Peppatz (@peppatz) 's Twitter Profile
Peppatz

@peppatz

People will forget what you said and what you did... But will never forget how you made them feel.

ID: 1257634573569216513

calendar_today05-05-2020 11:33:57

15,15K Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile Photo

Nimecheka mpaka nimelia, sijui watu wakienda CCM akili huwa wanaacha wapi. Mwambieni baba Levo Ubunge unataka watu wenye akili timamu. Ushauri wangu bora aendelee kuwa Chawa tu

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Kesho tena SC Tundu Lissu atakuwa Kisutu. Kesi ya uhaini: itaahirishwa. Hawana ushahidi ku establish hilo kosa. Kesi ya uchochezi: mahakama itaruhusu mashahidi wao wasijulikane. Mzozo mpya. Ni wanamvuna TAL. Let’s show up for, and rally behind, Lissu. #NoReformsNoElection

Kesho tena SC Tundu Lissu atakuwa Kisutu.

Kesi ya uhaini: itaahirishwa. Hawana ushahidi ku establish hilo kosa.

Kesi ya uchochezi: mahakama itaruhusu mashahidi wao wasijulikane. Mzozo mpya.

Ni wanamvuna TAL.

Let’s show up for, and rally behind, Lissu.

#NoReformsNoElection
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Team Linda Kura na Oktoba tunatiki hawaamini wanachokiona 🤣🤣🤣🤣 Yaani hata wale al-maarufu wanakuwa ratio-ed vibaya sana - watanzaniia hatutaki upumbavu ✊🏽 Dawa ya #NoReformsNoElection imesambaa vizuri wamebaki hawa opportunists na madhulmat Poleni - safari hii mtabaki na

Team Linda Kura na Oktoba tunatiki hawaamini wanachokiona 🤣🤣🤣🤣
Yaani hata wale al-maarufu wanakuwa ratio-ed vibaya sana - watanzaniia hatutaki upumbavu ✊🏽

Dawa ya #NoReformsNoElection imesambaa vizuri wamebaki hawa opportunists na madhulmat 
Poleni - safari hii mtabaki na
Emmanuel chacha Christopher (@immamtanganyika) 's Twitter Profile Photo

Happy Father's day Baba Tundu Antiphas Lissu Kiboko ya Madhulmati. Kipenzi Cha watanzania. SIMBA Wa IKUNGI. We love you Mr President ❤️❤️❤️ Kiboko ya Vibaka na madalali wa siasa.MBEBA MAONO. WEWE NI SIMBA KWELI KWELI. Mzee wa kuyapelekea Moto Madhulmati ya CCM. NI YEYE

Happy Father's day Baba <a href="/TunduALissu/">Tundu Antiphas Lissu</a>

Kiboko ya Madhulmati.

Kipenzi Cha watanzania.

SIMBA Wa IKUNGI.

We love you Mr President ❤️❤️❤️

Kiboko ya Vibaka na madalali wa siasa.MBEBA MAONO.

WEWE NI SIMBA KWELI KWELI.

Mzee wa kuyapelekea Moto Madhulmati ya CCM. NI YEYE
Zullu (@zullubravo) 's Twitter Profile Photo

Zitto MwamiRuyagwa Kabwe ACTWazalendo 1. Kura bandia zitaingia kituoni na virungu mtachezea. 2. Mawakala wenu watazuiliwa kuingia vituoni, mtaishia kulalamika tu 3. Watagomea karatasi za matokeo na hamna cha kuwafanya. Oct 2025, CCM wataibuka washindi tena. Hivyo, NO REFORMS, NO ELECTION #NRNE

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Mnachekesha sana Kwamba mna nguvu ya Umma na Idd Amin Mama anakubalika halafu mnaogopa kufanya Reforms. Uzuri Watanzania sio wajinga.

Abdulkarim  Juma (@jumaabdukarim) 's Twitter Profile Photo

Watu Kama Hilda Newton ni hazina na watu wanaozaliwa Mara moja kila baada ya miaka 100. Huyu dada ni mpambanaji wa haki ambaye ameacha Ubinafsi na kusimama na maslah ya umma. Tunakuombea Mungu akutunze na kukuhifadhi tuliokoe taifa dhidi ya Hawa mafashist na mafia waovu.

Watu Kama <a href="/HildaNewton21/">Hilda Newton</a>  ni hazina na watu wanaozaliwa Mara moja kila baada ya miaka 100. Huyu dada ni mpambanaji wa haki ambaye ameacha Ubinafsi na kusimama na maslah ya umma. Tunakuombea Mungu akutunze na kukuhifadhi tuliokoe taifa dhidi ya Hawa mafashist na mafia waovu.
Rose Mayemba (@rose_mayemba) 's Twitter Profile Photo

Ndugu Dr. Tulia Ackson Laiti walio upande wenu wangekuwa wengi kuliko wanaowapinga, msingekuwa na hofu ya kupoteza Madaraka. Msingebambikiza Lissu kesi ya UHAINI. Msingetumia Vibaraka wenu kuzuia matumizi ya Mali halali za Chama kikubwa kama CHADEMA. Mauaji na Utekaji wa wakosoaji

Ndugu <a href="/TuliaAckson/">Dr. Tulia Ackson</a> 
Laiti walio upande wenu wangekuwa wengi kuliko wanaowapinga, msingekuwa na hofu ya kupoteza Madaraka. 
Msingebambikiza Lissu kesi ya UHAINI.
Msingetumia Vibaraka wenu kuzuia matumizi ya Mali halali za Chama kikubwa kama CHADEMA.
 Mauaji na Utekaji wa wakosoaji
Patrick Ole Sosopi (@patricolesosopi) 's Twitter Profile Photo

Muimbaji huyu anaefahamika kwa jina la "Injili Igeuzayo Roho" ametekwa huko Geita, tuungane kupaza sauti hatupo salama. Mtu aliyeimba wimbo wa 'Wajinga ndio Wataki' aitwaye Elisha Juma aka 'Injili Igeuzayo Roho' alitekwa na watu wasiojulikana siku mbili zilizopita Mkoani Geita na

Maggy Muggy (@muggymaggy) 's Twitter Profile Photo

ZAMBARAU hawataki tumsikilize POLEPOLE aliyekuwa mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenezi wa CCM aliyeshiriki na sasa anatueleza jinsi CCM wanavyoiba uchaguzi lakini wanataka tumsikilize MPINA ambaye alipopewa uwaziri wa mifugo akaanza kupima samaki waliokaangwa kwa rula. Wagonjwa!

ZAMBARAU hawataki tumsikilize POLEPOLE aliyekuwa mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenezi wa CCM aliyeshiriki na sasa anatueleza jinsi CCM wanavyoiba uchaguzi lakini wanataka tumsikilize MPINA ambaye alipopewa uwaziri wa mifugo akaanza kupima samaki waliokaangwa kwa rula. Wagonjwa!
Liberation Now (@iam_intrepid) 's Twitter Profile Photo

Godbless E.J. Lema Uhuru wa kweli ni mapambano ya kudumu na kujitolea, inayohitaji ujasiri, dhabihu, na uwekezaji wa kina wa kibinafsi badala ya kitu ambacho hutolewa au kufurahia bila gharama.

<a href="/godbless_lema/">Godbless E.J. Lema</a> Uhuru wa kweli ni mapambano ya kudumu na kujitolea, inayohitaji ujasiri, dhabihu, na uwekezaji wa kina wa kibinafsi badala ya kitu ambacho hutolewa au kufurahia bila gharama.