
Ndolezi
@ndolezi_petro
Water Resources and Irrigation Engineer.
@ACTWazalendo Shadow Minister Office of the Prime Minister - Parliament, Policy, Youth, Labor and Employment
ID: 1247255219047718913
06-04-2020 20:10:14
70,70K Tweet
8,8K Followers
1,1K Following




Chama cha ACT Wazalendo ACTWazalendo kimelaani hatua ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzisha kodi, tozo na ada mpya kupitia mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali ya mwaka wa fedha 2025/26 iliyowasilishwa Bungeni, jijini Dodoma hivi karibuni na Waziri wa Fedha


Aliyekuwa Katibu Mwenezi BAWACHA Wilaya ya Temeke na Katibu wa CHADEMA Kata ya Mgulani, Ndugu Nita Zonga amejiunga na ACTWazalendo. Ndugu Anita amepokelewa leo Juni 21, 2025 na Naibu Katibu Mkuu Bara Ester Thomas; ambapo amesajiliwa katika Mfumo wa ACT Kiganjani na


Kitendo cha Police Force TZ kuendelea kumshikilia mwenyekiti wa wanawake Taifa ACTWazalendo ni Unconstitutional hatuwezi kuendelea kua kwenye taifa ambalo linaendeshwa kwa utashi bila ya kufuata sheria, Polisi wamuachie Janeth Rithe bila masharti yeyote. #FreeJaneRithe



Chama Cha ACT Wazalendo kimesema mawakili takribani watano wanaendelea kushughulikia kesi ya Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake ya chama hicho Janeth Rithe Joel. Hayo yameelezwa leo na Makamu Mwenyekiti bara wa ACT Wazalendo ACTWazalendo Isihaka Mchinjita, alipoulizwa swali na


"Katika bajeti ya mwaka wa fedha wa 2025/26 Serikali imetenga fedha ndogo kwa ujenzi na matengenezo ya barabara. Aidha madeni kwa wakandarasi yanadumaza kasi ya ukamilikaji miradi." Waziri Kivuli wa Uchukuzi Halima Nabalang’anya Oktoba #LindaKura


Leo Juni 21, 2025 Kiongozi wa ACTWazalendo, Ndugu Dorothy Semu ameongoza uwasilishaji wa Uchambuzi wa Bajeti Kuu Serikali uliofanyika katika Ukumbi wa Hakainde Hichilema; Makao Makuu ya ACT Wazalendo Magomeni Jijini Dar es salaam. Ukiweka kando KC, Waziri Mkuu Kivuli, Ndugu







Je, wewe ni Mbunge au Diwani unayependa kuwa sehemu ya ACTWazalendo? Sasa zamu yako imewadia. Usipitwe. Hakikisha unakuwa sehemu ya historia ya mabadiliko kupitia ACT. Wasiliana nasi kwa Simu Na. +255 718 717 364 na +255 687451 171 #TheFutureIsPurple OKTOBA #LindaKura



Jumatatu ya tarehe 23 Juni 2025 nitakua na Wakili Peter Madeleka katika One on One ya Wasafi TV kuanzia saa moja kamili usiku. Usikose!!