saintmwanga

ID: 1618981309879123969

calendar_today27-01-2023 14:37:06

3,3K Tweet

552 Takipçi

1,1K Takip Edilen

HABARIMPYA TV (@habarimpyatv) 's Twitter Profile Photo

Hii ni Video Mjongeo iliyorekodiwa miaka kadhaa iliyopita ikimuonesha Waziri mteule wa Mambo ya ndani Mhe Patrobas Katambi akikemea suala la Polisi kunyanyasa na kukamata watu kwa kisingizio cha MAAGIZO KUTOKA JUU, wakati huo Waziri Katambi alikuwa ni Mwenyekiti wa Baraza la

Mkombozi Digital (@mkombozihabari) 's Twitter Profile Photo

VIDEO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Amemshukuru sana Rais wa CAF Patrice Motsepe kwa kumpa tuzo ya heshima aliyokabidhiwa na Waziri wa habari Sanaa na Michezo Kabudi Leo ikulu Dar es salaam.

BARR0N TRUMP (@trumpbarronw) 's Twitter Profile Photo

HOW MANY OF YOU ARE WILLING TO PUBLICLY SAY THEY STILL STAND WITH TRUMP 💯%? GIVE ME A THUMBS-UP 👍 IF PRESIDENT TRUMP CAN STILL COUNT ON YOU!!! REPOST AND FOLLOW FOR MORE TRUTH -Follow t.me/Trumpbarronw

HOW MANY OF YOU ARE WILLING TO PUBLICLY SAY THEY STILL STAND WITH TRUMP 💯%?

GIVE ME A THUMBS-UP 👍 IF PRESIDENT TRUMP CAN STILL COUNT ON YOU!!!
REPOST AND FOLLOW FOR MORE TRUTH 
-Follow t.me/Trumpbarronw
Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Mamaduro anaurafiki na Middle East halafu anategemea kulindwa na Mchina Yaani hawa jamaa wa Middle East ambao leo wanapiga mikakati ya kupelekea moto Iran na Yemen, Mamaduro anafikiria mambo yake huko yako Salama Kwa sasa wananchi tuna vita na nyie sababu mtuua, sababu mmeiba

Mamaduro anaurafiki na Middle East halafu anategemea kulindwa na Mchina 

Yaani hawa jamaa wa Middle East ambao leo wanapiga mikakati ya kupelekea moto Iran na Yemen, Mamaduro anafikiria mambo yake huko yako Salama

Kwa sasa wananchi tuna vita na nyie sababu mtuua, sababu mmeiba
Darshal Jaitwar (@darshal_) 's Twitter Profile Photo

Internet loves keeping valuable websites hidden from you. Here are 12 useful websites you probably don’t know existed (until now): 12/12 would bookmark:

Internet loves keeping valuable websites hidden from you.

Here are 12 useful websites you probably don’t know existed (until now):

12/12 would bookmark:
ARISTOTLE 🇻🇦🇻🇦 (@noah_mwamfupe) 's Twitter Profile Photo

Watu wengi wanatuliza Wakatoliki Kwanini Mnawaomba Watakatifu wawaombee, wakati Paulo alisema tunaye Muombezi mmoja naye ndiyo Yesu? Jibu; Kwanza utambue kuwa Wakatoliki hawawaombi watakatifu kama miungu, bali huwaomba wawaombee kwa Mungu na sababu zake kuu ni hizi; 1.

Watu wengi wanatuliza Wakatoliki Kwanini Mnawaomba Watakatifu wawaombee, wakati Paulo alisema tunaye Muombezi mmoja naye ndiyo Yesu?

Jibu;

Kwanza utambue kuwa Wakatoliki hawawaombi watakatifu kama miungu, bali huwaomba wawaombee kwa Mungu na sababu zake kuu ni hizi;

1.
Afyainfo (@afyainfo_) 's Twitter Profile Photo

Utafiti mpya uliochapishwa Januari 16, 2026, kwenye Jarida la Kitabibu la 'The Lancet Obstetrics, Gynaecology & Women's Health' mebaini kuwa matumizi ya Paracetamol wakati wa Ujauzito hayana uhusiano na kuongezeka kwa hatari ya watoto kupata Usonji, kama ambavyo Rais wa Marekani

Utafiti mpya uliochapishwa Januari 16, 2026, kwenye Jarida la Kitabibu la 'The Lancet Obstetrics, Gynaecology & Women's Health' mebaini kuwa matumizi ya Paracetamol wakati wa Ujauzito hayana uhusiano na kuongezeka kwa hatari ya watoto kupata Usonji, kama ambavyo Rais wa Marekani
KANEGENE (@kaniginierick) 's Twitter Profile Photo

