Rogath Kileo (@rogathkileo) 's Twitter Profile
Rogath Kileo

@rogathkileo

Imagination is more important than knowledge but knowledge empower imagination.

Digital Marketing Consultant.

ID: 989633637464322049

calendar_today26-04-2018 22:33:40

1,1K Tweet

724 Followers

1,1K Following

๏ฃฟ ๐Š๐ข๐๐ฎ๐๐ฎ ๐Œ๐ญ๐ฎ ๐‰๐‘โ„ข (@anuskills3) 's Twitter Profile Photo

Mtandao wako Pendwa @Tigo_TZZ kwa kutambua Thamani na umuhimu wa wateja wake Msimu huu wa sikukuu wamekuja na Magift Dabodabo. Fanya miamala ya Tigopesa,TigoRusha kwa wingi ujishindie Trip ya Dubai na zanzibar,Fedha,Vifaa vya Kielektroniki pamoja na Gari Mpyaa! #TigoMagifti

Mtandao wako Pendwa @Tigo_TZZ kwa kutambua Thamani na umuhimu wa wateja wake Msimu huu wa sikukuu wamekuja na Magift Dabodabo.

Fanya miamala ya Tigopesa,TigoRusha kwa wingi ujishindie Trip ya Dubai na zanzibar,Fedha,Vifaa vya Kielektroniki pamoja na Gari Mpyaa!
#TigoMagifti
SportPesa Tanzania (@tzsportpesa) 's Twitter Profile Photo

๐ŸŽฅ Kutana na mshindi wa JACKPOT BONUS 8,154,788/= ย  โœ๐Ÿป Alipata bonus kwenye mikeka miwili tofauti ย  ๐Ÿ™๐ŸผJUMANNE HAMIS KAPE ย  ๐Ÿ“ฑ Bashiri mechi 13 za #Jackpot kwa usahihi ushinde zaidi ya BILIONI kwa Buku tu ๐ŸŒŽ sportpesa.co.tz/en/supa-jackpoโ€ฆ ย  #SportPesaUshindiUpoNawe

๐ŸŽฅ Kutana na mshindi wa JACKPOT BONUS 8,154,788/=
ย 
โœ๐Ÿป Alipata bonus kwenye mikeka miwili tofauti
ย 
๐Ÿ™๐ŸผJUMANNE HAMIS KAPE
ย 
๐Ÿ“ฑ Bashiri mechi 13 za #Jackpot kwa usahihi ushinde zaidi ya BILIONI kwa Buku tu

๐ŸŒŽ sportpesa.co.tz/en/supa-jackpoโ€ฆ
ย 
#SportPesaUshindiUpoNawe
Zee la Vyeti (PhD) (@babalao__) 's Twitter Profile Photo

Vijana wa kiume na Kike wanapo Balehe ni muhimu kupatiwa elimu ya Afya ya Uzazi wa Mpango ili waifahamu, kujiepushe na matatizo mbalimbali kama mimba zisizo tarajiwa. Ni muhimu kwa wazazi/walezi na jamii kuwapatia vijana elimu ya njia sahihi za uzazi wa mpango.

Vijana wa kiume na Kike wanapo Balehe ni muhimu kupatiwa elimu ya Afya ya Uzazi wa Mpango ili waifahamu, kujiepushe na matatizo mbalimbali kama mimba zisizo tarajiwa.

Ni muhimu kwa wazazi/walezi na jamii kuwapatia vijana elimu ya njia sahihi za uzazi wa mpango.
TricyLove๐Ÿฆ (@amprincess9) 's Twitter Profile Photo

Thomas amechoka kuonewa sasa, ila Maria kazidi nae acha leo jua limuwakie Usikose kuangalia tamthilia ya #JuaKali leo saa 3:30 usiku chaneli namba 160 kifurushi cha Bomba shilingi 24,000 piga *150*53# kulipia #UtamuNiBomba #Unakosaje ?

Azam TV (@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

#CRDBBankFederationCup โ€œHili shuti ni noma, lililopigwa na Valentin Nouma, limekwenda nyavuni kinomanomaโ€ฆโ€; Goli la kwanzaโ€ฆ. 40โ€™: Simba SC 2-0 TMA Stars. LIVE #AzamSports1HD #KombeLaShirikishoLaCRDBBank #SimbaSC #TMAStars #SimbaTMA

Rogath Kileo (@rogathkileo) 's Twitter Profile Photo

Serious naomba mtu ambaye yuko willing kunielewesha ,ni kwa jinsi gani CDM wanaweza wakaiexcute No reform,No election. Na impact yake kwenye uchaguzi wa 2025. Bila kunipika wala kunikaanga. Zee la Vyeti (PhD) MR BEN Martin Maranja Masese Spana & V.A.R Movement M A G I R I Maria Sarungi Tsehai CharlieBihemo

Rogath Kileo (@rogathkileo) 's Twitter Profile Photo

PRICE.:24,8oo,ooo/= TOYOTA CROWN ATHLETE YEAR.:2oo9 ENGINE CAPACITY.:249oCc ODOMETER.:65,oooKm PUSH TO START OPTION COLOUR.:PEARL

PRICE.:24,8oo,ooo/=

TOYOTA CROWN ATHLETE 
YEAR.:2oo9
ENGINE CAPACITY.:249oCc
ODOMETER.:65,oooKm

PUSH TO START OPTION 
COLOUR.:PEARL
Rogath Kileo (@rogathkileo) 's Twitter Profile Photo

Bro hii gari 18.5 ni bei ya juu mno kwa Subaru Forester namba D yeyote. Ofa halali ambayo iko kwa current state ni 15m kwa mnunuaji. Na mimi jana nilikuwa na mteja ila kwa sisi wazee wa maini hapo ni 13m. 0785126822

Rogath Kileo (@rogathkileo) 's Twitter Profile Photo

PRICE/BEI: 19.8M EXCHANGE/NAVUNJA NA GARI YOYOTEโœ… SUBARU FORESTER CROSS SPORT YEAR:2006 ENGINE CAPACITY:1990Cc ENGINE CODE: EJ20 KILOMETER: 76,000 AUTOMATIC TRANSMISSION COLOUR: SILVER ANDROID MUSIC RADIO,SPORTS RIMS,NEW TYRES,WINKERS,SPORTS MODE

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Sehemu ya kazi siku ya leo nilipokutana na kufanya mazungumzo na mmiliki wa klabu ya mpira wa miguu ya Manchester United, Sir Jim Ratcliffe, Ikulu, Dar es Salaam. Tumekuwa na mjadala mzuri kuhusu kushirikiana katika masuala ya uhifadhi pamoja na utafiti. Sambamba na hayo,

Rogath Kileo (@rogathkileo) 's Twitter Profile Photo

I wish continental drift to occur this time right now. African continent needs immediate reshuffle. Or maybe we need to be colonized again and be liberated years later with new generations. #freemindnoreformnoelection

Rogath Kileo (@rogathkileo) 's Twitter Profile Photo

Kila ukiangalia watua nia kugombea ubunge , unagundua kama taifa tuna safari ndefu sana ya kupata katiba mpya itakayoset standard za mamlaka za hii mihimili mitatu au minne tukiamua.

Rogath Kileo (@rogathkileo) 's Twitter Profile Photo

We are not just selling food we are telling stories of every ingredients per meal. We also do delivery at low cost across Dar. Just call or whatsup 0785126822