Peter L Kabulwa (@pkabulwa) 's Twitter Profile
Peter L Kabulwa

@pkabulwa

A Philanthropist & Charismatic Medical Doctor & Tutor-CMT
Fan of #Simba #Liverpool #BvB

ID: 3612841587

calendar_today10-09-2015 19:59:42

2,2K Tweet

382 Followers

718 Following

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Wakati kupigania Uhuru, wakaloni walizuia Waafrika kukutana, kujadili na kuamua mambo yaliyohusu uhuru wao. Wakoloni walitumia vyombo vya dola, polisi, usalama, magereza na vingine kutisha na kuzuia Waafrika kwenye harakati zao. Mikutano ya vyama vya ukombozi ilizuiliwa,

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Asubuhi ya Leo nimemtembelea Mwenyekiti wa chama mhe Tundu Antiphas Lissu katika gereza la Ukonga. Yuko imara mwenye afya njema. Ameniambia kuna mabadiliko mengi katika treatment yake gerezani baada ya wasilisho lake mahakamani. Sasa anaruhusiwa kufanya mazoezi uwanjani. Sasa

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Moja ya vitu vinavyofanya watu wasitende haki, ni vyeo vya kuhongwa vya teuzi baada ya kustaafu. Kila wakati mtu anawaza kumfurahisha anaeteua ili akistaafu amkumbuke. Jaji mkuu kuwa mtu fulani, IGP kuwa Balozi au mkuu wa Mkoa, Jaji kuwa Mwenyekiti wa time au bodi fulani.

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Ndugu Watanzania, Kwa heshima na taadhima, ninawaandikia barua hii nikiwa mwenye uchungu wa kweli juu ya hatima ya nchi yetu. Sauti yangu ni sauti ya mamilioni ya Watanzania waliokata tamaa. Ni kilio cha taifa lililonyimwa haki, likakandamizwa kisiasa, na sasa likielea bila

Chadema Tanzania (@chadematz2) 's Twitter Profile Photo

"Chama chenu kinapitia kipindi cha mapambano dhidi ya watawala. Wanatamani viongozi wenu tusujudu na tukae kimya tuwe chama cha machawa wa kusujudu. Sisi tumekataa. Tumeamua kusimama na wananchi, tumeamua kusimamia haki." Mhe. John Heche

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Mwambieni Samia Suluhu akamate na tamko hili la Platform for African Democrats (PAD) ✊🏽🔥 Tundu Lissu ni moto wa kuotea mbali na leo Mama yao analala na viatu! Dunia nzima imesimama na Tundu Antiphas Lissu 👏🏽 #FreeTunduLissu #NoReformsNoElection

Mwambieni <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> akamate na tamko hili la Platform for African Democrats (PAD) ✊🏽🔥
Tundu Lissu ni moto wa kuotea mbali na leo Mama yao analala na viatu!
Dunia nzima imesimama na <a href="/TunduALissu/">Tundu Antiphas Lissu</a> 👏🏽
#FreeTunduLissu #NoReformsNoElection
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Mwaka huu ni fursa kubwa kwetu kuifundisha serikali na ccm kwamba wananchi ndio wenye Nchi. Mwaka huu lazima serikali na ccm wajue, huwezi kuendesha Nchi kwa kiburi, dharau na kukomoa wengine. Lazima wajue Nchi ni yetu sote, wote tunastahili maisha mazuri. Vijana Watanzania

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

SERIKALI YA IDI AMIMI MAMA wanataka kumuua TUNDU LISSU KWA SUMU. REPOST 500 DUNIA IJUE. #FreeTunduLissu #TUTAKUWEPO🫵🏾😎

SERIKALI YA IDI AMIMI MAMA wanataka kumuua TUNDU LISSU KWA SUMU.

REPOST 500 DUNIA IJUE.

#FreeTunduLissu 

#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

“Tutazuia uchaguzi” - usiichukue na kujadili kauli mbiu hii ya kisiasa ukiwa kwenye ULEVI. Nitakupa darasa kidogo hapa, ukiwa timamu kichwani, utanielewa. Kwanza lazima uelewe, hatupo katika shindano la kutafuta umashahuri au umaarufu (popularity contenst). Hivyo hatuna tatizo

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Wanaotaka CCM ibaki madarakani Mwenyekiti wao yupo gerezani kwa mashtaka ya uhaini na akipatikana na hatia atanyongwa. Wanaotaka CCM ibaki madarakani wamezuiwa kufanya shughuli za kisiasa. Mnaotaka kuwaondoa CCM madarakani, mnafanya siasa zenu kwa utulivu kabisa? NIELEWESHE!

Jebra Kambole (@advocate_jebra) 's Twitter Profile Photo

Amani na Utulivu ni matunda ya haki, pasipo na haki hapawezi kuwa na amani! Mdude, Soka,Chaula, Kibao na wengine haki yao ya kuwa salama inapokwa Waumini kusali inakuwa ni vita Watu wanaporwa ardhi zao na serikali mfn Loliondo na Mbarali Uchaguzi wa hovyo na mambo kibao!

Amani na Utulivu ni matunda ya haki, pasipo na haki hapawezi kuwa na amani!

Mdude, Soka,Chaula, Kibao na wengine haki yao ya kuwa salama
inapokwa

Waumini kusali inakuwa ni vita

Watu wanaporwa ardhi zao na serikali mfn Loliondo na Mbarali

Uchaguzi wa hovyo na mambo kibao!
Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Katika historia ya taifa lolote, kuna nyakati za maamuzi magumu, ambapo dhamira ya watu hupimwa kwa ujasiri wa kusema ukweli. Nchi ipo ktk wakati huu wa mtihani mkubwa. Kuna wale wanaosema tususie uchaguzi ni kumpa CCM ushindi. Lakini ni ushindi gani tunazungumzia? Je, ni ule wa

Katika historia ya taifa lolote, kuna nyakati za maamuzi magumu, ambapo dhamira ya watu hupimwa kwa ujasiri wa kusema ukweli. Nchi ipo ktk wakati huu wa mtihani mkubwa. Kuna wale wanaosema tususie uchaguzi ni kumpa CCM ushindi. Lakini ni ushindi gani tunazungumzia? Je, ni ule wa
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Mnaenda kwenye ziara badala ya kujenga hoja dhidi ya ccm mnahangaika na ajenda ya #NoReformsNoElection !!! Elezeni watu hoja zenu, wambieni watu mnachotaka kufanya… msimamo wetu uko palepale na ndio msimamo wa wananchi Mnasema mkipata wabunge hata watatu mtazuia ccm bungeni