Popote uendepo duniani; muonekano wa jengo la Kanisa Katoliki ni wa kipekee. Kanisa Kuu Mbadala linalotarajiwa kujengwa Pugu-Jimbo Kuu la Dar es Salaam,linadhihirisha hilo. THEOTOKOS Cathedral 👇🏾

ARISTOTLE 🇻🇦🇻🇦 (@noah_mwamfupe) 's Twitter Profile Photo

Kufanana pia ni sifa njema. Kwa mioyo iliyoinuliwa kwa Mungu Mwenyezi, tunawasilisha nia zetu na udhaifu wetu kwake, ili atutakase na kutufanya tustahili kuwa mbele zake.” 💕

Kufanana pia ni sifa njema. Kwa mioyo iliyoinuliwa kwa Mungu Mwenyezi, tunawasilisha nia zetu na udhaifu wetu kwake, ili atutakase na kutufanya tustahili kuwa mbele zake.” 💕
Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Video inayoonesha sehemu ya fujo na ngumi zilizopigwa ndani ya Bunge la Uturuki kati ya Wabunge wa chama tawala dhidi ya Upinzani ambao walikataa uteuzi wa Waziri wa Sheria. Baadaye Waziri huyo aliapa kwa tabu sana huku akiwa amezungukwa na ulinzi na baadhi wakiwa na damu usoni.

KANEGENE (@kaniginierick) 's Twitter Profile Photo

Katika kuiadhimisha imani;mwezi wa 3,Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania litafikisha idadi ya Majimbo Katoliki 37 Wakati huo huo,kuna mipango inayoendelea ya Jimbo la Kigoma kuzaa jimbo jipya Halikadhalika,Jimbo Kuu la Mwanza limekuwa ki mahitaji,hivyo kuhitaji Askofu Msaidizi

Katika kuiadhimisha imani;mwezi wa 3,Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania litafikisha idadi ya Majimbo Katoliki 37

Wakati huo huo,kuna mipango inayoendelea ya Jimbo la Kigoma kuzaa jimbo jipya

Halikadhalika,Jimbo Kuu la Mwanza limekuwa ki mahitaji,hivyo kuhitaji Askofu Msaidizi
Polycarp The Bibliophile (@polycarpmdm) 's Twitter Profile Photo

JUMATANO YA MAJIVU. Kwetu Wakristo Wakatoliki, Hiyo ni alama kubwa ya kuonyesha mwanzo wa KWARESMA yetu. > Majivu hayamaanishi kuwa sisi ni watakatifu!, Humaanisha sisi ni wadhambi, mbele za macho ya Mungu, hivyo twahitaji kutubu. > Majivu hayamaanishi sisi tu wakamilifu!,

JUMATANO YA MAJIVU.

Kwetu Wakristo Wakatoliki,
Hiyo ni alama kubwa ya kuonyesha mwanzo wa KWARESMA yetu.

> Majivu hayamaanishi kuwa sisi ni watakatifu!,
Humaanisha sisi ni wadhambi, mbele za macho ya Mungu, hivyo twahitaji kutubu.

> Majivu hayamaanishi sisi tu wakamilifu!,
Polycarp The Bibliophile (@polycarpmdm) 's Twitter Profile Photo

Neno KRISTO na neno KRISTU yote ni sahihi, Inategemea Imani yako Imebase kwenye Nakala Za Biblia za Kigiriki au Kilatini. Wanaotumia Neno KRISTO wao wametohoa hilo neno kutoka lugha ya Kigiriki CHRISTOS ambalo lilitumika kwenye Maandiko yaliyokua katika lugha ya Kigiriki mfano

Neno KRISTO na neno KRISTU yote ni sahihi,

Inategemea Imani yako Imebase kwenye Nakala Za Biblia za Kigiriki au Kilatini.

Wanaotumia Neno KRISTO wao wametohoa hilo neno kutoka lugha ya Kigiriki CHRISTOS ambalo lilitumika kwenye Maandiko yaliyokua katika lugha ya Kigiriki mfano
Mwanza Boy (@iam_sostenes) 's Twitter Profile Photo

Baada ya kugundulika kuwa na UKIMWI na wiki chache tu kabla ya kifo chake, Arthur, bingwa maarufu wa tenisi wa Wimbledon, alipokea barua nyingi kutoka kwa mashabiki. Katika moja ya barua hizo, mtu fulani alimuuliza, "Kwa nini Mungu alikuchagua upate ugonjwa huu mbaya?" Arthur

Baada ya kugundulika kuwa na UKIMWI na wiki chache tu kabla ya kifo chake, Arthur, bingwa maarufu wa tenisi wa Wimbledon, alipokea barua nyingi kutoka kwa mashabiki.
Katika moja ya barua hizo, mtu fulani alimuuliza,
"Kwa nini Mungu alikuchagua upate ugonjwa huu mbaya?"

Arthur