OscarOscar(@mzeewakaliua) 's Twitter Profileg
OscarOscar

@mzeewakaliua

Journalist

ID:781678717974286336

linkhttps://www.youtube.com/channel/UC9lXj2i6XgEZ-DsvXHpp1Cw calendar_today30-09-2016 02:15:04

8,9K Tweets

929,0K Followers

201 Following

OscarOscar(@mzeewakaliua) 's Twitter Profile Photo

Kama kuna mtu amewahi kuwa na mafanikio kwenye Mahusiano na PONT FIVE, please naomba Past Papers. Kuna kitu nataka kuangalia Section D!

account_circle
OscarOscar(@mzeewakaliua) 's Twitter Profile Photo

Hakuna kitu kina Uma kama kumuazima mtu SABUNI, halafu anarudisha ina Nywele! Maana hujui ni za Kutoka Pori gani!

account_circle
OscarOscar(@mzeewakaliua) 's Twitter Profile Photo

Kumekua na malalamiko Mengi sana juu ya uwepo wa Pombe Kali Feki nchini. Hili Jambo kama ni kweli, Serikali isichukulie poa!

account_circle
OscarOscar(@mzeewakaliua) 's Twitter Profile Photo

Hakuna kitu kizuri Kama asubuhi kupokea Message kutoka kwa Baby, Simu kutoka kwa Darling na Kiss kutoka kwa Wife.

account_circle