MwanzaBoy🐬 (@iam_sostenes) 's Twitter Profile
MwanzaBoy🐬

@iam_sostenes

MWANZA B○Y BRAND👕
CONTENT CREATOR✍
GOD BELIEVER🙏 FUNNY BOY😃

ID: 1524436660376813569

calendar_today11-05-2022 17:10:40

20,20K Tweet

7,7K Followers

3,3K Following

Webiro Wakazi Wassira #TheLeader (@wakazi) 's Twitter Profile Photo

I AM READY TO DIE FOR MY COUNTRY, BUT NOT TO BE KILLED BY IT. Sio kwenye filamu, sio kwa kushuhudia kwa macho… Nimeona jinsi nchi zingine ambavyo wanayapa maisha ya kila mtu kipaumbele! Jeshi la Marekani wana kitu kinaitwa NO MAN LEFT BEHIND. Yaani hata ukichukuliwa mateka,

I AM READY TO DIE FOR MY COUNTRY, BUT NOT TO BE KILLED BY IT.

Sio kwenye filamu, sio kwa kushuhudia kwa macho… Nimeona jinsi nchi zingine ambavyo wanayapa maisha ya kila mtu kipaumbele! 

Jeshi la Marekani wana kitu kinaitwa NO MAN LEFT BEHIND. Yaani hata ukichukuliwa mateka,
Ezb Classic (@ezb_classic) 's Twitter Profile Photo

ORODHA YA WATANZANIA 3472 WALIOTEKWA, KUULIWA NA WENGINE KUPOTEZWA KIMOJA. Uzi 🧵 🪡......... Leo nawaletea orodha ya watu ambao wamewahi kuingia kwenye dhoruba hili la utekaji tangu watu wasiojulikana kuingia nchini Tanzania. 1. Roma Mkatoliki; huyu braza......

ORODHA YA WATANZANIA 3472 WALIOTEKWA, KUULIWA NA WENGINE KUPOTEZWA KIMOJA. 

Uzi 🧵 🪡.........

Leo nawaletea orodha ya watu ambao wamewahi kuingia kwenye dhoruba hili la utekaji tangu watu wasiojulikana kuingia nchini Tanzania. 

1. Roma Mkatoliki; huyu braza......
millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

“Tanzania kumekuwa na vitendo vya kihaini, tena ambavyo vinashukiwa kuhusisha vyombo vya dola, na hakuna actions wala kauli madhubuti za Viongozi wa juu za ku-prove their unequivocal stance! Zaidi kumekuwa na efforts za ku-undermine & spin politically, inasikitisha sana, na

“Tanzania kumekuwa na vitendo vya kihaini, tena ambavyo vinashukiwa kuhusisha vyombo vya dola, na hakuna actions wala kauli madhubuti za Viongozi wa juu za ku-prove their unequivocal stance! Zaidi kumekuwa na efforts za ku-undermine & spin politically, inasikitisha sana, na
SANUKAnaCHAPO (@chapo255) 's Twitter Profile Photo

Kuna mtangazaji wa kituo kikubwa cha TV, alikuwa anamfundisha boss wakike ile media ya Mikocheni kucheza kikapu wenzake wakamwambia boss anakupenda rusha nyavu, matokeo yake akafukuzwa kazi ndio akahamia ile media ya Tazara.

MTU MAALUMU (@mtu_maalum) 's Twitter Profile Photo

Hii ni kwa Wanaume Tu... Dunia haijali kuhusu wewe na matatizo yako Nitakuambia facts saba zenye ukweli mchungu utakaukuweka Huru mazima 1. Hata ukimfanyia kila kitu mwanamke wako bado atakusaliti 2. Wazee wako hawakupambana miaka yote uje kumlilia mwanamke 3.

AmosiNyanda (@nyandaamosi) 's Twitter Profile Photo

-Uki-Focus na Goals zako Bila Kukimbizana na Yeyote -Ukajipenda, Ukavaa Vizuri, Ukanukia Vizuri, Ukajipa Vocations za Hapa na Pale -Ukajifunza Kufurahi Peke yako Bila Kumtegemea yeyote Utakuwa na MVUTO Mbele ya Wanawake X10 Zaidi ya Ku-Chase JARIBU!

Nuru🌹🌹 (@nuru_yumyum) 's Twitter Profile Photo

Mlisema mchana tuwe tunatembea wengi wengi kama west life ili kujikinga na watekaji, ila usiku hamkusema tulale wangapi wangapi jamani🤔

Mlisema mchana tuwe tunatembea wengi wengi kama west life ili kujikinga na watekaji, ila usiku hamkusema tulale wangapi wangapi jamani🤔